Search results

  1. frabel

    Jifunze kidogo toka maktaba ya UVIMO

    Uvimo Maktaba. Uvimo Civil Group tukiwa wazoefu na watoa huduma kuanzia Kuchora ramani Kusoma ramani Kujenga kwa au bila ramani Kupaua Plasta Bomba plumbing Uwekaji umeme wa kisasa Rangi Tiles Brandering na kufunga bodi Kuweka gata/kinga maji. Kutengeneza jikoni. Sasa Maktaba yetu leo hii...
  2. frabel

    Tathmini ya vifaa jenzi chini ya UVIMO

    Habari wakuu. Uvimo tumeendelea kutoa huduma zoote za ujenzi kote nchi nzima. Huduma zetu daima huanza KUCHORA RAMANI -HADI WEWE MDAU UNAINGIA KWENYE NYUMBA YAKO. Uvimo maktaba ,ni program yetu ya kujadili mada mbalimbali za ujenzi kupitia kundi la UVIMO PUBLIC CENTER Na leo tuangazie...
  3. frabel

    Uwekaji wa umeme wa kisasa chini ya UVIMO

    Amani kwenu. Uvimo Maktaba MFUMO WA UMEME WA NJIA MBILI NA UMEME WA SOLA NA TANESCO KUUNGANISHWA Habari wadau, maktaba yetu inaaamini sote hatujambo. Uvimo tunao uwezo was kuweka mifumo ya umeme wa sola na kuiunganisha katka switch moja. Kumbuka , umeme wa Sola na umeme wa Tanesco kika...
  4. frabel

    Darasa huru la ujenzi chini ya program ya UVIMO maktaba

    Uvimo Maktaba UVIMO tunafaya kazi zote kwenye nyumba pamoja na mafunzo Tunatambua ahadi yetu ya kuangazia namna Uchaguzi wa ramani inavyoweza kuongeza gharama za ujenzi. Je, uchaguzi wa ramani unaweza kupunguza au kuongeza gharama za ujenzi? Jibu ni ndio. Uchambuzi wetu utaanzia baada ya...
  5. frabel

    Building one stop center, kituo cha jumla cha huduma cha ujenzi

    Uvimo ndio fahari ya watanzania kwa sasa. Huduma zoote za ujenzi, ushauri na mafunzo juu ya kila kitu kwenye ujezi SASA UNAPATA UVIMO. Uvimo Maktaba Je, nje ya gharama ya vifaa vya kupandisha boma, kuna gharama nyingine isiyo onekana na usiyo weza kuitambua? Kila anaye nuia kujenga daima...
  6. frabel

    Maktaba ya ujenzi elimu na mijadala mahsusi

    Uvimo Maktaba Maktaba yetu leo hii itaangazia Mlinganyo wa gredi ya saruji, aina ya mchanga na aina za maji kwa ajili ya plasta na vigae. Uvimo tumeendelea kutoa elimu na kujadilisha mada mbalimbali, adhma yetu kuu tukiwa kama wataalam tulio wekeza kwenye tasnia ya ujenzi na makazi ni kusaidia...
  7. frabel

    Ujenzi na finishing za majumba

    Habari wadau. Leo katika mwendelezo wa kuangazia masomo na mijadala ihusuyo nyumba na ujenzi, Leo tutaangazia mahusiano ya mfumo wa umeme hatua 1 na lipu/plasta. Yapo mahusiano makubwa kati ya plasta na mfumo wa umeme. Katika mahusiano hayo kuna uwezekano fundi akaharibu mwonekano wa nyumba...
  8. frabel

    Fenicha zenye ubora zinapatikana

    Habari waungwana. Kwa wote wanao hitaji fenicha Flemu za milango Milango Vitanda Meza Viti Madawati n.k Kwa kutumia miti ya A-Mbao ngumu Mpilipili Mnofu Mvule Mkongo B-Mbao za wastani Msedelea Mkangazi Huduma zinapatikana kwa urahisi na kwa haraka. Tuna shifti mbili, usiku na mchana...
  9. frabel

    Kwa nini vigae/tiles vinabanduka baada ya kubandikwa

    Zipo sababu kadhaa kama ifuatavyo, 1-Kuto pata maji ya kutosha. Vigae vina hitaji maji ya kutosha kabla ya kubandikwa, hii ni kwa sababu huwa vinatengenezwa na ukavu na kupelekea kunywa maji. Vinatakiwa vilowekwe kwenye maji kwa muda usio pungua dakika 15-20. 2-Kubandikwa bila kukaushwa...
  10. frabel

    Kampeni maalum dhidi ya Wizara ya Mawasiliano na TTCL kuwataka waimalishe huduma watanzania tupumue

    TTCL ni Tanzania Telecommunication Company Limited. Hii ni idara chini ya wizara ya mawasiliano ya Tanzania. Ni muda sasa toka kuwepo kwa kampuni hii ya TTCL lakini ufanisi wake umekuwa si yakini hali inayopelekea watanzania kukimbilia makampuni mengine ya mawasiliano, na wao wanapata nafasi ya...
  11. frabel

    Mafundi wa aina yoyote na huduma zote za ujenzi zinapatikana hapa

    Habari wadau wa JF Poleni na majukumu Kutokana na uhitaji mkubwa wa mafindi na ombwe la uelewa na uzoefu hafifu wa mafundi ujenzi wengi kusindwa kukidhi soko la ujenzi na makazi, sasa kupitia uzi huu utapa huduma zote za ujenzi kuanzia kuchora ramani hadi kukabidhiwa ufunguo wa nyumba yako...
Back
Top Bottom