Search results

  1. M

    Pikipiki ya kuchaji inauzwa

    Habari ndugu, nauza pikipiki ya kuchaji aina ya linkall . Bado iko imara bei 550k (maingezi yapo) nicheki kwa 0783150130 chapu uchukue mali
  2. M

    Plot4Sale Nauza kiwanja changu kipo Mbezi Kibanda cha Mkaa

    nicheki kwenye simu au nipe namba yako PM
  3. M

    Plot4Sale Nauza kiwanja changu kipo Mbezi Kibanda cha Mkaa

    habari zenu wakuu bei nimepunguza nipe milioni 13 nikuachie kiwanja changamkeni jamani ukichelewa tusilaumiane
  4. M

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    naomba namba PM nikawakilishe mkuu
  5. M

    Plot4Sale Nauza kiwanja changu kipo Mbezi Kibanda cha Mkaa

    km kama 3 unaweza kuona hapo kwenye ramani umbali kutoka morogoro road hadi site
  6. M

    Plot4Sale Nauza kiwanja changu kipo Mbezi Kibanda cha Mkaa

    nauza kwa dharura mkuu vinginevyo nisingeuza kabisa kwa jinsi palivyokua pazuri
  7. M

    Plot4Sale Nauza kiwanja changu kipo Mbezi Kibanda cha Mkaa

    sio mbali kipo karibu mnoo mwendo wa dakika tano kutoka morogoro road
  8. M

    Plot4Sale Nauza kiwanja changu kipo Mbezi Kibanda cha Mkaa

    umbali ni kama 2km kutoka kituo cha kibanda kwa mkaa . nauli ya bajaj ni buku tu hadi site boda boda 2000
  9. M

    Plot4Sale Nauza kiwanja changu kipo Mbezi Kibanda cha Mkaa

    habari wana jf . nauza kiwanja changu kinachopatikana mbezi mji mpya karibu na stendi ya magufuli terminal. kiwanja kina ukubwa wa futi 60x50 average sio square. Bei ni 15,000,000 maongezi yapo. kipo sehemu tambarare pamejengeka pande zote umeme na maji vipo site. kiwanja kimeendelezwa tayari...
  10. M

    USHAURI: Simuelewi mume wangu

    Pole dear ngoja wajuzi waje niko seat ya mbele
  11. M

    INAUZWA Pikipiki inauzwaa

    Habari ndugu , Boxer BM 150 inauzwaa bei yake 1.6m bado ni imara sanaa. Documents zote zipo nicheki kwa namba hiii tufanye biashara 0783150130 asante
  12. M

    Natafuta shamba la kufugia kuku ya kukodi

    Habari za muda wa kuu , natafuta farm/shamba la kufugia kuku lenye mabanda makubwa yanayoweza kuingiza kuku takriban 50,000 au zaidi kwaajili ya kukodi. Mambo muhimu kama umeme na maji viwepo site karibuni tushirikiane kwenye hili asanteni. Kwa mawasiliano zaidi nicheki namba hii 0783150130...
  13. M

    Kujichua ama kupiga punyeto kwa wanawake

    Omg ww mtoto una balaaa
  14. M

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Connection gani tena?
Back
Top Bottom