Search results

  1. C

    Vifo vya watoto wadogo na akina mama wajawazito.

    Jamani hebu tasaidiane hapa..Hivi tuiambie nini hii serikali yetu ili ielewe na ichukue hatua juu ya mwanamke mjazito kutembea kilomita 18 kwenda kujifungua? vifo vya watoto na akina mama wajawazito kila siku vinaongezeka...Tufanyeje????????ili tuwaokoe ndugu zetu huko vijijini.
Back
Top Bottom