Search results

  1. P

    Maadhimisho ya miaka 100 ya Shule ya Sekondari ya Old Moshi. Tukutane Wahandisi tuliosoma hapo

    Namba za Hangang na Shengena. Muda mwingi kwa dukani kwa Mangile, fegi na mneli
  2. P

    Siri ya waliotumbuliwa NIDA yaanikwa

    Hahahahahahhh
  3. P

    Mtumba vs Mpya....!!!!!!!!!!!!

    Teh teh mkuu umenikumbusha mbali, enzi hizo baskeli tunaziita njenje, sijui siku hizi wanaziitaje?
  4. P

    Ameniboaa! Marafiki wa social network

    Teh teh teh JF bhana! Humu kuna siku kaka na dada au mke na mume watapanga kuonana baada ya kuitana hani za kutosha.
  5. P

    Inasikitisha !

    Seven out of every 10 patients seeking treatment in private health clinics today are most likely given an injection that they do not need. Speaking on condition of anonymity for fear of being sacked, doctors who have worked in private dispensaries in Dar es Salaam and Dodoma said that while...
  6. P

    Waenda kufunga ndoa kwa bodaboda, warudi kwa miguu

    Harusi ya kifahari ni ipi? na isiyo ya kifahari ni ipi? tunaweza kuchora mstari wapi? cha kifahari kwako kinaweza kisiwe cha kifahari kwangu. Sina shaka na gharama iliyotumika, tatizo ni utegemezi wa 100%.
  7. P

    Waenda kufunga ndoa kwa bodaboda, warudi kwa miguu

    Harusi imegharimu sh. 45,000 na pesa hiyo imechangwa na wanajumuiya!!! Nina wasiwasi kama wanadoa hao walijiandaa kuoana na kwamba hakuna shinikizo lolote. Je jumuiya itaendelea kulipa bili mbalimbali za familia hii? Kule kwetu ukitaka kuoa unapaswa kuonesha kuwa upo tayari kuoa na utamudu...
  8. P

    There shall be a day!

    Mkuu Keil umesema kweli, tutabadilisha mawaziri sana tuu lakini tusipobadilisha mfumo mzima basi tusitarajie miujiza yeyote. Mfumo mzima umeoza tunahitaji kuubadili kwa faida ya wananchi wote wa sasa na baadae.
  9. P

    Nimesikitishwa na Watanzania!

    Kama unadhani kuzikwa na watu wengi ni ushujaa au ni ishara ya kuwa na mchango mzuri kwenye jamii, basi jiulize swali hili. Kati ya Kanumba na Karl Marx nani zaidi? Nina wasiwasi sana na uwezo wa kifra/ufahamu wa wanahabari wetu hususan clouds media! R.I.P Jen Kyaro, natamani na wewe ungepata...
  10. P

    Nyumba Inapangishwa Kimara Dsm

    Nyumba inapangishwa, ipo Dar-es-salaam, Kimara maeneo ya Suca Motel. Ina vyumba vitatu vya kulala, servant quarter(2 rooms), guard room, fence, garden with pavement tiles, mabanda ya kufugia kuku, mbuzi na ng'ombe, ina maji with reserve tank(10,000ltrs). Bei ni sh. 500,000/= (negotiable) mkataba...
  11. P

    Kama umezaliwa miaka ya 1970 na 1980...

    Wakuu mmenikumbusha mbali. Enzi hizo ndala zilizokwisha tumika ni mali mno, makopo ya mafuta (cowboy, kcc) zilikuwa dili kwa kutengeneza mabasi, kila kijani mtaani alikuwa na manati yake. Shuleni ukifika darasa la tatu unapewa bustani ya mbogamboga na maua uitunze mpaka utakapofika darasa la...
  12. P

    Je, tunahitaji Vazi la Taifa?

    Dah! Kweli, tena kinafaa sana kwa suti
Back
Top Bottom