Ndugu wapendwa, hongereni kwa jukumu la kujenga taifa.
Nimekuja hapa na kazi iliyokamilika, anaetaka tupige kazi unakaribishwa.
Nimetengeneza website ya utalii, ambayo itawasaidia watu wa kawaida wenye uzoefu na mambo ya utalii, pamoja na mawakala, wenye makampuni ama wasio na makumpuni...
Za jioni wandugu,
Nimetembelea mkoa wa Iringa, niweza kujionea maajabu na fursa nilizozikuta. “Kweli tembea ujione”.
Tenga la nyanya, ambalo linatoa mbaka ndoo kubwa tatu, linauzwa 15,000 .
Kukodi kwa eka ni 30,000.
Kutumia ng’ombe kwa eka moja ni 30,000.
Kutumia treka ni 50,000 kwa eka...
Za mida wapendwa.
Uzi wa leo ni wa kuangalia za biashara zilizopo mkoa wa DSM tu. Na kama uzi huu utazaa matunda basi bila shaka tutaelekea mkoa mwingine.
1. Kushona nguo- hapa ukipata fundi mzuri, unatoboa. Sio lazima ujue kushona.
2.Kuuza icecream za mia mia-hapa ukiwa mchapa kazi bila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.