Search results

  1. D

    Mashabiki wa Uingereza ni wazalendo wa kweli

    Watu wengi huku kwetu kusini mwa jangwa la sahara wanapotosha maana halisi ya "uzalendo" maana wanaligeuza neno kama kibwagizo cha kutafutia fulsa na kushibisha matumbo yao. Uzalendo sio kelele za kasuku bali uzalendo ni vitendo vya utu, upendo, na kuwa na matarajio mema kwa taifa husika...
  2. D

    Jinsi wasomi wanavyodhalilishwa Bungeni

    "Elimu ni ufunguo wa maisha" hii ni kauli ambayo wengi wengi tumeisikia sana katika juhudi zetu za kutafuta maarifa na ujuzi kwa ajiri ya maisha yetu. Lakini kwa mazingira ya Tanzania elimu imekuwa kitu kingine tofauti kama vile nongwa, kejeli, dhihaka na masimango. Hakuna kitu kinachouma na...
  3. D

    Tanzania Mama yangu

    Kuna watu kwa akili zao timamu wanafikili wanalidai sana taifa lao "Tanzania" kuliko jinsi taifa linavyowadai wao. Tanzania tangu enzi za ukoloni mpaka inajipatia uhuru wake kuna watu wamejitoa kwa jasho na damu mpaka kutufikisha hapa tulipo. Rejea harakati za kudai uhuru, azimio la Arusha, vita...
Back
Top Bottom