Search results

  1. rwamashugi

    Vyama vya siasa kuwa na vikundi vyenye mtazamo wa kijeshi ni sahihi? mf:Green guerd.nk

    Kumekuwa na Vikundi vyenye mtazamo wa Kijeshi ndani ya vyama vya siasa hapa nchini.Mfano mzuri ni Green Guard,Janja Weed, nk. Mimi sina matatizo na Umoja wa vijana, isipokuwa vikundi hivi ambavyo vinamtazamo wa kijeshi. Je kila chama kikiwa na jeshi lake, matokeo yake ni nini? Vita...
  2. rwamashugi

    Nini mustakabali wa siasa za Tanzania na vikundi vya "Wanamgambo" wa Vyama?

    Kumekuwa na Vikundi vyenye mtazamo wa Kijeshi ndani ya vyama vya siasa hapa nchini. Mfano mzuri ni Green Guard,Janja Weed, nk. Mimi sina matatizo na Umoja wa vijana, isipokuwa vikundi hivi ambavyo vinamtazamo wa kijeshi. Je kila chama kikiwa na jeshi lake, matokeo yake ni nini? Vita...
  3. rwamashugi

    MAONI KATIBA MPYA:Wabunge kuchapwa viboko na kumwagiwa maji

    Wananchi wa wilaya ya Muheza Tanga wameiomba Tume ya Warioba kuwa,Wabunge WANAOSINZIA BUNGENI wapewe adhabu zifuatazo:- Kuchapwa viboko 3 - Kumwagiwa maji ya baridi - Kufukuzwa Bungeni muda wa siku 3 Hiyo hoja mimi ninaiunga mkono asilimia 100...
  4. rwamashugi

    Selemani Semunyu kipindi dakika 45 ITV hautendi haki!

    harufu ya GAMBA hiyo!
  5. rwamashugi

    Kama Madaktari wangeongezewa marupurupu yao ingekuwaje?

    Wakianza mgomo kama wa Walimu, itabidi tupanuwe Mortuary.
  6. rwamashugi

    Mbowe ambana Waziri Mkuu atoe kauli juu ya masuala yanayokwaza demokrasia na utawala bora

    Wewe ni thaifu na umetumwa na watu thaifu! GAMBALIZED DIRTY PROPAGANDA!
  7. rwamashugi

    Mgomo wa Madaktari leo

    Ndugu wana janvi. Mwenye updates za kuanza rasmi kwa Mgomo wa Madaktari atujuze!
  8. rwamashugi

    Ufoo Saru...

    Awekwe waiting list MKUU WA WILAYA
  9. rwamashugi

    CCM yadai Nasari hana Mke nae ahoji Mbona Spika hana Mume?

    jamani msitoke nje ya mada ,hivi kweli Mama Spika bado ni Miss???
  10. rwamashugi

    Naomba chadema tuwe na usemi huu!

    imetulia sana hii
  11. rwamashugi

    Hapa hakuna kulala,alali mtu

    Teh,teh,teh...........vimbwanga vya magamba hivyo.
  12. rwamashugi

    Hivi Wazee wa ARUMERU ni akina nani hawa?

    Hi,wana jamvi! Nimekuwa nikiona kwenye vyombo vya habali eti Wazee wa Arumeru wametoa tamko.Na huwa inapewa uzito mkubwa kabisa! Hivi hilo tamko linatoka ndani ya Kikao flani? Je huwa kuna kura inayopigwa ili kuhalalisha tamko hilo? mfano eti wazee hawamtaki Lema Arumeru.Hivi kweli wazee wote...
  13. rwamashugi

    Wazee wa CCM walia Arumeru

    Fuso wamekuwa MAHINDI? wawa tafutiye mabasi angalau! Wajinga ndio waliwao kweli...
  14. rwamashugi

    Wassira: Dk Slaa Si Msafi!

    Jamani siyo yeye ,alikuwa anaota.....
  15. rwamashugi

    Jamani huyu mnyarwanda naye ni mteule wa Blandina Nyoni!

    Bilashaka Unatumia MASABURI kufikiri wewe. Mbona Waarabu walio jaa Bungeni haujawasema? Kama ameolewa na Muhaya na kufuata taratibu za uhamiaji ,huyo ni Mtanzania.Anahaki ya cheo chochote.Ubaguzi ni dhambi kubwa sawa na kula nyama ya mtu.
  16. rwamashugi

    Hizi ndiyo shule zetu

    Kodi za Makampuni ya Tumbaku ya Tabora zinepelekwa wapi??????????? Inauma sana......
  17. rwamashugi

    Wezi wavamia Emirates

    wenger anaangalia Account Bank. hayo mabakuli ya nini?
  18. rwamashugi

    Tafakuri baada ya mgomo wa Madaktari!!

    Hii ni hoja ya kinafiki sana. Fikiria Madaktari walianza kilio chao tangia 2005 lakini wakanyamazishwa.Hakuna hata raia mmoja aliye sikika kuwaunga mkono. Wengi wamekimbia nchi kwenda nchi za jirani ,na sisi tumenyamaza. Madaktari tumewafanya Vitendea kazi,Vibarua,kazi ya wito wa kufa...
  19. rwamashugi

    city sky

    you have forgotten Dar es salaam city sky
Back
Top Bottom