Binafsi MZ sikukubaliana naye kwenye baadhi ya mambo lakini kila nikikumbuka kauli yake kuwa ili kuinyoosha hii nchi inatakiwa uwe kichaa na wasaidizi wawe vichaa wenzio ndio nakubaliana na maono yake sasa.
Ni wazi yeye aliiangalia hii nchi kama ya binadamu wenye mapungufu mengi japo sisi...
Ukifuatilia matukio tofauti yanoyotokea katika nchi hii yenye watu zaidi ya million 60 pamoja na hili la sasa la Ngorongoro unashindwa kuelewa kama kweli miongoni mwa watu wote hawa inakuwaje hakuna watu wenye akili!!!
....au unajiuliza hawa wajinga wachache, wasaliti wamewezaje kujipenyeza na...
Hili suala nililifikiria juzi.
Huenda hawa mabilionea wachache aliowataja mleta hoja ambao kimsingi hawakukaa sana kwenye siasa, walipiga pesa ndogo tu lakini wakawa na akili ya kuisimamia na dio leo wamezigeuza na kuwa mitaji ya walau kuwaajiri wengine (walioibiwa). Hapo hapo unakuta wapo...
Ila ni ukweli usio shaka kuwa kwa sasa kuna kuwindana ndani kwa ndani, usijekuta kuna watu wametegesheana hili na hawa wakaingia king kwa kuweka huu mjadala mbele ya macho ya sheria.
Sisi wananchi tunashauriwa kutowaamini wanasiasa lakini pia wanasiasa wenyewe kwa wenyewe sidhani kama...
Kweli kabisa, kuna comment nimeona sehemu kuwa aliuza ng'ombe akadhani anasomesha mtoto kumbe anasomeshwa ng'ombe, bado naitafakari.
Wengi tunaoongelea haya mambo unaweza ukakuta ndio wale wale tulioandamana majuzi kuunga mkono filamu.
Hitimisho ni kuwa mfumo wa elimu wa kikoloni ulikuwa...
"....nani ananufaika nayo"m hili ni swali zuri sana la kuanzia kufikiri.
Taasisi nyingi zimeshikiliwa na wakuu wanaoteuliwa na wanasiasa kwa hiyo ni wazi wanasiasa wanateua watu wanaofanana nao.
Kwa vile upeo wa wanasiasa wengi hawawazi zaidi ya familia na koo zao na hawa wakuu ni hayo hayo...
Nchi kubwa, rasiliamali nyingi na watu wengi lakini (huenda - nasikitika kuandika hivi) tatizo ni akili kidogo.
Mfano, ukishakuwa na population ya milioni 60+ inabidi uamini kuwa ni 60m ya mafuvu yaliyojaa ubongo na ubongo ndio hufikiri. Sasa kitendo cha kutumia karibia rasilimali zote za nchi...
Ni kweli, na mifumo ya ukusanyaji kodi pamoja na wakusanyaji vingekuwa rafiki na weledi ni wazi hizi ngonjera za trillion 2 zingefika hata trillion 5 kwa mwezi.
Na zikishakusanywa zikasimamiwa kiusahihi na bunge lenye kuchambua walau 80% ya matumizi tusingekuwa watu wa namna hii. Hebu chukulia...
Hivi mimi hii royo tua mbona siielewi!
Kwa hiyo ndio tunakuja kuonyeshwa sehemu zile zile ambazo tunashinda kila siku ili sasa tugeuke nasi tuwe watalii?
Au walimu wa jiografia hawakutufundisha vizuri juu ya maeneo ya nchi yetu hivyo hii itatusaidia vizuri kuyaelewa kwa kupitia 'huyu mwalimu'...
Chama kina wenyewe na chama ndio kimeshika hatamu, wenye chama ndio wenye nchi.
Swali linabaki tu kuwa nje ya Watz milioni 60 wenye nchi ni wangapi? Hawa watu wamejisahau sana
Lazima wafeli maana nchi ina watu zaidi ya milioni 60 lakini kuna kakikundi kadogo sana ka watu tena ambao uelewa wao unatia shaka wanadai ndio wenye chama na chama ndio chenye nchi.
Hawa pamoja na kusingizia awamu iliyotangulia eti ndio imetufikisha hapa na vita ya Ukraine lakini akina TL na...
Nilikuwaga nikisikia kuwa kwenye hiki chama unahitaji kujitoa ufahamu, sio ajabu mwanzilishi aliwahi kutamka kuwa chama ni kokolo na sio mama wala baba yeke.
Juzi nilivyomuona yule RC wa kanda ya ziwa akimsifia makamu mwenyekiti na ninavyosoma huu uzi ndio najua ni aina gani ya watu...
Nchi ina zaidi ya watu millioni 60, ninachojiuliza ni mshika remote ana nguvu na akili nyingi kiasi gani kuwazidi hawa wote?
Na je, kama jaribio lake (lao?) la kwanza kumweka mtu wao lilishindikana 2015 litawezekana nyakati hizi ambapo hekaheka nchi inazopitia zimewafungua zaidi watu macho...
Vipi, au ndio wanajipanga kwa bao la mkono 2025?
Itawezekana kweli watu wale wale kurudia mbinu zile zile kufanya haramu? Ngoja tusubiri tuone kwa watakaojaaliwa
Si tunaambiwa urais ni taasisi, sasa ilikuwaje haya yanaibuka sasa wakati 99% ya waliokuwepo wakati huo ndio walioko sasa!?
Itoshe kusema kuwa mtu anayeona katiba ya chama chake chenye wanachama milioni 2 inahitaji mabadiliko lakini katiba ya nchi yenye watu zaidi ya milioni 60 isibadilishwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.