Search results

  1. K

    Machemli Aibwaga Serikali Kortini

    Naunga mono lkn nadhani anatakiwa adai fidia kubwa ili fidia hiyo itatue kero kkadhaa za wananchi kama afya, maji
  2. K

    Hizo kazi maalum za Prof. Mark Mwandosya ni zipi?

    Ukiona vyaelea ujue vimeubwa!taasisi ya uraisi lazima iwe na maofisa wanaosadia utendaji kazi,nadhani ili kupunguza gharama za kiutawala ni vyema ingeudwa taasisi ya uraisi na kazi zake ziwekwa wazi ili wanachi tufahamu
  3. K

    Wanakigoma kutoa tamko kuwa wana vyama 3 tu vya siasa

    Wananchi tunatakiwa tuwe makini na utitili wa vyama kwa kuwa vinaendeshwa kwa kodi tunazolipa sisi! Lengo la kuwa na vyama vya upinzani ni kutoa changamoto kwa chama tawala kuharakisha maendeleo ya wananchi,kukifanya chama tawala kuwajibika kwa wananchi na ikiwezekana kkushika dola,vyama...
  4. K

    Dr. Kitila Mkumbo: Tunahitaji mbadala wa CCM, CHADEMA (Sehemu ya Pili)

    Baadhi ya wasomi wetu wamelemewa na uzito wa tai wanazozivaa,hoja ya msingi ni 1.waraka wa dr Nkumbo ulikuwa na lengo gani? 2. Je dr Nkumbo kama mjumbe wa kamati kuu alishidwa nini kuwaiisha waraka wake kwa njia stahili? Kama waraka ulikuwa na lengo la kujenga CHADEMA kwa nini amekuwa bubu...
  5. K

    Dr. Kitila Mkumbo: Tunahitaji mbadala wa CCM, CHADEMA (Sehemu ya Pili)

    Baadhi ya wasomi wetu wamelemewa na uzito wa tai wanazozivaa,hoja ya msingi ni 1.waraka wa dr Nkumbo ulikuwa na lengo gani? 2. Je dr Nkumbo kama mjumbe wa kamati kuu alishidwa nini kuwakiisha waraka wake kwa njia stahili? 3. Kama waraka ulikuwa na lengo la kujenga CHADEMA kwa nini amekuwa bubu...
  6. K

    Is ITV pro- CHADEMA?

    Mimi sioni tatizo lolote hapo,wandishi wanatoa habari yenye tija kwa walaji wahabari,lkn pia tupo kwenye soko huria ndo maana pamoja na ukweli kwamba operation pamoja daima ya chadema nxio habari kuu zaidi lkn tbc hawajawahi kuonesha habari hizo! lkn ziara za kinana na napezilipewa nafasi kubwa
  7. K

    Unafiki wa Zitto Kabwe na suala la Posho - Lema

    Uongozi wa chadema naamini ni uongozi makini sana, ndio maana ndani ya muda mfupi chadema imeweza kuongeza viti vya madiwanina wabunge maradufu, lakini najiuliza kwa nini uongozi umefumbia macho kutofautiana kwa kauli kati ya zitto kabwe na godbless lema?je majibishano hayo yana tija kwa...
  8. K

    Unafiki wa Zitto Kabwe na suala la Posho - Lema

    Uongozi wa chadema naamini ni uongozi makini sana, ndio maana ndani ya muda mfupi chadema imeweza kuongeza viti vya madiwanina wabunge maradufu, lakini najiuliza kwa nini uongozi umefumbia macho kutofautiana kwa kauli kati ya zitto kabwe na godbless lema?je majibishano hayo yana tija kwa...
  9. K

    Freeman Mbowe anamiliki jumba la kifahari Dubai!

    Tunahitaji mawazo mbadala kama haya, ndugu umefanya kazi kubwa zaiidi ya wandishi wa habari uchwara waliojaa Tanzania! wanahabari waangalie habari wanazozipata kwa jicho la tatu na sio kukurupuka
  10. K

    Nape: CHADEMA wamepewa fedha na wazungu kuvuruga mchakato wa katiba

    Nimeshangazwa sana na uchochezi unaofanywa na kuwadi wa ccm, Nape !hivi vyombo vya ulinzi na usalama vipo wapi kumuacha mtu kama Nape kuendelea kufanya uchochezi?lakini pia nimeshangazwa na uwezo hafifu alionao kiongozi wa ngazi za juu ndani ya ccm kama Nape, hivi Nape anashidwa kusoma alama za...
  11. K

    zoom@Tz NIMEWAKUBALI

    Hatudanganyiki hata kidogo, huyo mujumba ni miongoni mwa washikadau wajuu wa mtandao wa zoom, baada ya kuona watu wakilalamikia ulaghai unaofanywa na zoom ameona aje na njia ya kuwasfisha hao zoom! zoom hawasafishiki hata kidogo-
  12. K

    Hongera Lema! Hongera Chadema!

    Tutenganishe unafiki na uzalendo, kiongozi mkubwa aliyepewa dhamana ya kuwa katibu wa itikadi za chama haiwezekani asifahamu kuwa kuandamana ni miongoni mwa haki na wajibu wa raia pale wanapokuwa hawakuridhika na utendaji wa serikali yao, hivyo Nape anatakiwa atambue nchi hii bila maandamano...
  13. K

    Tukio la Morogoro: ITV imeitendea haki CHADEMA, POLISI na Watanzania!

    watanzania hatuna budi kubadili fikira zetu ili kuendana na mabadiliko makubwa yanayotokea katika jamii zetu, vyombo vya habari kupotosha ukweli wa mauaji ya wanannchi wasiokuwa na silaha morogoro haviwezi kuvumiliwa, tunaomba wananchi kwa umoja wetu tushirikiane na vyombo vya habari vyenye...
  14. K

    Tukio la Morogoro: ITV imeitendea haki CHADEMA, POLISI na Watanzania!

    watanzania hatuna budi kubadili fikira zetu ili kuendana na mabadiliko makubwa yanayotokea katika jamii zetu, vyombo vya habari kupotosha ukweli wa mauaji ya wanannchi wasiokuwa na silaha morogoro haviwezi kuvumiliwa, tunaomba wananchi kwa umoja wetu tushirikiane na vyombo vya habari vyenye tija...
  15. K

    Nape ana wadhifa gani SERIKALINI?

    mmh hii nchi inaongozwa na matakwa ya mtu nawala si kwa taratibu na kanuni za utawala
  16. K

    Godbless Lema avuliwa ubunge

    Serikali ya tanzania inatakiwa iwaonee hurumu watanzania wanaolala njaa ili kulipia kodi ambazo wanaamini zitapelekea maendeleo ya nnchi yao,kurudi uchaguzi ni gharama kubwa sana na ni mzigo mkubwa kwa watanzania ambao ni walipa kodi! poleni CHADEMA lakini ninaamini jimbo bado ni la CHADEMA kwa...
  17. K

    Viongozi wanatakiwa kuwaheshimu wananchi waliowapa madaraka

    Ndugu zanguni, hapa tanzania viongozi hawana heshima kwa wananchi ambao ndio wamewapa madaraka, hapo nyuma kidogo wakati wa mugao mkali wa umeme kuna kiongozi mwandamizi wa tanesco aliyesema eti yeye binafsi na shirika la tanesco halidhani kama watanzania wanaadhirika kwa mgao wa umeme! lakini...
Back
Top Bottom