Anahitajika kijana mwenye ujuzi wa kutunza bustani na mazingira yanayozunguka nyumba; kwa kifupi awe na basic education - kusoma na kuandika.
Eneo la kazi litakuwa Mikocheni, Dar es Salaam.
Tuma ombi lako haraka via PM
These are brand new phones from USA - ''kitu ndani ya Box''
Sony Xperia Z1 Compact goes for tsh. 950,000 only
Samsung Galaxy S4 Active - tsh. 850,000 only!
Please PM me!
Very Sad indeed! ... May they RIP
Kabete MP George Muchai shot dead outside Nyayo House in Nairobi. His driver, bodyguard and another passenger also killed. Police say masked gunmen in a Probox trailed them from Westlands
Wakuu kwanza samahanini kwa kutotoa maelezo na ufafanuzi kuhusu hizi supplements hapo awali.
Kwa ufupi hizi supplements ni natural herbs na ziko za wanaume na wanawake.
Kwa wanaume - Zinasaidia kuongeza sperm count (wingi), motility (kasi), morphology/shape (muonekano) na pia ubora wa sperm...
Wakuu! habari za jioni. Naomba kuuliza kama kuna yeyote amewahi kufanya transactions/kununua phones ONLINE kwa hii Company called TELECOM ARENA GENERAL TRADE "Omar bin Al Falah - Sales Manager". ( wanadai wako Dubai!)
Mwenye ufahamu au experience na hawa watu, please naomba anijuze. Ahsanteni...
Ok, ikiwa locked means hutaweza kutumia sim card yeyote ila tu ya ile provider wake.., eg AT&T, T-mobile, Vodacom etc.
Sasa ikiwa unlocked means unaweza kutumia sim card yeyote na sehemu yeyote. Asante kwa kuuliza mkuu!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.