Search results

  1. Fund man

    Hongera serikali kwa kutofautisha mishahara ya walimu wa sayansi na Sanaa (Arts)

    Nianze Kwa kuipongeza serikali ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania, kwa kuliona hili. Hapo awali mishahara ya walimu ilikuwa flat rate(sawa), haikujalisha mwalimu amesoma masomo gani, kwa kifupi walimu wa sayansi na sanaa (arts) walilipwa mishahara sawa. Yaani kama ni cheti wanalipwa sawa...
  2. Fund man

    Naomba kujuzwa hizi namba mpya za magari

    Nipo halmashauri moja hapa nchini,nimekuta Kuna Gari Lina kibao chekundu namba za njano.namba zinaanza na ZT XXXX.Naomba kujuzwa maana yake.
  3. Fund man

    Hatua gani za kufuata ili kuongeza mke(mke wa pili)?

    Habarini wana JF. Naomba msaada je, ni hatua gani za kufuata ili kuongeza mke(kuoa mke wa pili)? Hapa nazungumzia wale wasio waislam. Karibuni.
  4. Fund man

    Naomba ufafanuzi, ni kuhusu thamani ya fedha

    Leo asubuhi nilikuwa na Google thamani fedha kwa nchi mbalimbali za Afrika dhidi ya Dola ya Marekani. Nimeshituka kuona kwamba 1$=16.20 kwacha ya Zambia. Kwa kweli sijaelewa, naomba ufafanuzi tafadhali.
  5. Fund man

    Julai hiyo watumishi wa umma wanasubiria nyongeza ya 23%

    Naona Julai imeingia, waajiriwa waserikali wanasubiri 23 %.Ngoja tusubiri😂😂😂😂😂.
  6. Fund man

    Msaada namba ya kutumia mizila Firefox.

    Naomba kujuzwa namna ya kuhifadhi(save) page for offline kwa fire fox(mozila) Kama ilivyo kwa operamin tafadhali.elimu Haina mwisho.
  7. Fund man

    Ijue Nguvu ya majina yanayoanza na herufi J, K na M

    Habari Wana JF Kuna ukweli usio pingika kuhusu Nguvu ya majina yanayo anza na herufi J,K na M. Tuanze na hapa kwetu Tanzania,Rais wa Kwanza jina lake ni Julius Kambarage Nyerere,yeye alibahatika kwenye jina lake Kuna herufi mbili za Nguvu yaani J na K JF Kennedy alikuwa Rais wa Marekani pia...
  8. Fund man

    CCM imekosa vijana wenye sifa mpaka kumpa kazi Mzee Kinana mwenye miaka 71?

    Habari Wana JF, Moja kwa moja kwenye mada. Hivi kwa ukongwe wa chama hiki, ni sahihi kuweka Makamu Mwenyekiti wa umri wa miaka 71?. Ina maana chama hakiandai vijana wa kuendeleza chama siku za usoni? Karibuni tujadili.
  9. Fund man

    Hodi humu wana-JF

    Hongereni kwa majukumu ya kila siku. Naomba kuungana nanyi Wana JF. Natanguliza shukrani.
Back
Top Bottom