Search results

  1. Kipunga

    Ushauri wa haraka unahitajika

    Unamshauri nini jamaa yetu
  2. Kipunga

    Nimeibiwa simu na mwanamke leo asubuhi

    Huyu binti nilimpata wiki mbili zilizopita tulikutana nae Buhongwa stendi Mwanza mida ya usiku saa 5 akaniuliza ni wapi atapata magari ya kwenda Misungwi kwa muda ule akanambia huku yeye ni mgeni. Mimi nikamwambia kwa muda huu huwezi kupata gari. Akaonekana kuwa mnyonge sana. Kama mnavojua...
  3. Kipunga

    Nimesikitika sana kuona watu wanafurahia wamachinga kufukuzwa mjini

    Inasikitisha sana kuona Mtanzania mwenzio anabaguliwa kwamba yeye hafai kukaa mjini akakae huko mbali ajifiche na mjini ni kwa watu wenye uwezo fulani halafu wewe unafurahia eti sababu haikuhusu, imeniuma sana. Viongozi acheni ulimbukeni hata Ulaya machinga wapo. Pia katika hao machinga wengine...
  4. Kipunga

    Wew kuna ujumbe wako hapa

    Vp sauti inatosha au niongeze
  5. Kipunga

    Kuna pisi moja ya kishua naipenda sana lakini hata nikiisalimia haioneshi ushirikiano, nifanyeje?

    Aisee kuna binti mmoja hapa mtaani kwetu wakishua sana nimetokea kumpenda sana lakn kila nikimpa Hi haitikii. Kitu hicho kinaniumiza sana wadau.lakn leo asubui natoka senta naelekea home nikaona nae yupo na mdogo wake mdogo wa kike wanatoka sokon wanaelekea home nikampa hi kaitikia fresh tuu...
  6. Kipunga

    Acha kudharau watu ipo siku utaviacha hivyo unavyo jidaiya

    MWENYENACHO:unanijua mim ni nani! MIMI:nakujua wew ni marehem mtarajiwa
  7. Kipunga

    Unahisi umefikia asilimia ngapi ya ndoto zako?

    Kwanza kabisa nianze kwa kuwapa Hi wana jamvi wote. Kama ilivyo kawaida kwa binadam mwenye akili timamu hua anakua na ndoto/kutamani kuishi maisha fulani hiviii. Sasa nakuuliza mwana jukwaa wew unahisi umefikia asilimia ngapi za ndoto zako? Mim binafsi 5% maana niliokua nayatarajia kuyaona ni...
  8. Kipunga

    Kwanini wanawake mnapenda wanaume wenye ushawishi, pesa na magari?

    Leo nawauliza wanawake kwanini mnapenda wanaume wenye ushawishi pesa/magari? Mimi ni kijana lakini hua nakataliwa sana na mabinti hadi nikawa nahisi nimerogwa sasa siku moja kaka yangu akaja Mwanza na gari lake aina ya crown nyeusi akapata dharula ya kwnda nchi jirani ikabidi gari aliache na...
  9. Kipunga

    Quora mtandao pendwa duniani

    Naongelea mtandao wenye wafuasi wengi kote duniani. Sasa naomba tujuane wajanja wote tulioko huko Ni mtandao pendwa sana huu. unanifanya nifahamu mengi ya hapa duniani.
  10. Kipunga

    Ambao tuna matukio ambayo hatutayasahau hadi kifo tukutane hapa

    Wazee shkamoni vijana mambo vp naomba moja kwa moja niende kwenye mada. Sitasahau nilivyopewa kesi ya wizi pale ccm kilumba Mwanza wakati wa kuaga mwili wa mzee magufuli ilikua hivi. Siku hio nimefika uwanjani mapema mida ya saa1 za asubui nikakaguliwa kama kawaida nikaingia ndani basi...
  11. Kipunga

    Mke wa kaka anataka tuendelee

    Habari wana Jf natumaini mko salama mojakwamoja niende kwenye mada Mim nikijana ambae nimekulia Kijijini ila kaka akaniambia nije mjini niwe namsaidia kwenye biashara zake kweli nikaja mjini Kaka Ameoa mwanake mzuri sana "Mmbulu" kabila. Tumeishi vizuri tuu kwa muda wa miez 6 sasa nyumbani...
Back
Top Bottom