Viwango vya juu vya tozo ya Serikali vimepunguzwa kutoka sh. 7,000/- hadi 4,000/-(kwa wanaotuma zaidi ya sh. 3,000,000/-). Viwango vya chini vimepunguzwa kutoka sh. 100/- hadi shilingi 10/- (wanaotuma kati ya sh. 100/- hadi 2,999/-)
UFAFANUZI WA KINA UTATOLEWA NA WIZARA YA FEDHA
Serikali ya CCM inachofanya ni Uporaji wa Pesa za wanachi! Huwezi Mkata mtu PAYE au Income tax halafu uje tena umkate tozo ya Serikali kwa kutoa pesa bank kwenye Pesa hiyo hiyo.
Thats Robbery in a broad day light. Widen your tax base. Acheni quick fix its not Sustainable
Serikali ya CCM inachofanya ni Uporaji wa Pesa za wanachi! Huwezi Mkata mtu PAYE au Income tax halafu uje tena umkate tozo ya Serikali kwa kutoa pesa bank kwenye Pesa hiyo hiyo.
Thats Robbery in a broad day light. Widen your tax base
Acheni quick fix its not Sustainable
Aliyeleta wazo la Tozo za Bank transfer alilenga kila mshahara wa watumishi wa serikali ukatwe kwa sababu mishahara yote inapita benki lakini kasahau kuwa mshahara huo huo umeshakatwa PaYE na kwa sheria za kikodi upaswi kufanya double taxation,Kama ikiendelea wafanyakazi mtaumia
Nashangaa kuona UJENZI WA hovio WA BARABARA mwendo Kasi kwenda Mbagala iko hovio.
Injinia WA mkoa, wilaya as if wao wanaishi mbinguni, hawaoni hawaioni hiyo adha ya hiyo BARABARA.
Tunaomba wafike saiti waangalie.
Miaka 55 sasa tangu uhuru bado tunaendesha siasa za nipe nikupe? Eti nipe kura yako nitakujaza mapesa! Huku kama siyo kuvaa nepi ni nini? Hivi zama hizi kweli ni za kudanganyika?
Imefika wakati wapiga kura mkue. Mvue nepi. Ondoeni nepi kwenye akili zenu ili muweze kujua mema na mabaya...
Nyama na mchicha zote ni mboga, tofauti yao ni utamu na gharama! Nyama iko juu ya mchicha!
Cha kushangaza vyote vikioza nyama inanuka na kutia kinyaa sana kuliko mchicha.
Maana yake ni kwamba vitu vyenye thamani vikioza vinanuka kuliko vitu visivyokuwa na thamani, kosa la kiongozi linanuka...
Naomba nifahamishwe hili la KESI ya MBOWE kufutwa, au DPP kutokuwa interest na KESI, Swali langu ni Je Vielelezo navidhibiti vyote vitarudishwa Kwa wenyewe? Kama vitarudishwa. Je AKINA Bwire watarudishiwa Madawa Yao ya kulevia na Bastola Yao?
Kisheria limekaaje hili.
Tunakumbushana tu wala sina jipya sana!
__________________________________________________________
Moja
Wema na ubaya vyote ni mbegu na vyote ukivipanda vinaota na mvunaji ni wewe uliyevipanda! Tunakumbushana kwamba ukipanda bangi huwezi kuvuna mahindi!
Mbili
Unaweza kuishi miaka mingi...
1. Enzi hizo watu tulivaa viraka. Mafundi cherehani walipata kipato kwa kushona viraka. Suruali la baba lilikatwa kaptura za watoto na chupi kadhaa za mama.
2. Enzi hizo watu tulipiga mswaki kwa mkaa. Watu tulivaa kata mbuga. Miguu ilijaa funza wakubwa utadhani mbaazi. Tulikwenda chooni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.