Wanaosubiri kuona wagonjwa wajengewe Hostel? Nadhani hili si sahihi. Kwa ufahamu wangu mdogo ambao Mungu amenijalia, hostel ni mahali ambapo hutoa huduma ya chakula na malazi kwa kikundi cha watu, kama vile wanafunzi, wafanyakazi au wasafiri.
Sasa kama mtu anatoka umbali wa Kilomita chache...
Kwanza, Search Engine sio duka mkuu. Kama Search Engine ingekuwa ni duka basi watu wangekuwa wanalipia ili post zao ziwe rank nzuri.
Pili, naomba utofautishe website rank na post rank. Kuwa na post nyingi kunaweza kusaidia website iwe na rank nzuri lakini kuwa na post nyingi hakuwezi kufanya...
Kuna mengi usiyo yafahamu kuhusu Search Engine Optimization (SEO). Kuwa na post nyingi kwenye blogu au tovuti, hakuwezi kufanya posti hizo ziweze kuwa na rank nzuri kwenye search results.
Kiwanja kipo very far from that place. Na eneo wanalotoa fidia si eneo hilo. Ni mbali sana, nyuma ya power plant. Upande niliopo hawawezi kuongeza eneo hata kama wakitaka maana njia kuu ya gridi ya taifa itawazuia kufanya hivyo.
Kiwanja kizuri kwa ajili ya makazi kinauzwa Kinyerezi - Songas mbele kidogo ya mitambo ya kuzisha umeme ya Kinyerezi 1 na Kinyerezi 2.
Kiwanja kipo eneo la kishua (Kwa wale wanaopajua Kinyerezi - Songas basi watakwambia kuwa hii ndio Masaki ya Kinyerezi). Kiwanja kipo kwenye barabara ya lami ya...
Nauza mashine ya kusafishia carpet a.k.a Vacuum Cleaner. Mashine hii ni mpya kabisa na haijawahi kutumika hata mara moja.
Bei: 250,000
Location: Arusha
Mawasiliano: 0768444224
Kinanda aina ya Novation Launchkey 49 MK2 kinauzwa. Kinanda hiki ni maalum kwa ajili ya Music Production tu. Kinanda hiki bado ni kipya na hakina hata mkwaruzo.
Kinafanya kazi na software zote za music production kama vile Ableton Live, Fl Studio, CueBase, Pro Tools, etc.
Bei: 650,000...
Si kazi yako kunitafutia wafanyakazi, ama kujua ni kiwango gani cha mshahara nitakacho walipa, ambacho nimejiwekea katika mamlaka yangu mimi mwenyewe.
Hata hivyo, swala la kiwango cha mshahara ni siri na makubaliano kati ya mwajiri na mwajiriwa.
AMOPRIC PHARMACY inatangaza nafasi ya kazi ya kuuza Pharmacy katika Pharmacy zake zilizopo maeneo ya Tandika, Vingunguti na Chanika.
Muombaji awe na sifa moja wapo kati ya hizi:
1) Addo
2) Pharmaceutical Dispenser
3) Pharmaceutical Assistant
Maombi yote yatumwe kwenda:
E-mail...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.