Search results

  1. Hushan

    Demu wangu ananisaliti kimtindo

    Nilishaachana name
  2. Hushan

    Demu wangu ananisaliti kimtindo

    Jamani tuwe tunasoma post ni ya lini na wenzako wamemaliza vip maana tunakumbushana machungu tu wakati tulishayamaliza kwa kupata ushauri humuhumu JF
  3. Hushan

    Demu wangu ananisaliti kimtindo

    nishamuacha situ ya pili kwa ushauri mzuri tu wa wana JF
  4. Hushan

    Mume wa mtu ananilazimisha nizae naye

    kwani jamaa hana watoto huko kwa mke wake? kama hana mzawadie na kama hutaki kumzalia basi kila mtu achukue time yake isiwe unataka akutunze ila wewe kumzalia hutaki hiyo mbaya itafika muda mtadhuriana.
  5. Hushan

    Chizi noma

    duh
  6. Hushan

    Demu wangu kaniacha baada ya kusoma Post zangu JF

    Huyo dem nae hana kwao heeee?
  7. Hushan

    Demu wangu ananisaliti kimtindo

    KAKA NIMEMUACHA RASMI JANA USIKU SITAKI TENA AENDE HUKO NA MM NIRUDI HOME
  8. Hushan

    Demu wangu ananisaliti kimtindo

    Nashukuru sana wana JF kwa mawazo na maoni mazuri kwa kweli nilizoea kuwa na dem, mchepuko pembeni nikiacha huyu basi nitatafuta mwengine ilimradi tu niwe nae mchepuko ila kwa hili nimeachana nae huyu dem na sitaki tena kuwa na dem nabaki na mke wangu. Napenda kutoa shukran kubwa kwa post ya...
  9. Hushan

    Demu wangu ananisaliti kimtindo

    Nipo makini kwa hilo ndo maana naogopa
  10. Hushan

    Demu wangu ananisaliti kimtindo

    NIKIPATA ELIMU YA KUTOSHA BORA NIWE NA MKE KULIKO HII MICHEPUKO HADI UNASHINDWA KUSWALI
  11. Hushan

    Demu wangu ananisaliti kimtindo

    HII NDO ELIMU TUNATAKIWA TUPEANE ENHEE NAMBIE MKUU
  12. Hushan

    Demu wangu ananisaliti kimtindo

    mwenzio anapoleta tatizo umsaidie sidhan kama ni solution kumtukana ni bora kukaa kimya umcheke moyoni na upite sio lazma kuchangia kama huna ushauri,
  13. Hushan

    Demu wangu ananisaliti kimtindo

    HABARI ZA ASUBUHI WADAU!!! soon ntaleta updates yaliyojiri baada ya ushauri wa wadau wooote wa JF
  14. Hushan

    Demu wangu ananisaliti kimtindo

    hahhahahahaahahahahahahahahahahahah kweli maisha mapito
  15. Hushan

    Demu wangu ananisaliti kimtindo

    duh kweli aiseee
Back
Top Bottom