Mbona kuna maangalizo(juu ya usahihi wa ilo andiko)Mwingine anaweza pia kujifunza kwamba, "Tusiamini hizi akili bandia lengo lake ni kuchafua serikali yetu tukufu" Mwingine anaweza enda pima kimombo chake katika kesi nzima yenye masaa zaidi ya 12.
Winshear Gold Corp. v. United Republic of Tanzania (ICSID Case No. ARB/20/25): Taarifa Fupi (Sehemu ya TATU kama iliyovyoandikwa na ChatGPT)
Summary
👤 The witness, Mr. Richard Williams, is being questioned about his role as CEO and director of various mining companies, including Windshear, BTL...
Winshear Gold Corp. v. United Republic of Tanzania (ICSID Case No. ARB/20/25): Taarifa Fupi (Sehemu ya PILI kama iliyovyoandikwa na ChatGPT)
Summary
📌 Tanzania's team is ready to start the presentation at the tribunal. They will provide a general overview of the issues, elaborate on their...
Summary
📋 Tanzania expropriated the SMP gold project, a 12-year-long investment to explore and develop a gold mine, without offering prompt, adequate, and effective compensation, violating the Canada-Tanzania bilateral investment treaty.
Facts
Tanzania attracted foreign mining investments in...
Mkataba uvunjwe kwa pande mbili mmoja akichemka akakataa kuvunja mkataba nini kinatokea ?? Hebu andika iko kiingereza unachohisi unakijua kuliko wengine tuone.
Kupoteza muda na rasilimali za fedha za TAIFA kwanini haikuundwa tume awali kuona kama hizo tozo zitakua na tija? Mnaunda tume sijui timu saizi what for ? hivi hamna viongozi wengine wapewe io wizara
Nilitaka kwenye reply niifanunue TikTok kwa undani, kama ikitokea mtu kaleta swali au angependa kujua kwa undani zaidi. Ningeeleza ila nishakosea itabidi nifute nitaandika upya.
Ukidhani tu teknolojia fulani imefikia ukomo anakuja mwingine anaboresha kidogo tu na anakua mkubwa.
Lakini kuna tatizo moja naliona kwetu sisi watanzania tuna tabia ya kusema kwamba APP fulani sio ya kutumia watu wa jinsi fulani au APP fulani sio ya kutumia watu wa umri fulani.
Unahisi kuna...
Japo sio kwa kiwango kikubwa lakini mifumo mingi nchi hii ya kitehama ni ya serikali na hufanya kazi nyingi kama ilivokusudiwa mifano kadhaa kama eTiketi, control number, malipo ya polisi na mengineyo yote umilikiwa na serikali, japo matatizo ya kimtandao huwa ya mara kwa mara lakini walau kuna...
Huwa naingia majukwaa mbalimbali yanayotangaza ajira nadhani mara nyingi huwa naona kama changa la macho hakuna ukweli wowote juu ya uwepo wa ajira zilizotangazwa. Ikitokea kama kweli zipo basi kuna watu wameshapata hizo nafasi, na sie wengine tunaona machapisho tu mtandaoni lakini wenye kazi...
I have chosen to ignore the messenger and the message. I never believed if a man and his ideas are inseparable. Quick to assume something just uncover your idiocy.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.