Search results

  1. K

    DRC: Wanajeshi walinda amani wa Tanzania wajeruhiwa katika mapigano na M23

    Matundu ya choo na mafuta ya kula ni issue leo mnataka kupigana na Rwanda, kama mnataka kula ugali kwa mgawo na kutolipwa mishahara lianzisheni na Rwanda, nina uhakika ma man kagame atawafundisha na hamtarudia tena na vita za kichokozi kama Nyerere alivyomfundisha Iddi Amin
  2. K

    Wakristo na Waislamu ni watu waliopotea njia hasa kwa Afrika, kiufupi hawajielewi

    Naunga mkono hoja, weusi siku hizi wanamjua kristo kuliko wazungu waliowaletea, wazungu wengi waneshaacha hata kuamini hizo dini na kanisani wameacha kabisa kwenda, na kuna wale masheikh weusi wanamjua mtume kuliko waarabu na wako tayari kufa kutetea uislam
  3. K

    “Mwanyamala kwa wahaya” ni zaidi ya Sodoma na Gomora!

    Nothing interesting umetuonyesha video za giza tuu na opinion zako tuu, very poor production
  4. K

    “Mwanyamala kwa wahaya” ni zaidi ya Sodoma na Gomora!

    Jina la eneo halimaanishi hao wanawake wanaofanya biashara wote ni wahaya, please be clear about that hatutaki stereotyping
  5. K

    Tetesi: Isaya Olepose Laizer adaiwa kukamatwa na Polisi kwa kumkashifu Waziri Mkuu huko Club House

    Kuna umuhimu wa raia kumiliki bunduki, serikali inaweza kugeuka jambazi wakati wowote
  6. K

    Tetesi: Isaya Olepose Laizer adaiwa kukamatwa na Polisi kwa kumkashifu Waziri Mkuu huko Club House

    Acha nidhamu ya woga, ni kweli Waziri mkuu mtu muongo sana, ni watu kama wewe wanapita tuu pale
  7. K

    Benki zina kinga gani dhidi ya uchawi?

    Uchawi ungekuwa wa kweli biashara ya Bank ingekufa, hakuna uchawi ni michezo tuu kama mazingaombwe, na wachawi 99% ni mafukara wa kutupa hata ugali maharage kwao ni issue
  8. K

    USHUHUDA: Dunia, uchawi umeniacha hoi. Mungu nikumbuke

    Pole ndugu, ni rahisi sana kuanza kuingia kwenye hayo mambo ya kiimani ukipata matatizo, be strong na jaribu sana kushughulikia kila tatizo separate bila kuunganisha na lingine, na mara nyingi kwa experience yangu ukipata tatizo moja basi mengine yanafuata mpaka unaanza kujiuliza nina mkosi...
  9. K

    Nchi ya Chad inaruhusu kuoa mke zaidi ya mmoja kwa dini zote, Nusu ya wanaume wakristo wana mke zaidi ya mmoja, Je ukristo unawabana wanaume?

    Oa hata kumi, kwa Tanzania hakuna sheria inazuia kuoa zaidi ya mke mmoja, ila kama ni mtu wa imani itategemea uko upande gani maana wengine unaweza kuoa zaidi ya mmoja (waislam) na wengine hawaruhusu kuoa hata mmoja ( Ukiwa padri wa katoliki huruhusiwi kuoa kabisa)
  10. K

    Hivi Mungu aliwaza nini mpaka akaamua kututupia Ibilisi duniani!

    Ibilisi ni kama ngano za alfu lela ulela tuu, hata babu yangu alikuwa nazo nyingi tuu na moja naikumbuka ilikuwa kuna kilima kimoja ukikipita lazima uiname mara tatu usipofanya hivyo unaweza leta mikosi kwenye ukoo
  11. K

    Hivi Mungu aliwaza nini mpaka akaamua kututupia Ibilisi duniani!

    Aliyetufundisha kuhusu yesu na shetani ndio huyo huyo aliyefundisha jua linazunguka dunia na binadamu tuliamini hivyo for thousands of years mpaka scientist walipokuja prove sio kweli ni dunia ndio inazunguka jua, mambo ya imani ni magumu kidogo
  12. K

    Peter Serukamba: Spika aache shobo

    Bahasha mgawane nauli 🤣 ..ni ngumu kuelewa labda uwe huna akili ndio utaelewa
  13. K

    Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

    Jenga maize/storage tank la chuma au anything kama la tani 50 au 100 au zaidi ( yapo Alibaba au mafundi wanaweza kukutengenezea), mahindi wakati wa mavuno yanakuwa bei rahisi sana karibu na bure nunua yahifadhi then kiangazi kikifika au mahindi yakipanda bei uanaachia mzigo sokoni, utatengeneza...
  14. K

    Nahitaji mbia kwenye biashara ya kuuza asali Kenya

    Usitoe bidhaa/huduma ya bishara yako kabla hujalipwa, mambo ya uaminifu bila vigezo vinavyoeleweka kisheria au documentation ambazo zinaweza kuwa enforced kisheria ni kucheza kamari ya pesa yako, kuwa makini
  15. K

    Msaada, mawazo na uzoefu biashara ya asali

    3000 ni kibali kwa lita 20 tuu au kibali cha mwaka mzima au miwili? halafu ulipe na VAT/kodi then makodi ya halmashauri na masoko? nimeamini anayetutia umaskini ni serikali sio mwingine
  16. K

    Haileweki kama sasa CHADEMA ni wapinzani au waganga njaa. Maana hata njaa walizotegemea kupozwa hazijawatoa mrithi. Wajanja wachache wameshiba kidogo

    Kwa kununua wapinzani, kuiba kura, kubambikia kesi, kuzuia mikutano, kutumia polisi kupiga wapinzani ndio mnachoweza, lakini CCM kama chama cha siasa kilishajifia siku nyingi sana
Back
Top Bottom