Search results

  1. D

    Kozi ya afya ya kusoma online

    Wadau naomba msaada kwa anaye ijua KOZI yoyote ya afya ya KUSOMA online hasa diploma ...
  2. D

    Msaada: Chuo cha Radiology Songea au Mbeya private

    Wakuu naomba anayejua chuo kinachotoa Diploma ya Radiology Songea au Mbeya
  3. D

    Natafuta kazi ya kulima shamba lolote

    Wakuu nisaidien natafuta shamba..nipo kijijini huku litumbandyos.,ni mkulima mzoefu 0765050073
  4. D

    Kozi za afya zenye ajira haraka

    Wakuu naombeni mnijuze kozi gan ya afya ambayo nikisoma diploma sitosota mtaani ....maisha magumu mno. ..ambayo nitaajiriwa haraka Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
  5. D

    Naomba kujuzwa tiba kwa nguruwe aliyedumaa

    Halo wakubwa Naomba msaada nguruwe wangu kadumaa. Je, nimlishe nini au nifanyeje arudi kwenye hali yake kawaida.
  6. D

    Panya Road walinitembezea kichapo kikali

    Daaah wakuu hawa madogo Omba usikutane nao hawafai jana nilikutana nao toka club. Walinitembezea kichapo. Na nilipo pata upenyo niliwatoka spidi hatari .. hapa nilipo nipo hospitalini Tegeta hapa...naugulia maumivu ...hakika shikamoo panya road daaahah hutu tudogo hatufai tunachapa.
  7. D

    Sanlg 150push load vs haouje 125,8 push load

    Wakubwa habarini VIP katika hizi Honda mbili ni ipi inatembea sana kuliko nyingine safari ndefu? Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
  8. D

    Pikipiki inachelewa kuwaka asubuhi

    Wakuu misaada wa mawazo...nina boxer 150 .. asubuhi inachelewa kuwaka na pia nikipaka masaa kuanzia mawili haiwaki haraka shida ni nini wakuu??
  9. D

    Pikipiki Boxer na TVs...hazifai na hazitengenezeki?

    Wakuu hizi pikipiki kwa Bongo hazifai ...zinatoa moshi hatari ...nimeweka block mpya napo bado inatoa moshi Boxer ...nishaurini niweke block kampuni gan ili isiendelee kutoa moshi??
  10. D

    Block yangu ya BM150 imekufa, Nataka kuweka ya Yog

    Wakuu habarin. Block yangu ya pikipiki boxer 150 inatoa moshi sanaa ...sasa fundi kaniambia block imetanuka....sasa nimetafuta spear nimekosa nimepata ya Yog ya kichina for BM 150 Je, ni imara je itafaa?
  11. D

    Pikipiki boxer 150 haiwaki ikinyeshewa mvua

    Wakuu mafundi na wengineo kiujumla ...msaada tafadhali ..nina boxer 150 usiku nikipak nje na wakati wa baridi inasumbua sana kuwaka pia ikinyeshewa mvua ...... inasumbua sana kuwaka...msaada nini kifanyike
  12. D

    Haujoe 125 vs Sanlg 150 je ipi ina speeed kuliko nyingine??

    Wakuu kati ya Sanlg 150 na haujoe 125.8 ipi ina speeed kuliko nyingine?? Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
  13. D

    Oil kuvujia kwenye aircleaner ya pikipiki bm 150

    Wakuu naomba msaada bm 150 ...nini suluhisho lake oil kuvuja kwenye AIRCLEANER .... Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
  14. D

    Ipi ina nguvu kati ya Boxer 150 na Sanlg 150?

    Wakuu nashindwa kuelewa ipi yenye nguvu milimani na ipi. Ina spid kuliko nyingine wakat zote ni 150?
  15. D

    Simu yangu ya Nokia 3310 ina sauti ndogo sana

    Wakuu mafundi na wana teknolojia ya simu nisaidien hili simu yangu ndogo ya Nokia ina sauti ndogo ya kusikiliza . Hata kama nikiongeza mpaka mwisho napo sauti ni ndogo hadi niweke loudspeaker ndo nasikia vizuri ...nimejaribu kuuliza kwa mafundi wamesema Nokia ndio zilivyo zina sauti ndogo ...
  16. D

    Pikipiki boxer kutoa moshi nini suluhisho

    Wakuu msaada tafadhali ..nimezunguka na boxer kwa mafundi wameniambia ni rings mara piston ..nimenunua nimepachika lakini zinakaa wiki zinakufa na moshi unaendelea kutoka ...nin suluhisho la kudumu
  17. D

    Ipi Betri bora na imara ya pikipiki boxer 150

    Wakuu naomba mwenye uzoefu wa kujua @ aina ya betri bora na imara ya pikipiki boxer 150...
  18. D

    Natafuta mwanamke wa Kinyakyusa toka Mbeya wa kuishi naye

    Mimi nina miaka 34, natafuta mwanamke wa kinyakyusa aliye mnene na mrefu. Umri wowote. Nataka ambaye mbaye yupo tayari kuanza maisha ya kindoa hata kama ana mtoto. Nipo Songea. Namba yangu ni 0744903557
  19. D

    Piston rings original za boxer 150

    Wakuu ntapata wapi piston rings original za boxer na zinauzwa sh ngapi??? Ntazitambua vip
  20. D

    Pikipiki boxer 150 silence yake ipo juu, nini madhara yake?

    Halo muhali gani humu. Nina pikipiki bm 150 silence ipo juu sana na ukijaribu kupunguza silence inazima. Mafundi wameshindwa kutatua tatizo. Msaada jamani mwenye kuelewa hizi mambo.
Back
Top Bottom