Search results

  1. Hell2Heaven

    Mlio Hamia nyumba zenu mpya, Majirani zenu Shwari au Vita?

    Nahakika moja ya majirani wenye gilba na hila uko mtaan kwako wewe ni mmoja wao.. hivyo ina kuuma sana kuona tuna peana mbinu za kudeal na nyie. Wewe bila shaka ni mshirikina, mwenye wivu na mwenye roho mbaya sana.. hata uandishi wako una dhibitisha ulivyo nafsin mwako..
  2. Hell2Heaven

    Mlio Hamia nyumba zenu mpya, Majirani zenu Shwari au Vita?

    Kama jambo halikuhusu ukijihusisha nalo lazima uonekane mwehu.. kwamba hao wanao jibu matukio yenye mafunzo na hao wanaosema wamejifunza kupitia uzi huu wote ni wajinga wewe ndio mwerevu?? Ukiona huelewi sababu ya jambo pita mbali usitake hata kulisogelea utakuwa kama kituko.. ambayo wewe...
  3. Hell2Heaven

    Mlio Hamia nyumba zenu mpya, Majirani zenu Shwari au Vita?

    Ha Hahaha hamia sasa bila kwenda kuvunja hayo mambo uone utakavuo umwa na kipato kikatike mazima hahahaahha
  4. Hell2Heaven

    NBC Acheni makato yasiyo na makubaliano na wateja wenu huu ni wizi wa wazi

    NBC ndio ukiwithdraw kwa ATM hawaweki Karatasi ili usiangalie Salio wala kumbukumbu isiwepo.Yaan wajanja sana
  5. Hell2Heaven

    NBC Acheni makato yasiyo na makubaliano na wateja wenu huu ni wizi wa wazi

    Hilo la CRDB ndio na mm lilinikuta nilikaa muda bilakutumia kaka miaka 3, nika uza Gari sasa mnunuz akataka alipe kwa bank nika mruhusu nika mpa jina na acc akalipa.. bwana weweee.. kesho yake naenda bank kutoa nakuta walikata 150,000/ eti ni mantainance ya card kwa miaka 3.. nilichoka.. alafu...
  6. Hell2Heaven

    NBC Acheni makato yasiyo na makubaliano na wateja wenu huu ni wizi wa wazi

    acha tu, hi bank ni wajanja sana.. na ukiuliza utazungushwa maelezo yasiyo eleweka wana jiuma uma wafanyakaz wanajua kabisa sio sawa ila wanarushiana mpira nenda kwa flan mara nenda kwa fulan..utachoka uondoke alafu mwezi unao fuata wanafanya vile vile
  7. Hell2Heaven

    NBC Acheni makato yasiyo na makubaliano na wateja wenu huu ni wizi wa wazi

    NBC matapeli kuweni makin na bankstement za kila mwezi wanazotuma kwenye email..utagundua wana iba kijanja. eti unakatwa Insurance Premum mara 3 ndani ya mwezi mmoja.. alafu hakuna mahali umeongea nao kuhusu insurance na katika miaka 3 ya kuwa nao sijawahi ona wamenikata mambo ya Insurance...
  8. Hell2Heaven

    Makato ya matumizi ya ATMs za Benk ya NBC ni makubwa mno

    NBC matapeli kuweni makin na bankstement za kila mwezi wanazotuma kwenye email..utagundua wana iba kijanja. eti unakatwa Insurance Premum mara 3 ndani ya mwezi mmoja.. alafu hakuna mahali umeongea nao kuhusu insurance na katika miaka 3 ya kuwa nao sijawahi ona wamenikata mambo ya Insurance...
  9. Hell2Heaven

    Mlio Hamia nyumba zenu mpya, Majirani zenu Shwari au Vita?

    Duh.. hii sasa hatari.. uchawi huo.. dada aende kwenye maombi apeleke Kiongoz wa kiroho haraka maana wana weza muondoa
  10. Hell2Heaven

    Mlio Hamia nyumba zenu mpya, Majirani zenu Shwari au Vita?

    Dah. aisee kuna visa havi kwepeki ni Yesu tu aamue.. Embu I magine umejituma kwa jasho lako umejenga kwako jirani anaenda kwa mganga kuku tupia majin?? bora Yesu wako ali muwahi ..safi sana.. Pole pia kwa hicho kisa hatari sana
  11. Hell2Heaven

    Mlio Hamia nyumba zenu mpya, Majirani zenu Shwari au Vita?

    Aise hii kali. kama nimekuelewa mzee kafariki kwa ajali au ni gari tu ilipiga mzinga?
  12. Hell2Heaven

    Mlio Hamia nyumba zenu mpya, Majirani zenu Shwari au Vita?

    Bado najiuliza kachimba kwenye eneo lake au la uma? je amekusudia matumiz gan? maana kisheria kila mtu ana haki na eneo lake kwa maendeleo yake.. usije kuwa umechokoza kwa kumshtak.. vita za uchawi na hila zianze
  13. Hell2Heaven

    Mlio Hamia nyumba zenu mpya, Majirani zenu Shwari au Vita?

    Hahahah, Ila heshima huja kwa kuweka busara mbele.. huyo Mwanajesh ata cheo atapata kazin kwa urahisi maana hana ubabe wa kijinga bali amebarikiwa hekima.. ukifuatiloa utakuta ana cheo. na hicho cheo hupewi wajinga wasio na busara .ninamtabiria cheo kikubwa zaidi uko mbelen
  14. Hell2Heaven

    Mlio Hamia nyumba zenu mpya, Majirani zenu Shwari au Vita?

    Si amechimba kwake na ana weza weka uzio?
  15. Hell2Heaven

    Mlio Hamia nyumba zenu mpya, Majirani zenu Shwari au Vita?

    Embu isome tena hii reply yako.. naona kama haija nyoka ume taka. kusema nini vile.
  16. Hell2Heaven

    Mlio Hamia nyumba zenu mpya, Majirani zenu Shwari au Vita?

    Kweli kabisa hapo kwenye kujishusha kama mjinga uku ukiwachapa fimbo ya kmaendeleo ndio bonge la njia ya kutengeneza heshima kwa nguvu.
  17. Hell2Heaven

    Mlio Hamia nyumba zenu mpya, Majirani zenu Shwari au Vita?

    Tupeane Uzoefu wa Tabia za Wenyeji wako, ulizo kutana nazo kwa Jiran yako wa mpakani au mtaa ulio jenga na kuhamia au ulipo nunua kiwanja umepokelewaje? Vipi wenyeji wa pande zote za nyumba au eneo lako? Kuna kosekana wivu na gubu kwa jirana zako? au ndio ile ushazoea husemezani nao? Au umepata...
  18. Hell2Heaven

    KWELI Uume huacha kukua mwanaume anapofikisha umri wa miaka 20

    Je! umechunguza zinafanya kazi mtu akiwa kwenye umri gani..maaba siyo mtu kafika 30s ahangaike kukuza viungo vilivyo koma kukua ndani ya muda husika
  19. Hell2Heaven

    Kama una dushe ndogo njoo tubonge hapa

    Sidhani kama unakijua kipomo cha inches vizuri.. Tumia rula kujua cm ngap kisha ntakwambia inches ulizo nazo.. ila nakataa hakuna binadam mwenye kusimamisha ikawa 1.8inch labda kama ikiwa imelala
Back
Top Bottom