Search results

  1. R

    Small Business Income Program Support

    Jamani nani amewahi kuwasikia hawa watu UK4AFRICA wana project yao inaitwa small buisness income program support ambapo kuna product zao unatakuwa kuwauzia retailers. Any information will be appreciated!
  2. R

    Updates za CRB(Contractors Registration Board)

    yeah. tulishafanya interview kama wiki mbili zilizopita
  3. R

    Updates za CRB(Contractors Registration Board)

    kuna mtu ana updates za crb kama wameshaita watu baada ya interview
  4. R

    Tupeane dili jamani

    natumaini mko poa wanajamii Maisha mgumu mtaani elimu ipo kazi hamna, nimeamua kujiajiri jamani tupeane tenda kwa yeyote atakae hitaji kutengenezewa website za occasion mbalimbali kama vile wedding, birthday,funeral, sendoff etc atakependa naomba tuwasiliane tafadhali, bei ni rahisi na hamna...
  5. R

    Call for written interview- nhif

    Wadau kwa wale walioapply nhif
  6. R

    Tanapa kulikoni!!!

    jamani huo sio ukweli au inategemea na post but latest updates nilizonazo kutoka kwenye source zinazoaminika tanapa ni kwamba kwa sasa wako kwenye process za shortlisting, applications ni nyingi mno and they have to record each n every application kwenye database. msikate tamaa kama una vigezo...
  7. R

    Msaada kuhusu hawa EROLINK RECRUITMENT AGENCY TAFADHALI!!

    nimewahi kufanya nao kazi call center vodacom miaka mitatu iliyopita.... mshahara customer care kipindi kile ilikua si zaid ya laki tano but hii inategemea na masaa uliyofanya kazi, wanalipa kwa masaa. mwajiri wako anakua erolink then pale inakua kama center ya kazi so any thing related to work...
  8. R

    Tanapa

    ndugu zangu msikate tamaa, mi nina uhakika asilimia mia moja kwamba bado hawajaanza kuita watu kwenye interview, nafahamiana na watu kadhaa pale, ingawa sijaaply lakini hiyo position ya senior it kuna mtu tayari but wametangaza cz wanahitaji mtu mwingine...so kuweni wavumilivu cz wanadai short...
Back
Top Bottom