Search results

  1. G

    Viongozi wawili ccm kuburuzwa mahakamani

    Pesa za dowans hizo zinafanya kazi.hazina pa kwenda zinaishia na kuhonga viongozi wa vyama vya siasa na kujinadi kwenye vyombo vyombo vya habari kuwa amesambaqatisha ngome ya chadema sengerema na mwanza
  2. G

    Kwa hali hii wanaoitetea CCM hadharani wana ujasiri gani?

    Yaani hiki chama ni aibu tupu ni kichaka cha maovu,wengi wanaingia kwenye chama kuficha maovu yao.Mwanza diwani mmoja mwenye utajiri wa kutisha ambao si wake.kwa kutumia uwezo wa chama, pesa na vyombo vya maamuzi kupora nyumba ya watu kisa wenye nyumba hawataki kuwauzia kupisha ujenzi wa...
  3. G

    Ngeleja azua kizaa zaa Mwanza

    Ni kweli hilo jengo lipo hapa Mwanza.tunamsifu kwa kuongeza mandhari safi ya mji wetu.Lakini taarifa tulizo nazo hapa mwanza ni kua ujio wa majengo hayo umeleta mateso makubwa kwa wamiliki wa nyumba namba 44na45 ambao waligoma kuuza nyumba zao.huyo kiongozi wa ccm kutumia madalali na watu wa...
Back
Top Bottom