Search results

  1. C

    Ni bora kupitia hali ngumu ukiwa mikononi mwa Mungu

    Habari zenu wadau, Ngoja niwape story ya ndugu yangu mmoja hivi, ni binadam yangu ambae tulikua tumeshibana sana katika maisha ni mpambanaji wa kufa yaani jamaa alikua ni mtafutaj mno mno. Alitoka kijijini akawa anaishi kwetu baadae akajipanga akaenda kujitegemea wilaya nyingine kwa jinsi...
  2. C

    JATU ni Mr Kuku mwingine, ni swala la muda tu

    Aisee umewaza kama mimi vile leo nimetoka kuona tangazo lao la kununua hisa kwa alfu tano nikawaza tu huyu ni mr kuku mwingine
  3. C

    Mpenzi wangu kaniacha kisa sina pesa

    Da aisee me mwenyewe nimeshangaa hadi alfu kumi na tano inamshinda khaa
  4. C

    Mpenzi wangu kaniacha kisa sina pesa

    Pambana jamaa aisee, inawezekanaje hata alfu kumi na tano ikakushinda bro
  5. C

    Mwanamke anayesumbua kukukubali, huyo siyo mwanake wa kuoa

    Jamaa umeandika ukweli ulio uchi hio principle ninayo mimi nikimtongoza msichana for the 1st utamuona km ni wako au unalazimisha the way atakavokua anakujibu na atention yake kukusikiliza so ata km atakuambia nitakupa jibu unakua tayar unajua jibu gan utapewa. Na mara nyingi mimi niki mtreat...
  6. C

    Bei za mabati na saruji juu, Serikali ipo wapi?

    Kumbuka wenye viwanda sio wanajipandishia tu bei hapo wamekaa meza moja na serikali,
  7. C

    Nimejifunza kutokufata mkumbo wa biashara inayofanywa na mtu

    Balo za jeans zimefawanyika kama ifuatavyo ☆ jeans men Hizi ni kuanzia size 28 kuendelea wanavaa kuanzia wakubwa kuendelea Namba 1 bei yake ni laki 5 Namba 2 bei yake ni laki 2½ Zinakaaa peace mia za jeans ☆ladies Hizi ni jeans mchananyiko za kike na kiume mara nyingi ukinunua hii unakutana na...
  8. C

    Nimejifunza kutokufata mkumbo wa biashara inayofanywa na mtu

    Hapo juu ukisoma vizuri nimeeleza kua jamaa alinipa feedback zote za bei ya bidhaa zake na faida anayoipata
  9. C

    Nimejifunza kutokufata mkumbo wa biashara inayofanywa na mtu

    Hata katika faida pia me nimemzidi mfano mimi nanunua robota moja laki mbili na nusu linakua na jeans 125 nakua nimeuziwa kila jeans alfu 2000 kawaida nauza jeans alfu 5 faida yangu ni alfu 3 kwa kila jeans wakat yeye alfu 3 ataipata baada ya kumaliza ki pakti cha hereni chenye pair kumi za hereni
  10. C

    Nimejifunza kutokufata mkumbo wa biashara inayofanywa na mtu

    Habari zenu wadau Mimi ni mfanyabiashara wa jeans za mtumba za kiume, sina muda sana kwenye hii biashara ni kama miezi kadhaa. Sehemu zangu ni katika minada na magulio katika kuzunguka kwangu nikakutana na jamaa yeye anauza urembo nae pia tunazunguka wote katika minada. Biashara yake ilianza...
  11. C

    Nawezaje kuwa stable hapa

    Engueser Pamoja sana nitalifanyia kazi
  12. C

    Nawezaje kuwa stable hapa

    Habar zenu waadau. Naomba niende directly, kuna mahali flan mkoa wa manyara hua nafanya kilimo, katika halakat zangu za kilimo nikaona niwe napeleka na biashara ya nguo. Nikanunua robota moja la suruali za kiume nikapeleka na biashara ikawa nzuri tu. Nikawa nazunguka na kwenye magulio ya...
  13. C

    Jinsi nilivyotapeliwa na mtu niliyedhani ni mhitaji kumbe ni tapeli

    Kuna siku nilikua town nikakatiza mitaa flan nikakuta wadada wawili wamekaa mmoja kabeba mtoto wakaniita nikasogea wakaniambia wanaenda kwao wilaya nyingine wamepungukiwa nauli pia mtoto wao alikua kalala hajala kwa hio wanaomba msaada wa nauli iwafikishe Me nikawapa pesa kias nikaondoka baada...
  14. C

    Ambao tuna matukio ambayo hatutayasahau hadi kifo tukutane hapa

    Mimi ilinitokea kama yako japo tofaut kidogo, kuna rafiki yangu alikua anasoma bweni shule tofaut siku moja akawa kamtapeli sim kiubabe mwanafunz mwenzake akanipogia cm kua anaomba niende akanikabidhi cm kwan walimu wangemkamata angekua matatizon mimi bila kujua ni nini kilikua kina endelea...
  15. C

    Ambao tuna matukio ambayo hatutayasahau hadi kifo tukutane hapa

    Kwanza binafsi sipendi kabsa kwenda sehemu zenye mikusanyiko km hio wala sijui 9 December sijui sherehe za uhuru kwa sababu lolote laweza kuotekea, inapokubidi sana kwenda nenda na mwenzako alaf msivae kihuni jins za kuchanika chanika achana nazo piga tai
Back
Top Bottom