Search results

  1. Mumlii

    Naomba tiba ya chronic headache

    Nilipewag miwan ila hamna kitu
  2. Mumlii

    Naomba tiba ya chronic headache

    Naumwa kichwa nameza pain killer hakiishi, Nikisema ninywe maji mengi muda naenda kujisaidia inabdi nishike mishipa ya kichwa kianzdi sana. Mnisaidie
  3. Mumlii

    Nimekuwa single leo hii

    aha asante nitaufanyia kaz ushauri wako
  4. Mumlii

    Nimekuwa single leo hii

    teh teh mkuu
  5. Mumlii

    Nimekuwa single leo hii

    kwa kudra za mwenyez mungu atapatikana
  6. Mumlii

    Nimekuwa single leo hii

    pili inahitaji umuachilie kwenye moyo maana ukiendelea kumfunga kwa kulilia , utaugua. sa naanzaje kuhuzunika huku nmetua mzigo.
  7. Mumlii

    Nimekuwa single leo hii

    ktk mahusiano lazima uwe jasiri dalili nliziona mapema, so alivyosema nikaona n muda sahihi .nmepitia mengi so kuachwa nafurahi ili mambo yangu yaende .only simple memory na znafutika within a hour
  8. Mumlii

    Nimekuwa single leo hii

    hajskii tu
  9. Mumlii

    Nimekuwa single leo hii

    asante nmeshinda
  10. Mumlii

    panga budget yeyote kwa kiasi hiki cha pesa..ili iishe leo leo

    nyama kg1 7000 hoho&karoti 1000 viazi mviringo 1000 mayai 3 900
  11. Mumlii

    Nimekuwa single leo hii

    Nimeachwa mchana wa leo, nilimpata mpenzi hapahapa jf, so maisha yanaendelea.
  12. Mumlii

    Waziri January Makamba hana msaada wowote kwenye Wizara ya Nishati. Tumechoka!

    Sa huku ndo wamekata ,ina maana n nchi nzima
  13. Mumlii

    Natafuta kijana wa kazi kutoka Kigoma

    Mpaka awe mametokea kigoma ndo anapata kazi
  14. Mumlii

    Mwanamke atakayenitongoza ndiye atakayenivumilia

    S Sjawah ona mtu anaota kwa kuandika . aya hv jiulize we una tatzo hao uliokwishaona ndo wana matatzo. Sku zote ukitafuta jijue na wewe una mapungufu kama walionao hao ambao unaona hawafai
  15. Mumlii

    Nimemiss kupendwa....

    Mnaw Mnaeza kujikumbushia wee na baba nanii mnatoana out, mnapeana zawad
  16. Mumlii

    Mahari laki 2 ipo tayari, anaehitaji kuolewa ajitokeze

    Sku zote huwa unanifurahisha dear
  17. Mumlii

    Wife hanijali mimi kabisa wala lolote ninalofanya

    Kama alikuwa na tabia ya kukuulizia na kufahamu afu akabadilika hapo sawa,ila kama ndo alivyo sku zote . maisha ya ndoa hayalinganishwi sku zote ishi ,wewe unavyoishi na mwenzako.
Back
Top Bottom