Search results

  1. Manteeq

    Ni Aibu kubwa sana kwa Azam kutumika kuziachia local channels zenye vinasaba na ccm tu ili kughiribu wananchi

    Mkuu, naomba jua ni channel zipi siyo za CCM ili nianze kuzitizama. Na pia siku zikiwekwa AZAM tuweze rejea hii mada. Mi nilidhani AZAM wamenunua leseni na wanaanza kuseti mitambo hapa bongo kurusha channel za ndani, kila wiki 2 au 3 wanakamilisha mitambo flani inayoruhusu channel flani, ilianza...
  2. Manteeq

    Official BBM on Android and Iphone devices

    Sell it and buy another...unakosa mambo mengi...
  3. Manteeq

    Official BBM on Android and Iphone devices

    Sell it and buy another...
  4. Manteeq

    Official BBM on Android and Iphone devices

    Iphone ss hv kuna mpaka ios 7.0.3, kwann mpaka ss hv bado unatumia 4.1?
  5. Manteeq

    Official BBM on Android and Iphone devices

    Kwangu pia imefanya kazi, nili jaza email a while back kwa hiyo i had a spot reserved. Siwezi kupost my pin humu maana...
  6. Manteeq

    Wanawake mlijue hili kuhusu wanaume

    Tatizo most of the girls wanaingia kwenye relationships with every intention ya kukuchuna...
  7. Manteeq

    Wanawake mlijue hili kuhusu wanaume

    Tina...kwangu mm nasema wasichana wana miss undersrand mtu kuwa vizuri na wakujibeba...mtu unakazi, unausafiri...hakuna haja ya kujibeba...wao wakishaona hivyo wanaona ndo sehemu ya kuchuna wakati mtu bado unamipango...unaanza nae vizuri na umeweka malengo mazuri kuwa ndo atakuwa...
  8. Manteeq

    Wanawake mlijue hili kuhusu wanaume

    Yaani ni kero...mwanaume umejipanga unasema ss natulia na huyu...ehh majanga kudadadeki zao...:banghead:
  9. Manteeq

    Wanawake mlijue hili kuhusu wanaume

    Poleni kama itawauma ila i just have to say it. Okay that been said... Umeanza uhusiano na mwanaume, umemkuta anakazi yake nzuri tu. Lakini yeye kuwa na kazi isiwe sababu ya mizinga kila kukicha... Umemkuta ana kazi, that means ana malengo yake, kama kiwanja, kujenga, gari n.k, na mshahara mara...
  10. Manteeq

    How can i get rid of him???!! Please advise

    Just know it will not end anytime soon, he may stay away for a while but he will come back again, the only way for him to stop is to find someone else, someone he will love or atleast like...the only thing you can do at the moment is to ignore him. Believe me, no one like to be ignored, he will...
  11. Manteeq

    Procedures ili uweze kujenga nyumba

    So kama hakijapimwa namhitaji mhandisi tu na sio procedures za kwenda wizara ya ardhi?
  12. Manteeq

    Procedures ili uweze kujenga nyumba

    Mambo vp wadau? Ebwana na mpango wa kuanza ujenzi wa nyumba ya gorofa, tatizo naambiwa kuwa ili kujenga nyumba ya gorofa, kuna utaratibu wa kufuata ili kupata kibali, kwamba kuna ishu ya ramani yangu ya nyumba kuipeleka wizara ya ardhi kukaguliwa na procedure nyingine kibao. Ningependa kujua...
  13. Manteeq

    Daah....nimetafuta kazi jamani hadi sasa napoteza imani

    Nakushahuri pia uangalie jinsi unavyoiandika CV yako, maana hiyo ndo interview ya kwanza. Check online for the best CV, maana ki2 kikubwa kwenye CV ni kuonyesha your capabilities clearly and in simple way for easy understanding, waajiri wanapokea CV nyingi sana na hawana muda wa passthrought...
Back
Top Bottom