Search results

  1. H

    Tukumbuke tamthilia ya tausi

    Tulikuwa chuo DIT bwalo la chakula lilikuwa linafulika kupita kiasi.
  2. H

    Togolani Mavura ateuliwa kuwa msaidizi wa JK - Hotuba

    Kijana apige kazi kwa maslahi ya Nchi.
  3. H

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Neno eti inaonesha kuwa anafanya au alikwisha fanya.
  4. H

    Ningekuwa CC ya CHADEMA ningemsamehe Kitila Mkumbo

    Kitila Mkumbo ni msomi aliyebobea na hata ushauri wake ni wa kisomi. Kweli kakosea ila kusamehewa pia kungefaa sana maana hata kumvua nyadhifa zake ni adhabu ya kwanza tosha. Ila yote yamepita ikitokea tena tupunguze hasira kabla ya kufanya maamuzi.
  5. H

    Orodha ya Majina ya Wajumbe wa Bunge la Katiba hii hapa

    Majina yako sawa kama kweli wataweka maslahi ya taifa mbele badala ya kuanza kulumbana kwa itikadi za vyama vyao.
  6. H

    Nafasi pccb link hapa

    Poleni mlio kosa jaribuni kwa wakati mwingine.
  7. H

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Hiyo iko wazi kbs kuwa vodacom wana matatizo makubwa sana hata ya usikivu wakati unaongea. Hili la wizi limekithili kwani unawekewa wimbo na kukatwa bila ya wewe kuomba wimbo husika. Huu sio mtandao kabisa jamani.
  8. H

    Lowassa apongezwa na BAKWATA kwa kuvishwa joho maalumu.....milioni 590 zachangishwa

    Huyu m2 hatufai, hakuna kiongozi kwa namna hiyo wa kugawa fedha ili apate madaraka.
  9. H

    Hatimaye Jeshi la Polisi wamjibu Joyce Kiria kuhusu madai yake kwamba wamwambie alipo mume wake

    Si dhani kama hilo ni jibu, hiyo ni siasa, naomba kuwaulizeni kuwa ukiulizwa kuwa 2x2 ni ngapi unasema 4 au unaeleza njia za kupata jibu?
  10. H

    Hatimaye Jeshi la Polisi wamjibu Joyce Kiria kuhusu madai yake kwamba wamwambie alipo mume wake

    Nafikiri yaliyoandikwa yote huyo Bi. Senso msemaji wa jeshi la Polisi ameyasoma na kuyaona na wote walioandika si wajinga na si wote hawalipendi jeshi la polisi ila ajibu swali kuwa Yuko wapi mtuhumiwa, nafikiri angejibu alipo yote yaliyoandikwa yasingekuwepo.
  11. H

    Mbunge wa Kasulu mjini Mh. Moses Machalli avamiwa na kupigwa na watu wasiojulikana!

    Ni vema matatizo haya yakashughulikiwa kwa karibu maana hizi kauli za viongozi wa juu zinaweza tumiwa vibaya, serikali ichunguze na kuhakikisha kuwa waliohusika wanakamatwa hata kama wamo ndani ya serikali.
  12. H

    Pinda: CHADEMA wanatekeleza kauli yao ya nchi haita tawalika

    Mh. Pinda nenda taratibu hata mikutano yenu watu wataisusia maana wataogopa kupigwa, kumbuka kauli ya Rais wetu wakati akiongea na wazee Dar. kuwa wafanyakazi kura zao hazitaki ilivyosumbua chama. Nafikiri ni kuangalia wale wanaoleta fujo na wakathibitika kwani kuna wakati unahudhulia mkutano na...
  13. H

    Sasa ni dhahiri - Amani ya Tanzania iko mikononi mwa CHADEMA!

    Inatakiwa Police wajue kuwa wao ni walinzi wa usalama wa raia na mali zao maana si kweli kuwa hakutakuja kuwa na mabadiliko nchini, hilo lazima walijue hivyo wao waangalie usalama wa raia 2.
  14. H

    MACHALI: CCM na CHADEMA vifutwe

    Nafikiri hawa wabunge we2 wanapaswa kufikiri kabla ya kuongea kwani inaonekana ni namna gani thinking capacity yao ilivyo ndogo na ndo maana wanapitisha baadhi ya sheria wakitoka nje ya ukumbi ndo wanaona makosa yake; kwa hili machali hatakiwi kulaumu direct CDM maana pale jukwaani walikuwepo...
  15. H

    Kazi ya Mungu tuu, ndio kazi iliokamilika

    Nafikiri Bw. Mwigulu utajipima sasa kuwa ni kwa namna gani watu hawakupendi kwa ambayo yanasikika kutoka kwako, jua kuwa hata mchawi anawanga peke yake usiku lakini asubuhi watu wanajua, kwa hiyo nawe jitathimini na angalia utendayo na heshimu vyama vingine pia. Kumbuka kuwa kuna siku chama...
  16. H

    Kuvamiwa Kibanda, Inawezekana kuna siasa chafu za kujenga chuki dhidi ya serikali/polisi

    Sitaki kuamini na kufuata malumbano ya hapo juu ila yote kwa yote tusubiri uchunguzi na tuiamini serikali maana bila kuiamini serikali tutakuwa hatutendi democrasia ambayo ndiyo tulioiweka madarakani ili ituongoze.
  17. H

    Who won Kenya's first Presidential debate?

    It's your duty you Kenyan to choose the right candidate.
  18. H

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA (Arfi) atupa kadi kikaoni, atishia kujiondoa chamani!

    CDM tulieni panganeni vizuri malumbano ni sehemu ya maisha, baada ya hayo gangeni yajayo na kila mchezaji ashike no.yake vizuri tuhakikishe hatufungwi goli lolote maana mkiendeleza malumbano mtafungwa mabao mpaka basi na nyumba nyeupe mtaiona ikikaliwa na wale wale wa miaka yote bila mabadiliko.
  19. H

    Ya Mulugo: Was Only a Slip of Tongue! [Aliteleza Ulimi tuu]

    that was a slip of tongue it can occur to every body
Back
Top Bottom