Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza..rafiki wa kike namuhitaji ambaye kesho atakuwa mke kwangu...awe muslim,elimu ya aina yeyote,awe mweupe ama maji ya kunde,mnene kiasi kuanzia,umri kuanzia 22-35,awe mkarimu na upendo wa kweli...haiba yenye kuvutia angalau..aliye tayari ani pm...
cha kufanya uwe unachaji pembeni ikiwa full unaondoa charger unatumia...naamini utahangaika sana hilo tatizo. kuna card karibu na cpu kwa kifupi ikiungua mara nyingi linatokea tatizo hilo kwa laptop.
kama laptop inakuwa na cpu 2(core 2 duo) ningekushauri uzime cpu moja na unatumia na charger...
blackbery torch 9800 at&t memory 4gb red mpya na kila kitu 600,000....iphone 3g 8gb na full bei 480,000...samsung galaxy captivate used 16gb internal memory 450,000.nitafute 0713 51 05 78 mazungumzo yapo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.