Search results

  1. FYATU

    Je, Mume na Mke kushirikiana kwenye ugomvi wa ndugu wa upande mmoja ni Mapenzi au ni ukosefu tu wa maadili?.

    Unakuta Mume au Mke anahitilafiana na ndugu au hata Wazazi wake, lakini unakuta Mume au Mke bila kujali kama kosa ni la mwenza wake basi nae anaunga tela na kukosana na hao Wakwe/Shemeji zake. Hivi haiwezekani Mume au Mke kuonyesha msimamo tofauti haswa kama tatizo lililopo chanzo ni huyo...
  2. FYATU

    Tukubali tukatae Mwanaume kukosa utawala wa kiuchumi nyumbani heshima ya MUME hupungua kama sio kutoweka kabisa

    Iwe ni kwa wale wa kipato cha juu kati au cha chini...yaani kama Mke anatengeneza shilingi mia tano kwa siku na wewe Bw Mkubwa ni apeche alolo, ni ngumu sana kuwa na ndoa imara ya Mume na Mke wanaosikilizana na kuheshimiana. Huenda kwa nje mtafanikiwa kutuonesha kana kwamba ndoa yenu ipo imara...
  3. FYATU

    Wazazi wenzangu mnaofuga huwa mnafanyaje inapotokea Mfugo Mama yupo kwenye heat?

    Kwa kizungu tunaita "embarrasment, haswa kwa tabia za hawa mifugo aina ya Mbwa. Afadhali hata kwa Kuku maana walau Mtoto mdogo huweza kufikiri tu hawa kuku wanapigana ila sasa ndio pale upo mahali na Watoto wako mmekaa mara linakuja kundi kubwa la Mbwa "wapo harusini" au hata hapo nyumbani kama...
  4. FYATU

    Mke wa mtu ananiomba niigize kama jamaa yake

    "Hawezi kukufanya chochote bana yule mimi namjua" haya ndio maneno yake anayoyarudiarudia kila mara ninapomsisitizia kuwa siwezi kufanya hivyo...Huyu Dada tuna ukaribu naye kibiashara na sina uhusiano nae wa kimapenzi na wala sitarajii kufanya hivyo. Mumewe tunafahamiana juujuu tu ila naye...
  5. FYATU

    Siku nIlivyolala na Mke wa Mtu kiutani utani tu

    Mwezi uliopita nilikuwa nasafiri kutoka Jijini Arusha kuelekea Jijini Dar Es salaam, kwa usafiri wa basi moja maarufu (jina kapuni). Niliiingia ndani ya basi na kwenda kuketi kwenye siti yangu, baada ya dakika kadhaa akaja Mwanadada mmoja mwenye uzuri wa wastani, na umbo moja maridhawa, huku...
  6. FYATU

    Damu nzito

    Kuna bwana anomba msaada wa ushauri. Miaka kama kumi na saba iliyopita, akiwa kidato cha tatu, jamaa alipewa taarifa na Dada wao wa kazi kuwa ni Mja mzito....baada ya Dada kuona jamaa anakodoa macho kodo akamwambia 'usishtuke Wewe soma siwezi kukuingiza kwenye majukumu mazito mapema hii'...kama...
  7. FYATU

    ACTOR TOMMY FORD DIED

    Wengi tunakumbuka mchezo maarufu wa TV wa MARTIN, uliokuwa ukionyweshwa kupitia ITV...wakati huo ndio TV pekee iliyokuwepo, hivyo ni wengi tulikuwa tunaangalia..mmoja ya Waigizaji wa MARTIN kati ya Watano amefariki dunia jumatano, tar 12/10....alikuwa maarufu kama Tom......R.I.P
Back
Top Bottom