Search results

  1. K

    Mbezi mwisho-Bunju via Mbezi High School, lami inabaki kuwa kimini

    Nimeshangaa sana hii barabara kukosa tena kwenye bajeti ya mwaka ujao. Sasa lami itakuwa ikiyatoa mabasi stand yakapita mbezi high school kidogo lami inaishia hapo. Kwa kweli ni maajabu sana. Hivi kwa ubusy wa ile barabara kweli unaweza kuiacha kwa miaka kumi yote??! Kwa kweli nimeshangaa na...
  2. K

    Na hiki pia ni kivutio cha utalii Tanzania, tukitangaze

    Wapendwa habari ya mapumziko. TANROADS nawasalimia sana kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Naiomba wizara ya mali asili na utalii iziweke barabara za TANROADS mkoa wa Dar es Salaam katika list ya vivutio vya utalii, make na zenyewe ziko kiasili kabisa. Barabara ni ya TANROADS tangu...
  3. K

    Barabara ya Mbezi Mwisho mpaka Mpigi Magoe via Mbezi high school inaitia hasara serikali. TANROAD hamuioni??

    Hii barabara ni kero kwa kweli. Mpaka sasa sioni dalili yoyote ya kuifanyia kazi yoyote.
  4. K

    TANROADS na barabara za jimbo la Kibamba

    Nilichogundua hii barabara ni biashara ya watu. Haiwezekani ukwangue barabara tu alafu ulipe na baada ya siku tatu mashimo tayari. Tuwskwe wazi basi kwani wanaokwangua hawatakiwi kuweka vifusi?
  5. K

    Aliyeset taa za Ubungo kwa Mfugale kutokea Mwenge kwenda Kimara amechemka sana

    Hizi taa mwanzoni zilikuwa zinaruhusu sekunde angalau kuanzia sitini. Kwa sasa wameamua kuweka sekunde ishirini. Hii kwa kweli imerudisha foleni ya zamani. Sasa hivi foleni inaanzia njia ya kwenda UDSM. Huyu aliyeset hizi taa ana makusudi gani?
  6. K

    Mkoa wa CHATO wazaa mgogoro wa kiutawala, kikabila na kielimu

    Hawa wanatapatapa tu, undeni Chato yenu iwe mkoa bila kuzigusa mikoa mingine. Tafuta clip ya JPM (RIP) akiwa Tunduru alafu mheshimiwa diwani na wewe utuletee hiyo aliyotoa ahadi hapo Chato iwe mkoa. Kwanza Chato ina hadhi gani ya kuwa mkoa?
  7. K

    Ghafla tu Ngara na majimbo mengine yanatetewa yabakie Kagera, sababu ni Kabanga Nickel

    Jaribu kwanza kuigawa Tabora na Morogoro kwa maana hizo ni kijografia ndo zinahitaji kugawanywa kwa sasa lakini si Kagera.
  8. K

    Barabara ya Kimara vs kibaha kuwekwa matuta kwenye vivuko vya watu karibuni

    Mm naona hapa suluhisho ni kuweka taa kwenye vivuko. Hayo matuta ni kuharibu barabara na kuondoa maana yake kabisa.
  9. K

    TANROADS na barabara za jimbo la Kibamba

    Hizi barabara ni taaabu sana
  10. K

    TANROADS na barabara za jimbo la Kibamba

    Alafu hiyo ni barabara ambayo iko busy sana kuliko hata zile nyingine, wakikwangua baada ya wiki tabu inaanza upya. Sijui hii kwangua kwangua mjini inatoka wapi.
  11. K

    TANROADS na barabara za jimbo la Kibamba

    TANROADS, kuweni na huruma aisee. Hivi huku kibamba mnajua mnamiliki barabara mbovu sana? Je kazi mliyopangiwa ya kuassess barabara na kupeleka mapendekezo kwa Mh Rais mliifanya? Ni lini mtaacha hii kwangua kwangua na kumwagilia maji barabara badala ya kutafuta suluhisho la kudumu? Kwa kweli...
  12. K

    Bajeti ya maji ya Rais Samia ni karibu mara tatu zaidi ya ile ya FY2020|21

    Umesoma vizuri ulichoandika na hichi ulichoweka hapa? Umeona hiyo 589.4Bl ni ya nini?
  13. K

    Jimbo la Kibamba hivi TANROADS na TARURA zipo?

    Sasa tushalirurisha chama tawala, basi waliangalie kwa macho ya huruma aisee.
  14. K

    Jimbo la Kibamba hivi TANROADS na TARURA zipo?

    Hili jimbo ni balaa tupu!
  15. K

    Jimbo la Kibamba hivi TANROADS na TARURA zipo?

    Hivi hili jimbo liko Dar au nje ya Dar?! Make si kwa ubovu wa barabara. Jimbo zima lami ni changamoto. Kuna barabara zimetengwa kwa ajili ya TANROADS na zina connections nzuri sana ila kuzijenga sasa imekuwa changamoto. Mfano barabara inayotokea mbezi mwisho kuunganisha mpaka bunju kupitia...
  16. K

    Serikali iboreshe sheria ya Ndoa za Kikristu ili ziruhusu talaka kuepusha mauaji na fumanizi

    Lakini cheti cha ndo kinachotolewa kanisani na kusainiwa na pande zote ni cha serikali. Basi irahisishe kwamba wao wabaki na dini zao lakini kiserikali ndo ivunjwe na cheti cha ndoa kilichotolewa na mfungisha ndoa kwa niaba ya serikali kifutwe na kirudishwe serikalini. Nao ndoa iwe imeisha...
  17. K

    Napendekeza route mpya Mbezi Luis - Bunju

    Kwa kweli hii barabara ya Mbezi High school kwenda mpigi magoe ni changamoto kubwa sana. Na hii ingesaidia sana tena sana magari yanayoenda kaskazini kupitia bagamoyo make ni bonge la shortcut. Barabara ni ya Tanroad lakini kuijenga ni mbinde sana. Hili jimbo la Kibamba lina lami chini ya...
  18. K

    Kosa lile BRT Mbagala

    Ambazo hazina parking zaidi ya kupark barabarani. Na ndo itakavyokuwa kwa Mbagala, kwa maana daladala za Tandika zitapita hapo.
Back
Top Bottom