Tatizo ni kutoheshimu mifumo iliyowekwa katika teuzi. Ukienda TPDC kwenye Muundo wake lazima utakuta sifa za mtu kuwa DG wa TPDC.
Ingezingatiwa hiyo huyo dogo asingepenya hata kidogo. Teuzi za sasa haziangalii hayo, ni utashi tu wa mteuzi na wanaomshauri. Hapo ndipo shida ilipoanzia...
Namba Siku zote hazidanganyi. Ukizichezea bila umakini zinakuumbua. Hapo hakuna cha average. Hata value ya hizo kontena inatisha, eti sh 1,400 plus billion, in maana kontena moja ni worth 5.7billion. Hela yote hiyo itembee njiani na Lori toka kahama to dar bila ulinzi, halafu ikae majini mwezi...
Hivi kwa nini wasijitokeze wabunge wengine nao wapeleke muswada binafsi wa: kupunguza miaka ya kukaa madarakani hadi 4 na mwingine kupunguza madaraka ya rais? Tuone Spika atafanyaje hapo.
Ni kweli anakamatika, hofu yangu wasukuma watakuelewa? Inaweza kuzalisha kitu kingine, bashite kulindwa Vs chenge and company. Stop there kulinda Chama hususan usukumani.
Kwa vyovyote Acacia jibu wanalo maana hawaishii kupima sampuli tu wamekuwa wakiuza madini halisi kwenye makinikia tangu mwaka 2000. Hivyo wakisema wanapingana na taarifa ya tume wako seriuos. Tume iliishia kupima tu sampuli. Kama wanajiamini wasindikize hayo makontena kwenye mtambo wakaone end...
Unajua Prof Mruma alishastaafu miaka 2 iliyopita, yuko kwa mkataba nadhani hapo GST. Hata ingekuwa mimi lazima nipambe taarifa yangu ili angalau niteiwe kuwa balozi au Mkiti mahali, chezea maprofesa wewe! Alipika taarifa ikapigika na akajitahidi kuisoma kwa hasira ili umma umuone shujaa
Bila hata kungoja tume huru, facts zinawaumbua. Inawezekanaje kontena 277 za makinikia zitoe tani 15 za dhahabu? Kama ndio, kwa nini mmiliki wake asafirishe tani hizo za dhahabu kwa barabara tena bila ulinzi wakati gold bars zinaenda kwa ndege tena baada ya kulipa bima kubwa? Kwa nini makinikia...
Jamani hebu tujitahidi kuyaelewa haya mambo bila mihemko. Hiyo 4% ni mrabaha na inalipwa kwenye gross value. Hapo mwekezaji bado hajatoa gharama za mtaji na uendeshaji. Bado atatakiwa kulipa kodi kibao kama kodi ya mapato ambayo ni 30%, SDL, PAYE, withholding tax, service levy nk. Kiuhalisia...
Nimpongeze JPM kwa hatua za uzalendo anazoendelea nazo kulinda rasilimali za Taifa. Baada ya taarifa ya makinikia kusomwa aliagiza watendaji wote kuanzia 1998 washughulikiwe kwa kuchunguzwa. Ninajiuliza swali, hivi baada ya kushughulikia uozo uliokuwepo pale bandarini na kuwezesha mapato...
Ufunge watu kwa data za kupika? Mungu anakuona. Utachuma dhambi mbaya sana. Ili kuwafunga hao, tuthibitishe kama walikuwa wanahongwa, tofauti na hapo ni kuwaonea. Kama ni kwa uzembe, huwezi funga mtu. Mbona madaktari wanaua watu wengi kwa uzembe lakini hakuna aliyefungwa. Tusahau ya nyuma...
Hiyo taarifa ni magumashi nawasmbia. Hao maprofesa wanatafuta tu vyeo kwa Magu. Wataumbuka soon. Wameumiza watu wengi sana kwa uongo wao, Mungu anawaona. Waitoe wazi hiyo taarifa waone itakavyokosolewa. Maabara yenyewe waliyotumia ni ya GGST ambayo haina ISO. Kwa kweli wameiweka nchi pabaya...
Hao
Hao Wakurya wanajitambua ndio maana wanasali Sabato. Nijuavyo mimi kusali Sabato ni kutimiza amri ya nne ya Mungu kama ilivyotolewa kwenye Kutoka 20:8. Ikumbukwe pia kuwa Yesu alikuwa Msabato kasome Luka 4:16, Paulo na mitume wote walikuwa Wasabato kasome Matendo ya Mitume 17:2, tukienda...
Siku zote Mkuu wa nchi hasemi uongo. Ni lazima watatafutiwa kazi nyingine kama alivyoahidi. Sio hao tu, hata baadhi ya waliokuwa Makatibu/Naibu Wakuu wa Wizara bado wanasubiri kupangiwa kazi nyingine. Nina uhakika JPM atatimiza ahadi yake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.