Search results

  1. Satoh Hirosh

    Single mothers ni athari na madhara yanayotokana na kampeni ya usawa

    Safari hii aliyewasakama ni gazeti la nipashe.
  2. Satoh Hirosh

    Jeshi letu lina ndege za kivita zisizo na Rubani?

    Kuna muda Bi Faiza huwa unavuta mjani.
  3. Satoh Hirosh

    Mke wa zamani wa Ricardo Kaka afichua sababu iliofanya waachane ni kuwa Kaka alikuwa mkamilifu sana

    Wanawake hawapendi "nice guys". Men, Just be kind,but don't be nice.
  4. Satoh Hirosh

    Gari yako ya kwanza ulinunua ukiwa na umri gani?

    Hizi conversation,kimasihara inanukia.
  5. Satoh Hirosh

    Unapenda Paka? Tupia picha ya Paka wako tumuone

    Hawa wawili hawana noma, mkuu
  6. Satoh Hirosh

    Utani wa watu ninaoupenda hapa JF pamoja na watu na mada utakazowakuta

    Mkuu, Sikukuu hii tunafanyaje? Mbona kimya hadi saa hii kaka hakuna mwaliko?
  7. Satoh Hirosh

    Sijui kwanini nimeumia hivi

    Nadhani tabia yake mbaya Haina uhusiano na usingle mama wake. Kuna watu kwa asili tu hawanaga shukrani. Msamehe tu,kisha endelea na mambo yako. Usimtafute tena.
  8. Satoh Hirosh

    Soundbars vs Subwoofer vs Hi-Fi

    Sound bar ni special kwa ajili ya music. Mimi naprefer sound bar over woofer. Na kwangu Mimi brands Bora kabisa za sound bar ni Bose na JBL.
  9. Satoh Hirosh

    Hatimaye nime mpata

    Ila ukumbuke Hao watu siyo wazuri kabisa. Ukijichanganya kwenye 18 zao,wanalenga kichwani tu.
  10. Satoh Hirosh

    Soundbars vs Subwoofer vs Hi-Fi

    Mziki una Chanel mbili tu,tofauti na movies. Kwa hiyo ,unapoplay muziki kwenye home theater spika zote zinakaa kimya isipokuwa spika mbili tu ndiyo zinacheza. Home theater system ni kwa ajili ya movies,jamaa yupo sahihi.
  11. Satoh Hirosh

    Nilikuwa na hamu kubwa lakini ile najaribu tu ikawa utambi😭😭

    Fanya mazoezi ya kegel yatakusidia sana. Pia jifunze kucontrol mind. Ukiona utamu unakuja,chomoa,alafu waza kitu kingine. Utalast long. Usipanie mchezo. Epuka staili zitakazokufanya umwage mapema. Staili kama dogy mashine inakuwa imebanwa sana, unawahi kumwaga mapema. Lingine jifunze...
  12. Satoh Hirosh

    Kufanya ngono kabla ya ndoa ni dhambi au sio dhambi?

    "mmesikia ya kwamba imenenwa,Msizini. Lakini Mimi nawaambieni, Kila mtu amtazamaye mwanamke kwa kumtamani,amekwishazini nae moyoni mwake". Mathayo 5:27-28.
  13. Satoh Hirosh

    Ilianzia Ulaya na Marekani Makanisa kukosa waumini na kufungwa. Kati ya Misikiti 75,000 nchini Iran, Misikiti 50,000 imefungwa baada ya kukosa waumin

    Au mfano mzuri ili unielewe zaidi ni huu; Nchi ya Saudi Arabia ambayo ni kitovu cha uislamu duniani,idadi ya watu ni milioni 37. Idadi ya wakristo ni milioni Sita(6 milioni) na hapo wanaminywa sana,hawako huru kuabudu na hawaruhusiwi kujenga makanisa. Nchi ya marekani ambako Kuna uhuru...
  14. Satoh Hirosh

    Ilianzia Ulaya na Marekani Makanisa kukosa waumini na kufungwa. Kati ya Misikiti 75,000 nchini Iran, Misikiti 50,000 imefungwa baada ya kukosa waumin

    Kuna kosa la kimantiki unalifanya kwa kutojua nadhani. Ni hivi; Unapongelea "uislamu unakuwa Ulaya" unaelewa maana yake? Ni kwamba hapo kabla dini ambayo ni dominant ni ukristo,siku zimeenda na sasa Kuna ujio wa dini mpya (uislamu) maana yake Kuna idadi ya wakristo inamegwa kwa kuhamia dini...
  15. Satoh Hirosh

    Ilianzia Ulaya na Marekani Makanisa kukosa waumini na kufungwa. Kati ya Misikiti 75,000 nchini Iran, Misikiti 50,000 imefungwa baada ya kukosa waumin

    Na wakristo humo humo. Au siyo? Hivi Huwa unawaza nini kabla hujaandika? Mbona una reasoning ya chini mkuu?
  16. Satoh Hirosh

    Ilianzia Ulaya na Marekani Makanisa kukosa waumini na kufungwa. Kati ya Misikiti 75,000 nchini Iran, Misikiti 50,000 imefungwa baada ya kukosa waumin

    Unaona unavyojipiga pini na hizi data zako unazoleta mwenyewe? Kwenye hiyo link,Idadi ya watu wa wilaya ya temeke ni milioni Moja na laki 3(1.3 ml). Idadi ya watu wa mkoa wa Kilimanjaro ni milioni 1 na laki name(1.8 ml). Idadi ya watu wa Temeke Ina mchanganyiko wa dini kwa kiasi kikubwa kuliko...
  17. Satoh Hirosh

    Ilianzia Ulaya na Marekani Makanisa kukosa waumini na kufungwa. Kati ya Misikiti 75,000 nchini Iran, Misikiti 50,000 imefungwa baada ya kukosa waumin

    Point ni wewe kuturudisha miaka zaidi ya 70 ambapo nchi nzima haikuzidi watu milioni kumi. Mbaya zaidi unaketa stori za hear and say. Hujaja na ushahidi wa takwimu zako unazokomaa nazo humu. Tujadili Leo na sasa maana ya zamani hauna takwimu zozote. Tunajadili maneno tu.
Back
Top Bottom