Search results

  1. M

    Charles Hilary ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu - Zanzibar

    Rais Hussein Mwinyi kumteua Charles Hillary kuwa Mkuu wa mawasiliano Ikulu ni kuwadharau wazanzibari.Wazanzibari wapo kibao ambao wangeweza kushika nafasi hiyo. Labda kilichokusukuma mpaka ukamteua ni kufanya kazi kwake BBC.Muulize Rais mstaafu Jakaya kwa nini alimuondoa Tido Mhando TBC? Dr...
  2. M

    Kabudi na Lukuvi wamehudhuria kikao cha Mawaziri kwa vyeo gani?

    Hakuna kitu kama hicho.wanaohudhuria vikao vya Baraza la Mawaziri ni wale waliokula viapo.sasa hawa 2 wamekula viapo wapi?Waambie ukweli waende majimboni kwao.Huku ni kupoteza kodi za wananchi.
  3. M

    Nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

    Wabara hamjui kiswahili.yote ni heli tu duuuh,inaandikwa hivi Yote ni kheri tu.
  4. M

    William Lukuvi anaandaliwa kuwa Spika wa Bunge la JMT?

    Spika ni mama wa mbeya.
  5. M

    TFF na Karia wachunguzwe. Timu nyingi za ligi kuu masikini.Sababu kuipa haki ya kurusha ligi kuu TV moja tu

    Herufi kubwa ndogo kati mambo ya kizamani.wewe unaishi dunia hii au upo sayari nyingine?zamani wenye miandiko mizuri shuleni mnazawadiwa,siku hizi hata kalamu situmii.ualimu wako mpelekee mkeo au wanao.
  6. M

    Awamu ya Sita imeshakopa Trillion 10 ndani ya miezi 9 madarakani. Tunaomba ufafanuzi

    Wewe Mnaojiita Tanzania Leaks jibu inshaallah utalipata leo.
  7. M

    TFF na Karia wachunguzwe. Timu nyingi za ligi kuu masikini.Sababu kuipa haki ya kurusha ligi kuu TV moja tu

    Kwa ufupi tu naomba vyombo vinavyohusika na michezo na rushwa wachunguze mkataba katika ya TFF na TV moja kurusha live matangazo ya ligi kuu tena kwa miaka 10. Gharama walizolipa ni takriban billioni 200 na ushee. Duniani kote hakuna TV moja inayopewa haki bila ya kuzishindanishi tv...
  8. M

    Hivi kwanini sisi wanasimba tunakuwa wajinga kiasi hiki. Dewji alitakiwa kisheria kulipa bilioni 20 cash lakini anatuzungusha kwa mikutano?

    Kwa kifupi tu, sie wanasimba kwa nini tunakuwa wajinga kiasi hiki? Huyu Mohamed Dewji alinunua hisa 49%kwa bilioni 20 shilingi za kitanzania. Hadi leo hakuzilipa.Kinachoendelea ni kuchagua wanachama 800 kuwaweka ukumbi wa kisasa wa mikutano wa Jakaya Kikwete,na vibaraka wake kuanza kutoa maneno...
  9. M

    Waziri Gwajima umechemka kuhusu Uuzaji wa Damu unaodai unafanywa na Watumishi wa Wizara ya Afya. Hujui ufanyalo

    Waziri wa Afya Dr Gwajima Katika hotuba yake aliyoitoa kwa watumishi ambapo aliwaonya kuhusu kununua damu au kwa watumishi kuuza damu na kudsi ni kosa hivyo anatoa eti mwezi kwa yoyote atakayebainika atachukuliwa hatua kali za kisheria. Cha Ajabu akiwa kama Waziri wa Afya kwanza Watumishi Wote...
  10. M

    Shaka Hamdu Shaka ataka walioisababishia Serikali hasara ya TZS 0.59BL watafutwe

    Muongo wewe.si ajabu wewe ni yule aliye hai lakini kafa anaitwa Kigogo.
  11. M

    Shaka Hamdu Shaka ataka walioisababishia Serikali hasara ya TZS 0.59BL watafutwe

    Hawa wanaomtaja Abood wana ajenda ya siri kisiasa.Kwa kuwa huyu jamaa maarufu sana kimbilio la wanyonge huko mji kasoro bahari,inaelekea anawajua wote.Nimewahi kumwona ni mstaarabu,mtaratibu lakini mwaminifu sana.Unaambiwa wananchi wa jimbo lake anawapokea mpaka nyumbani kwake kusikiliza shida...
  12. M

    Timu ya Taifa ya Wanawake imeshinda COSAFA Cup, lakini wametolewa kombe la Afrika na dunia

    Hakuna ubaya kwa timu yoyote ya michezo kupelekwa Ikulu kuzawadiwa ikiwa kuna umuhimu. Cha ajabu TBC wapo live Ikulu wakiwaonyesha mabinti wa timu ya Taifa ya Wanawake walioshinda COSAFA CUP ambapo timu nyingi zilizoshiriki zilikuwa B Teams kwa sababu A teams zilikuwa zinajiandaa na mashindano...
  13. M

    Rais Samia anawezaje kujenga SGR kilometa 1,063 kwa TZS 10.1T na SG kwa TZS 6.55T?

    Wewe mpumbavu na mjinga wa mwisho.Angalia takwimu za Rais Samia.Zinashangaza ulimwengu.Wewe ni mfuasi wa sukuma gang.Mmeshindwa.Mama Samia ana miaka 10 mingine kutuongoza.utake usitake.
  14. M

    Mtake msitake Zanzibar ni nchi na wataoajiriwa ni Wazanzibari. Huwezi kumwacha mzawa Mzanzibari ukamweka mtu wa bara

    Mnataka mstake, Zanzibar ni nchi na inshaallah kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu siku itafika itakuwa na Waziri wake wa Kigeni,Waziri wa Mambo ya Ndani na Waziri wa Ulinzi. Mnaosema wabara wakafanye kazi Zanzibar hiyo ni ndoto ya mchana. Katika makubaliano ya Muungano kati ya Hayati Mwalimu na Hayati...
  15. M

    Tetesi: Usajili wa Mabasi ishirini mapya ya Abood

    Huyu mpuuzi.Kinachotakiwa ni ajira.ukichanganya Abood ana wafanyakazi zaidi ya elfu.hana vibarua.familia ngapi hizo??Viwanda vya kisasa haviajiri hata wafanyakazi 50 kutokana na teknolojia ya kisasa.
  16. M

    Tetesi: Usajili wa Mabasi ishirini mapya ya Abood

    Wewe unayejiita maro ni mchagga.kwa mujibu za takwimu za brela Abood anaongoza kwa kuwa na mabasi 450.nenda kwa takwimu sio chuki.wewe ni mchagga.waulize wenzio watakwambia.
  17. M

    Tetesi: Usajili wa Mabasi ishirini mapya ya Abood

    Kuna mmoja msomi sana umemsahau.
  18. M

    Wazanzibari wamebobea kwa lugha za Kiswahili na Kiingereza. Wabara mhh!!!

    Natanguliza shukrani zangu kwa JamiiForums kwa kazi nzuri mnayoifanya. Yaani mpaka nje ya nchi Watanzania na wasiokuwa utawakuta wanasoma na kutoa maoni katika mtandao huu maarufu. Hongereni sana. Sasa nije kwenye mada yangu. Sisi Wazanzibari tupo vizuri sana tena sana katika lugha zetu mbili...
  19. M

    Viongozi wote wa Yanga na mdhamini GSM waondoke. Manji rudi utuokoe, mmetutia aibu

    Tumefungwa tena na kutolewa katika mashindano ya ligi ya mabingwa ya Afrika baada ya kufungwa tena 1 bila hivyo matokeo kuwa Rivers United 2 Yanga 0. Viongozi wote wa Yanga inabidi wajiuzulu na mdhamini GSM aende zake,wanachama na wapenzi tumwombe shujaa wetu MANJI ARUDI KUTUDHAMINI. Sababu...
  20. M

    Supermarket maarufu "Game" iliyopo Mlimani City inatarajia kufunga biashara zake

    Supermarket maarufu iitwayo Game imefuata nyayo za makampuni mengine kwenye MALL za Dar hasa Mlimani city kufunga biashara zao na kuondoka nchini. Kuna tetesi DSTV ambayo zipo Channel maarufu za supersports nayo ipo njiani kufunga biashara zake nchini kutokana na kushuka kwa mauzo ya vingamuzi...
Back
Top Bottom