Search results

  1. Francis the King

    Nataka!!!

    Duh!! kweli si ulimi tu hata keyboard pia haina mfupa
  2. Francis the King

    Nataka!!!

    LOL hii kali sasa, naona mada iliyowekwa na mwensetu hapo inapotea
  3. Francis the King

    On Mbowe: Man, Family Life and Politics

    Guys, this is real, hate him or love him.. CHADEMA imekuwa successful saana under Mbowe leadership kuliko Mwenyekiti mwingine yeyote. Awe ameenda shule au hajaenda, Mungu amempa kila mtu charisma yake, this guy has taken this party somewhere ...besides mbona Bill Gates hana hata college degree...
  4. Francis the King

    The road towards 2010 Elections

    Kwa mujibu wa chanzo chetu cha habari, ambacho jina lake linahifadhiwa, bifu la wawili hao limefikia mahala ambapo watu hao hawasalimiani wala kutazamana usoni. Habari zinasema kuwa waheshimiwa hao mwishoni mwa wiki iliyopita, walipanda ndege moja wakitokea Mwanza hadi Dar es Salaam huku...
  5. Francis the King

    Watoto wa vigogo BoT wasafishwa

    I am sick of this country..
  6. Francis the King

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Hivi hawa jamaa mnawabembelezea nini? wenyewe ndio wamejazana huku Bara wanaongeza tu hewa chafu jijini. Inatakiwa wenyewe ndio waje kwa passport kwanza wanawabania watu wa bara, shughuli za kawaida kama kuendesha maduka ambazo zingewezwa kufanywa na wazawa wa bara wenyewe ndio wanakuja...
  7. Francis the King

    Jukwaa la Wahariri lamfungia Mkuchika; latoa ripoti ya Tarime

    Naona mkuu hujasoma vizuri ripoti hiyo, ripoti inasema vurugu zilikuwepo lakini hazikumlenga Mbowe kama taarifa za Marato zilivyosema
  8. Francis the King

    Jukwaa la Wahariri lamfungia Mkuchika; latoa ripoti ya Tarime

    Kwa mtu makini lazima alijua kabisa kuwa habari ile ilipikwa. Tunashukuru wanatarime kwa kuwakata ngebe mafisadi waliomtumia Marato kwa kumuandalia Mbowe mapokezi yaliyovunja rekodi huko Tarime pamoja na kulirudisha tena jimbo mikononi mwa wanyonge Tunaishukuru pia ITV kwa kumtimua Marato kwa...
  9. Francis the King

    Ubunge Tarime: Wagombea, Kampeni na Uchaguzi

    Thats what am talkin about!!!!!!!!!!! Congrats sana CHADEMA kwa kufanya kweli, chama cha mafisadi taratibu kitatokomea Ila inasikitisha kuwa wakati watanzania wa kawaida wasio na elimu huko Tarime wameamka lakini watanzania wanaojiita wamesoma na wana 'exposure' huko nje wako usingizi mzito...
  10. Francis the King

    Ubunge Tarime: Wagombea, Kampeni na Uchaguzi

    Currently Active Users Viewing This Thread: 311 (89 members and 222 guests) Solidarity Forever Aluta Continua
  11. Francis the King

    Ubunge Tarime: Wagombea, Kampeni na Uchaguzi

    Jamaa amezidi kuropoka wangemcharanga mapanga kabisa, u deserve this u idiot mtikila
  12. Francis the King

    Wabunge kuunga hoja asilimia miamoja!

    Hao ndio wawakilishi wa wananchi wa jamhuri ya muungano wa Wadanganyika
  13. Francis the King

    Bunge la CCM, siku zote litatetea ufisadi

    Ama kweli yule jamaa aliyeandika kitabu cha The Shacked Continent (Africa), nakubaliana nae kabisa kwa sababu ya madudu haya ya viongozi wa kiafika
  14. Francis the King

    Waziri Lawrence Masha hana uwezo

    Hii chini ni extract kutoka ktk makala ya Saed Kubenea Laurance Masha: Huyu ni Waziri wa Mambo ya Ndani na Usalama wa Raia. Huyu alikuwa Naibu Waziri wa Nishati na Madini, wakati mkataba wa kinyonyaji wa Richmond unajadiliwa na kusainiwa. Masha hawezi kukwepa lawama kwamba alishiriki...
  15. Francis the King

    UDSM: Tunaomba msaada wenu JF!

    Huyu Gembe inaonekana kama ni kuwa pale Mlimani alikuwa labda anasomea certificate ya Law hivyo mambo ya degree courses alikuwa hajui kitu ndio maana anakurupuka
Back
Top Bottom