Search results

  1. M

    Mchele safi wenye harufu mpaka kwa jirani kutoka Mbeya

    Jee, wapi soko la jumla mahindi na pumba kwa hapa Dar..?
  2. M

    Mchele safi wenye harufu mpaka kwa jirani kutoka Mbeya

    Tumekupata... Mahindi na pumba je...? Huleti..?
  3. M

    Ufugaji wa Mbuzi, Kanga, Bata Mzinga na Kuku

    Hbr mkuu Wakaliwetu, Hii breed unetowa wapi..? Mini utofauti (sifa maalum) wake n breed nyengine..?
  4. M

    Mashine ya Kutengeneza Chakula cha Kuku

    Mamesho, Kwa wastani huwa ninao kuku wasiopunguwa 1700 - 2000. Kati yao, wastani 1200 ni broiler, 200 layers. Chotara na mabata pia wapo. (Ni shamba lenye nafasi). Malighafi ninayohitaji ni mahindi, mashudu, dagaa (bei iwe rafiki kwa vyote)...
  5. M

    Mashine ya Kutengeneza Chakula cha Kuku

    Asante krg1. Wapi inapatikan hii (vertical feed mix), any photo....
  6. M

    Mashine ya Kutengeneza Chakula cha Kuku

    Habarini wana Jamvi, Mimi ni mfugaji. Nataka kuanzisha mpango kutengeneza chakula cha mifugo (kuku) cha kwangu mwenyewe; niachane na kununuwa. Hivyo nataka mchango wa ushauri: Ni mashine ipi ingekuwa bora. ( nn sifa zake) Upatikanaji wa malighafi ( mahind, dagaa, mashudu, n.k) Na...
  7. M

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Habarini Wadau, Natafuta mashine na supplies za kutengeneza chakula cha kuku ; 1. ya umeme ( three phase), isiwe na complications nying, iwe strong. 2.ya kawaia katika ku operate. 3. Soko litakaloniwezesha kupata raw materials kwa bei fair.( mahindi, pumba,n.k) Karibuni kwa maoni
Back
Top Bottom