Search results

  1. T

    Makanisa mawili yamechomwa Kigoma

    Kama ni kweli wandugu hii si hali nzuri ! Mbona nchi imeoza haraka sana, ni jana tuliazimisha miaka 13 ya amani baada ya kifo cha mwl. Sasa makanisa yakiisha watachoma nini? au ndo mahakama ya kadhi inaanza kuhukumu watu hivyo?
  2. T

    Mtoto adhalilishwa msibani kwa Barlow

    Vihere here vyao!
  3. T

    Manumba: Polisi lipizeni kisasi

    Hii kali kama ile ya 'liwalo na liwe'
  4. T

    Naomba msaada wa KARO kwa Master's Course

    Mama yangu! ukikosa tena kazi baada ya hiyo masters ukasome Phd !!!!!!!!!!!!!! mi naona kama ni msaada tuchangie watoto wa secondari wanaokosa hata elfu 20 ya karo. Yaani umekosa hata utendaji wa kata? Dar hakuna kazi bila experence.
  5. T

    Matusi haya ya Wamalawi kwa Watanzania yanachukiza....Wanatuita Stupid neighbours!!!eti sisi wajinga

    Kupigana na Malawi ni makosa ni sawa na TZ kupigana na mkoa wetu 1 kama Mbeya, nadhani tukilazimika kuingia vitani tuache kwanza Mbeya au Kyela ianze nao, then Iringa, ikishindikana ku-surender tunaita Musoma na mapanga watasafisha mpaka karibu na Musumbiji na wje na huyo mama eti rais.
  6. T

    PICHA: CUF wakimnadi mgombea wa Udiwani kata ya Daraja mbili

    nadhani polisi haina shaka na CUF mbona haipigi mabomu ya machozi watawanyike?
  7. T

    Waungwana hamjambo?

    Napenda kujiunga nanyi waungwana wa jamii forum. Pia nawapa salaam toka kwa watu wa Mpanda nilikotoka juzi kuja maadhimisho ya miaka 13 ya kifo cha mwl na kuamua kwamba sitarudi tena huko. Nawapongeza sana nyote kwa michango ya kujenga jamii yetu, kwa hakika hata kama baadhi ya watu...
Back
Top Bottom