Poleni na majukumu ya Kila leo!
Mwenye kufahamu katika hili anijuze! Ni Nini kinaendelea huko jamani maana watoto wameshakuwa wakubwa na wanakaribia kwenda shule sasa bado malipo hayajafanyika.
Na lingine ni kuhusu tamisemi uhamisho wa watumishi walisema watatoa vibali Dec 2020 kabla ya sikukuu...
Habari zenu ndugu zangu wa humu.Poleni na majukumu ya kila leo!
Nina ndugu anashida kidogo nikasema humu kuna watu wengi na wenye uelewa wa vitu vingi sitokosa jibu sahihi la kumpa(naamini hivyo).
Ana shida ya kiwanja kwa Mkoa wa dsm..kiwanja ambacho anaweza akaanza ujenzi wa haraka zaidi na...
Aassalam aleykum!
Nahitaji kuhamia Dar es Salaam kwani mume wangu ni mfanyabiashara katika jiji lile...je niandike sababu gani kwenye ile barua yakuomba kuhamishwa? Lengo langu barua yangu iweze kufanyiwa kazi kwa haraka na niweze kumfata mume wangu? Siwezi kukaa naye mbali jamani.
Naombeni...
Habari za mida hii wakuu! Nna mdogo angu yupo tanga yy afanyakazi km mtendaji wa mtaa wa kata flani huko huko tanga! Anataka aondoke tanga ahamie DSM! Je kwa huko DSM anaweza kupata nafasi ya kazi km hiyo?yaani tutajua vipi km kuna nafasi ya kazi km hiyo? Na utaratibu uko vipi?
Naombeni msaada...
Je, dawa ya cetrizine inafaa kutumia kwa Mjamzito?
Nina mafua makali na kichwa kinanigonga sana! sijajua dawa gani naweza kunywa.
Natanguliza shukrani!
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari zenu poleni na majukumu.
Miezi miwili iliyopita nilikwenda hospitali kuonana na Dr. wa wanawake kutokana na tatizo langu la kutopata ujauzito na vile mzunguko wangu haujakaa vizuri alinifanyia kipimo na akasema siwezipata ujauzito coz mayai yangu ni useless! ananipa dawa zakueka mzunguko...
Poleni na majukumu!
Samahani sina experience yoyote kwenye ukulima hivyo naomba ushauri wenu.
Napanda mbogamboga kama matembele na mboga za maboga, bamia hapa nyumbani kwangu kwa ajili ya matumizi ya nyumbani tu! Nawekaga mbolea ya mavi ya kuku au ya ng'ombe na namwagilia tu na maji kawaida...
Habari zenuuu...hata Mimi nilihangaika kweli kujifunza mapishi ya ubuyu...haki..nilishaharibu sukari yangu Mara kibaooooo lkn ckukata tamaa! Sasa ni hiviii
Mahitaji:
Sukari kilo moja
Ubuyu vikombe 6
Unga wa ubuyu kikombe kimoja
Pilipili manga kijiko kimoja
Ikili kiasi
Bikabonet of soda kijiko...
Habari zenu ndugu zangu! mimi ni mwanamke wa miaka 30 sasa! Ndugu zangu jana usiku nimegundua kuwa kucha zangu zipo hivi! Kamstari kama rangi ya kahawia uliokaa kama duara hivi!
Hiki kidole kimoja kinaonyesha vizuri ila vingine vinaonyesha kwa mbali na vingine havina!
Je, ni ugonjwa gani huu...
Habari zenu ndugu zangu!
Ni msichana wa miaka 30! nina ujauzito takriban week 6 hadi7! Jana nilipoenda haja nikakutana na vidamu kidogo na leo pia vile vidamu na utelezi kidogo bado vipo! Sio vingi sana sababu havijashika hata kwenye nguo ya ndani!
Nimeenda hospitali na daktari akaniandikia...
habari zenu ndugu zangu! naombeni ushauri juu ya uzazi wangu huu...ni msichana mwenye umri wa miaka 28..nlibeba ujauzito hatimae nkajifungua kwa njia ya kawaida mtoto alkuwa na kilo 4.1..alikuwa ni mtoto wa pili! nlijifungua salama nashkuru Mungu mtoto wa kiume ila mtoto alikuwa amelegea yaan...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.