Search results

  1. Z

    Nini utamu wa mapenzi mbona watu wanauana ?Hadi vigogo ?

    Mbona sioni utamu wa mapenzi kiasi cha watu kuuana na kujiua, naona kawaida tu au siko normal ?
  2. Z

    Nilichojifunza leo kutoka kwa Prof. Lipumba na jenerali Ulimwengu ITV.

    "Amani haiji ila kwa ncha ya..
  3. Z

    CCM fanyeni mikutano ya elimu ya serikali 2 mbona waoga?

    nashindwa kupata majibu kwa nini ccm wanakataa serikali 3 wakati ndizo raia walopewa elimu ya uraia na upinzani,
  4. Z

    Mwafaka bado kati ya ccm na UKAWA,

    katika mkutano unaoendelea bado hakuna maridhiano kati ya CCM na UKAWA kila upande unavutia kwake,Rais akwamue, Chanzo: Deutsche Welle
  5. Z

    Jeshi la Polisi lapekua ofisi ya CHADEMA Makao Makuu!

    magamba wajue hakuna marefu yasokuwa na ncha,na nyasi zikizeeka hupisha mpya,na mnyonyaji hatesi akifuruliza muda
  6. Z

    Bungeni live: kamati ya nishati na madini

    kila mtz anadaiwa milioni 350,kwani tumeuzwa?
  7. Z

    Hatimaye uchunguzi waanza wa ile sumu toka kuleee

    waziri wa mambo ya ndani kasema hata kama wakipata ukweli hawatatoa taarifa hadharani.SASA KWA NINI WANAFUJA FEDHA ZA WANANCHI KUCHUNGUZA KITU AMBACHO HAKITATOA FAIDA KWA JAMII,kwani hata wakipata ukweli hawatachukua hatua zozote.TENA mbona wziri alisema kama mh SITA kama ana ushahidi autoe.hata...
  8. Z

    CHADEMA msijipe moyo, Chama chenu kitasambaratika kabla ya 2015

    CCM SIO BABA YANGU WALA MAMAYANGU,by nyerere j k,hivo no one has permanent political party,hata kama wewe GAMBa unaweza kuwa magwanda any time thats politics,you stand on which stands 4 majority not 4 party and self interest
  9. Z

    Lowassa Azidi kusonga mbele!

    is bitten,by taking wrong truck,has bad wish to our nation focing 2be forgiven and cleansed by using RED,DIRTY ,CORRUPTED MONEY,at least if he could help widows,clippled,oldest people and those unable 4 its there stolen taxes,insteed of helping churches especialy kkkt,he is creating reliogious...
  10. Z

    Lowassa Azidi kusonga mbele!

    tena mbona lowasa yuko bize na makanisa haoni miskiti?au mashehe hawataki fedha za ufisadi??
  11. Z

    Lowassa Azidi kusonga mbele!

    LOWAsa hata ajenge kkkt kila kata tz,hawezi kusafishika.fisadi mkubwa,kama kweli raisi hakumsikiliza kuvunja mkataba wa richmondi mbona hakujiuzuru kabla ya tume ya mh harson?na mbona kulikuwa na memo nyingi za kutoa maekezo na kushinikiza ktk ripoti ya tume,labda kkkT wanamwandaa kuwa askofu wao.
  12. Z

    Mwakyembe ndani ya kanisa la Gwajima; ashukuru kwa maombi akiri kulishwa sumu!

    pole sana Harson,hiyo yote kazi ya kutetea wananchi ndio maana unawindwa na mafisadi,UTAINGIA IKULU KWA NGUVU YA UMMA,
  13. Z

    Kutoka Zanzibar, CHADEMA yaanza kazi rasmi

    kazeni buti,tuko pamoja.lazima wananchi wapate ukweli juu ya ufisadi na ombwe la uongozi,
  14. Z

    Nyerere Aponda Safari za nje Za Rais

    mama polojo yaani hujui maana ya utandawazi?hata kama ni kumtetea raisi sema fact,au ndio mwisho wa uelewa wako.
  15. Z

    Mwakyembe aipasua serikali; Pinda amtaka azungumzie hali yake!

    it pains me much seeing a strong man who is fighting 4 tanzanians rights hunted like an animal, WHATS GOVNTS IS THIS,if the govent dont give out mwakiembes report i must resign ccm position i rank,its shame on them.
  16. Z

    Kauli tata za Kikwete kama kiongozi mkuu wa nchi hizi hapa

    ili kupunguza msongamano wa magari Dar mkituchagua nitajenga barabara za juu
  17. Z

    Tanzania siamini kama tutapata kiongozi mzalendo

    kweli inabidi tufanye changes kubwa ktk malezi na elimu kwa watoto babo wachanga kujua na kaishi kweli uzalendo pia mifumo ya utawala naona bado ni tatizo.
  18. Z

    Tanzania siamini kama tutapata kiongozi mzalendo

    Kama jamii yenyewe ndo chanzo tutatumia njia zipi kuleta uzalendo ktk jamii yetu?
  19. Z

    Tanzania siamini kama tutapata kiongozi mzalendo

    Bado siamini kama Afrika hasa tz tutakuja pata viongozi wazalendo,hii ni kwa sababu wote wanapopewa ridhaa husahau raia na kuweka maslahi yao mbele,wanapenda sn sifa,utajiri,nk.nashuri kuwe na strictly rule of law,na raisi asiwe na madaraka ya kuteua viongozi mhimu kwani inapelekea kufanya kazi...
  20. Z

    CHADEMA msijipe moyo, Chama chenu kitasambaratika kabla ya 2015

    p,se dont ignore someone vision and thinking ability though did not be specific,this is his/her all ability,thoughts,vision and knowledge has in tz politics,because even ccm is not idiot to such limit that is why even kikwete has no sure of reaching 2015 b,se of struggles of cdm giving education...
Back
Top Bottom