Mahashta Mûrasi wa India anayedai alizaliwa mwaka 1835. Sio tu ni kuwa ni mtu mkogwe duniani lakini pia mtu aliyeishi muda mrefu tangia historia ya binadamu (hii ni kwa mujibu wa Guinness World Records ).
Kwa mujibu wa WorldNewsDailyReport.com nyaraka zote zilizoidhinishwa kumtambulisha huyu...
Wakati tukielekea Brazil kwenye kombe la dunia, mwanasoka wa Italia mwenye vituko nje na ndani ya uwanja Mario Balotelli amevihakikishia vyombo vya habari Jumanne kupitia akaunti yake ya Twitter kuwa atamuoa rafiki yake wa siku nyingi mwanamitindo kutoka Ubelgiji Fanny Neguesha.
chanzo
Aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), marehemu Daudi Balali.PICHA|MAKTABA
Kilombero. Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero imeamua kufuta miliki ya mashamba yote makubwa yasiyoendelezwa na taratibu mpya zinafanyika ili kuyamilikisha kwa wananchi.
Kati ya mashamba hayo...
THE ANALOGY OF THE TWO COWS
(Where does Tanzania fall!?)
SOCIALISM
You have 2 cows.
You give one to your neighbour
COMMUNISM
You have 2 cows.
The State takes both and gives you some milk
FASCISM
You have 2 cows.
The State takes both and sells you some milk
NAZISM
You have 2...
Kwa wale wapenzi wa Hip Pop jina hili sio la kuuliza na wale wanaofuatilia kwa ukaribu zaidi watakuwa wanakumbuka mazingira yaliyozunguka mauti yake.
Zimekuwepo fununu nyingi na uzushi lakini leo nimekutana na hii. Sijaweza kufanya tafsiri ya Kiswahili lakini Kingereza chake natumaini...
Ukiiangalia huu mchoro vizuri ni kama vile unaonyesha jitu jinga ambalo hata ukilidhalilisha kiasi gani linaendelea kucheka tu! Painter atakuwa sahihi?Kwa hisani ya KP
Huyu ni rais mtarajiwa wa nchi iliyo katika Bahari ya Hindi ijulikanayo kama Madagascar.
Naombeni wajuzi wa lugha kama mnaweza kutupa utamkaji sahihi na maana ya jina lake:
RAJAONARIMAMPIANINA Rakotoarimanana Hery Martial
Wanajamvi, hii ni hadithi nzuri sana inayohusiana na vidole 20 (ishirini) vya miguu ikisimuliwa kwa dakika 20.
Ipitie uone utamu wake alafu nawe utoe duku duku lako.
Huenda ikawa ngumu kueleweka kwa 'vilaza' lakini kwa great thinkers najua mko swaaafi.
Janga la kuanguka supermarket kwaangusha Serikali ya Latvia
Waziri mkuu wa Latvia Valdis Dombrovskis ametangaza kujiuzuru cheo chake, ambayo itapelekea kuanguka kwa serikali yake, sababu ikiwa ni mkasa wa kuanguka jingo la supermarket la Riga.
Ametoa tangazo hili kwenye kikao na rais wa Andris...
Bay Psalm Book is world's most expensive printed work at $14.2mA tiny book of psalms from 1640 has become the world's most expensive printed book as it was auctioned in New York for $14.2m (£8.8m).
The Bay Psalm Book is the first known book to be printed in what is now the United States.
It...
Hebu angalia hii picha ilivyochukua mazingira halisi ya wahusika kisha linganisha na za kwetu zinazowekeza mamilioni ya pesa ili kupata 'artificial scenes' alafu tupia neno.
Habari zenu wanajukwaa.
Kwa wale wanaofuatilia mambo ya Afrika Mashariki na hasa Uganda (kenya wana jukwaa hapa) watakuwa wanajua juu ya hii familia ya Kifalme ya Tooro, Magharibi mwa Uganda ambayo kwa kiasi fulani anaelekea kukumbwa na mabalaa yasiyokuwa rasmi. Ni hii familia ambayo baada...
Wasalaam wanajukwaa!
Hii habari sidhani kama inafaa kuwa kwenye jukwaa la mapicha picha kwa maana inatufundisha mengi, moderators mtanisaidia kama nimekosea. Chukulia ndio mnategemea kutoka pamoja asubuhi na hasa wale mnaoishi zenu mijini mkikimbizana na usafiri, foleni nk.
Je, unakubaliana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.