Search results

  1. Tanzania 1

    Polisi Wanachangia Uhalifu

    Matapeli wengi wamekuwa "wakiwazukia" wananchi kwa kudai kuwa ni askari kanzu na kuwa wana mashaka na mtu/watu "waliowazukia". Lengo lao hasa ni kumtia mshikemshike "mtuhumiwa" wao ili waweze kumchomoa pesa kwa madai ya kuizima "tuhuma" kwa kutoifikisha mbele. Hili limekuwepo miaka nenda...
  2. Tanzania 1

    Wasaidie Hawa Watoto!

    Heshima kwenu wakuu, Kuna watoto wanatoka Uingereza wanataka kupiga picha na akina Masanja wa iliyokuwa "Ze Comedy". Anayeweza kuwasaidia hawa watoto jinsi ya kuwafikia "Ze Comedy", naomba anitumie PM. Ahsanteni!
  3. Tanzania 1

    Naomba Msaada Wenu Kupata Picha Za Wastaafu- Jumuiya Ya EA!

    Wakuu, Nakuombeni mnitumie picha za wastaafu wa iliyokuwa Jumuiya ya Afr. Mashariki. Naomba zile zinazoonesha umati wa wastaafu hao, na zinazoonesha mmoja mmoja -- hasa wale wanaoonekana wamekula chumvi nyingi mno. Nakuombeni pia taarifa na habari zinazowahusu wastaafu hao. Nakuombeni...
  4. Tanzania 1

    Naomba Msaada Wenu!

    Nimei-format hard disk yangu, lkn sasa inanionesha kuwa ina capacity ndogo mno! Some kilobytes badala ya 40GB!! Yaani, siwezi kuingiza hata program moja! Nifanye nini kui-restore ktk capacity yake? Au inamaanisha kuwa HD hiyo haiwezi kufanya kazi tena? Natanguliza shukran zangu. T-1
  5. Tanzania 1

    Rais wetu na Kiswahili

    Nimefurahiswa na Rais kutukumbusha/kusisitiza kuwa juice kwa Kiswahili ni sharubati, lkn alinishangaza/alinisikitisha pale aliposema "ng'ombe zangu"!! Hiki si Kiswahili sanifu! Watanzania wengi tunajivunia kwa kuijua lugha ngeni huku tunaipa mgongo lugha yetu. Wengi wanafanya makosa mfano wa...
  6. Tanzania 1

    Things Fall Apart

    Je, unajua? Kile kitabu mashuhuri sana ktk fasihi andishi -- "Things Fall Apart" -- cha Chinua Achebe, kimetimiza miaka hamsini tangu kichapwe.
  7. Tanzania 1

    Porojo za Kapuya

    Kapuya aliwapiga chini vijana wengi wa JKT miaka michache iliyopita, alipokuwa waziri wa ulinzi. Isitoshe, alitoa ahadi bungeni kuwa angewapa ajira vijana hao. Sasa anakuja na porojo lingine!!: Serikali kumwaga ajira milioni tano 2008-07-22 10:55:44 Na Mashaka Mgeta, Dodoma Serikali...
  8. Tanzania 1

    Unafiki wa Serikali

    Serikali wanayadai haya hapa chini huku tovuti zao ziko ovyo kabisa; ni sawa na hakuna!! Serikali yataka wananchi kuchangamkia teknolojia ya habari na mawasiliano 2008-05-14 16:01:40 Na Joseph Mwendapole, Jijini Serikali imesema mikakati ya makusudi inahitajika kuwaandaa wananchi...
  9. Tanzania 1

    Problem with CSS rendering

    Hi everybody! I've encountered a problem on CSS coding. Whenever I open an html file in a browser (I'm using I/net Explorer 7.0), the CSS code is not rendered, but only the HTML code. In other words, the CSS code is filtered out -- as if it's a comment. Can any one help me solve this problem?
  10. Tanzania 1

    tiGO ni wezi!!

    Ni mara ngapi unachunguza salio lako? Km uko ktk mtandao wa tiGo, angalia salio kabla ya kutuma SMS, kisha, km Delivery Report inachelewa au msg iko pending, angalia tena salio. Utagundua kuwa pesa zimeshakatwa hata kabla msg haijafika ulikokukusudia. Hii ina maana kuwa wanakata pesa hata km msg...
  11. Tanzania 1

    Virus On Windows

    Warning on stealthy Windows virus Security experts are warning about a stealthy Windows virus that steals login details for online bank accounts. In the last month, the malicious program has racked up about 5,000 victims - most of whom are in Europe. Many are falling victim via...
  12. Tanzania 1

    Which is the best program for w/site designing?

    Dear all, I'd like to know of the best program I can use to design a website, and where can I visit to get tutorials for the program. I'd also appreciate notes/lessons in pdf (format) for the afore mentioned. Thanks
  13. Tanzania 1

    Brain Teasers And Quizes

    Ni kwa ajili ya kuuchangamsha ubongo. Samahanini km nimeiweka hii thread pasipostahili: BROTHERS AND SISTERS HAVE I NONE BUT THIS MAN'S FATHER IS MY FATHER'S SON WHO IS THIS MAN? WHAT IS IT?: WITHOUT IT THERE WOULD BE NO MEN NO WOMEN BUT ONLY BOYS AND GIRLS BEGINNING OF EVERYTHING...
  14. Tanzania 1

    Tuwekeeni Link ya "Opportunities"

    Hi, everybody! Nimekuona nikiona nafasi nyingi (si nafasi za kazi) zimekuwa zikitokea siku za hivi karibuni, hapa Tz na nje, lkn wengi wamekuwa wakizikosa nafasi hizo k/sbb ya kutokuwa na taarifa nazo. Kwa mfano, mashindano ya kuandika Business Plans. Mnaonaje km kutakuwa na link ya...
Back
Top Bottom