Search results

  1. Linguistic

    Huu Ndio Uongozi Wa UVCCM Kwa Mkoa wa Dar es Salaam

    Bakwata Wanaupiga Mwingi. By the way Inafikirisha Sana Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  2. Linguistic

    Kocha wa Makipa Simba SC na wengine 8 wakamatwa na Dawa za Kulevya

    Kocha wa makipa simba mbaroni kwa kukutwa na dawa za kulevya aina ya heroine. Sambamba na boss wa Cambiaso ================ Kocha huyo, Mwalami Sultan ni kati ya watuhumiwa 9 akiwemo Mmiliki wa Kambiaso Sports Academy, Alhaj Kambi Zubeir Seif wanadaiwa kukutwa na dawa za kulevya aina ya...
  3. Linguistic

    Kagera Sugar 0-1 Young Africa SC | Ligi Kuu Ya NBC | CCM Kirumba Jijini Mwanza

    Karibuni katika mtanange huu wa kukata na shoka baina ya Kagera Sugar na Yanga Sports Club utakaochezwa saa 10 jioni Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza. Huu ni mchezo wa namba 46 (kama sijakosea) wa Ligi Kuu ya NBC 2022/2023 bila Yanga Kupoteza Mechi. Kagera Sugar akiwa ni mwenyeji wa mchezo...
  4. Linguistic

    Mahakama ya Rufañi Yawafutia Kifungo Cha Miaka 7 Jela Na Kuwafunga Miaka 20 Jela na Kulipa Fidia ya Bilioni Moja

    Wakuu Jovina Damian na Gui Kai wanashitakiwa Na Jamhuri Katika Mahakama ya Kisutu Kwa KOSA La Kuomba Usajili wa Mashine ya EFD kwa Udanganyifu na Kutumia Mashine ya EFD Kinyume na Matakwa ya Mamlaka ya Mapato (TRA) na Kukwepa Kulipa Kodi kwa Kufanya Udanganyifu, n.k . Sasa Na Mahakama ya Chini...
  5. Linguistic

    Wivu na Unafiki Wa Wachambuzi wa Soka Tanzania

    Ni wivu tuu.. Kila hatua ni kujipongeza...nani amesema [emoji881] hawakushangilia kuzifunga Bullet na agosto? Waache wenye furaha waendelee na furaha na hiyo ndio football...it is all about fun. ukishinda ni furaha ukitoa sare na ukifungwa ni huzuni... KMC anafurahi kutoa draw na Simba...
  6. Linguistic

    Tetesi: Basi la timu ya Simba linashikiliwa baada ya kushindwa kulipa mkopo wa basi hilo

    Wakuu taarifa iliyopo ni kwamba watani kwa sasa hawana basi baada ya basi lao kukamatwa na dalali aliyeagizwa na kampuni iliyowauzia basi. Basi limekamatwa baada ya Simba kushindwa kulipa deni kwa kampuni iliyowauzia. [emoji28][emoji28] Kwa sasa timu ya Simba inatumia basi la Kamwana kwenye...
  7. Linguistic

    Picha za Utupu za Spika Wa Bunge Afrika Kusini

    Wakuu Kijana mmoja raia wa Nigeria ametoa mkanda wa Video Wa Ngono wa Zanele Sifua ambae ni Spika wa bunge la Jimbo la ANC Free State Nchini Nigeria. Kijana huyo amevujisha Mkanda Huo Baada ya Spika Zanela kukataa kulipa pesa aliyomwambia atamlipa kiasi cha N300,000 za Nigeria. Mkanda Huo Wa...
  8. Linguistic

    Matokeo ya Uchaguzi Nchini Marekani.

    [emoji351] The results of the midterm elections in the United States: Democrats have 48 seats in the Senate; Republicans have 49. In the House of Representatives the Democrats won 182 seats, the Republicans 206.
  9. Linguistic

    Ushauri wangu kwa timu yangu ya Yanga

    Wakuu, huu ni ushauri wangu kwa timu yangu ya Yanga ila sijui kama huu ushauri utawafikia viongozi wa juu Yanga, kwamba: Yanga wakifunguka wamekwisha panga iwe kucheza 'defensive with counter attack', ama wataweka kumzuia Mwarabu kwa dk. 45 za mwanzo, basi kupindi cha pili Mwarabu ataingia kwa...
  10. Linguistic

    Binti wa mchepuko wangu anataka nitembee naye

    Wakuu niko kwenye hali ya kukataa mpaka sijui nifanye nini! Mwaka jana nilianzisha mahusiano na dada mmoja anafanya kazi hapa Dodoma. Huyu mpenzi wangu ana binti yake amemaliza kidato cha sita mwaka huu na amepata div.1 ya point 5, na amechqguliwa kwenda kusoma udaktari chuo fulani hapa...
  11. Linguistic

    Hii nchi ngumu sana Wazee

    Kampuni za simu wanapandisha gharama za kununua MB kila leo bila taarifa Kuna nini lakini? . Pesa hakuna wafanybiashara wanapandisha bei za bidhaa na huduma kila siku . Tumekosa nini sisi wananchi Bunge mko kimya Serikali kimya!! Daaaaa!!!!!
  12. Linguistic

    Maoni yangu kuhusu shughuli za uokoaji huko mkoani Kagera

    Wakuu haya Maoni yangu kuhusu shughuli za uokoaji. 1. Kwa hali ilivyo sasa hivi utegemezi wa Jeshi la Zimamoto pekee hautoshi kwenye majanga yanayohusisha ndege. Inashauriwa tuwe na mfumo wa pamoja wa uokoaji (Integrated rescue operation system) utakaokuwa na Kikosi Maalum cha Uokoaji...
  13. Linguistic

    Taarifa za Serikali Kuhusu idadi ya waliofariki na walio hai ni misinformation and disinformation

    Hakuna facts wala data zenye usahihi Kwa ninakiona. From true data is when we can establish facts. Yaaani Everyone is speaking of wrong figure or data. How can we establish facts? Abiria mara 45 mara 43. Waliookolewa mara 26 ama 28 Waliokufa mara 3 ama 19 Sasa mmoja kaokolewa kakimbia...
  14. Linguistic

    Mke wangu na baba yake wanatumiana picha za uchi!

    Niko kwenye ndoa miaka 7 na mke wangu, kila kitu kilikuwa vizuri mpaka wiki mbili zilizopita, mke wangu aliniaga kuwa anaenda safari ya kikazi. Yeye anafanya kwenye kampuni ya Baba yake ambayo inahusika na ujenzi, Baba yake ni mhandisi. Mara nyingi huwa wanasafiri pamoja na sina wasiwasi kwani...
  15. Linguistic

    Kuna mtanange mkubwa wa njia ya Dar - Mwanza kati ya basi la Mallessas na Ally Star

    Wakuu kwema, . Kwa sasa kuna mpambano mkubwa wa njia ya Kanda ya Ziwa kati ya basi la Mallessas na Ally Star. . Mallessas wao wanaenda Geita, hawana gari la Dar - Mwanza ila hakuna gari ambayo inampita njiani. . Ally Star Bus anajitahidi ila hafui dafu kwa Mallessas. . Sisi wazee wa mikeka...
  16. Linguistic

    Michango lukuki ya harusi zisizodumu

    Tabia ya kutuchangisha michango ya harusi halafu mnakaa mwezi mnaachana sio nzuri. Acheni kuchezea hela zetu wakuu. Kabla hamjaachana, fikirieni hela zetu na usumbufu mliotupa wakati wa ndoa yenu.
  17. Linguistic

    Waziri Mohamed Mchengerwa, Mbunge Wa Rufiji

    Wakuu, Mohamed Mchengerwa, Waziri Mwenye Dhamana ya Sanaa na Michezo Nchini. Mhe , Mchengerwa. Ndio Waziri anaetembea na Ulinzi au Wasaidizi Kutoka PSU. Kokote anakokuwa Mchengerwa Ujue Kuna Walinzi Zaidi ya wa4 Wa Psu. Mchengerwa ni Mkwe Wa Clock100 Màana amemuoa Binti Wa Clock100. Angalia...
  18. Linguistic

    Waarabu na Wahindi wanawezaje ku-manage biashara kubwa wakiwa na umri mdogo?

    Wakuu Wenzetu Waarabu na Wahindi Wanawaandaa Watoto Wao kuwa na uwezo wa ku manage Biashara kubwa kama hii ya mabus wakiwa vijana wadogo. Huyu Anaitwa Amran Ally Mohamed Said au Amran Kifaru ndio mmiliki na msimamizi Mkuu wa Mabus ya Ally's Star. Ally Star ni Mabus yanayofanya Root za Dar To...
  19. Linguistic

    Yanga SC 0-0 Club Africane | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium

    FULL TIME 90' Zinaongezwa dakika 5 za nyongeza 88' Shambulizi kali langoni mwa Yanga lakini kipa Diarra anafanya kazi nzuri ya kuzuia 82' Morrison ametoka, ameingia Farid Musa 80' Wachezaji wawili wa Club African wapo chini, mchezo umesimama kwa muda 72' Yanga wanatengeneza mashambulizi lakini...
  20. Linguistic

    Falme za Kiarabu zinakuja kupewa miradi mingi

    Wakuu Taarifa ni kwamba Kampuni nyingi za kiarabu ndizo zitakazokuwa kipaumbele kwenye uwekezaji hapa nchni Wamasai wamefukuzwa ngorongoro na wamepewa Watt wa mfalme wa Oman Miradi wa Mwendo kasi pia tayari umepewa mwekezaji kutoka Kampuni ya Oman Kuna kampuni kutoka Oman inajiandaa kuja...
Back
Top Bottom