Search results

  1. Mfalme26

    Marekani: Binti amezuiliwa kushiriki tukio la kunyongwa kwa baba yake kama adhabu ya kifo huko Missouri

    Pichani chini ni bwana Kelvin Johson(37) akiwa na mama, binti yake na mjukuu wake Ikaus. Ni mtuhumiwa wa kesi ya mauaji kwa kutumia silaha anayetarajia kunyongwa wiki ijayo, siku ya jumanne Nov 29, 2022. Alikamatwa tangu mwaka 2005 akiwa na miaka 19 na binti yake alipokuwa na miaka 2. Binti...
  2. Mfalme26

    Iphone 6, AC power imekufa, je inaweza kupona?

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza wadau. Nimekuwa na simu yangu iphone 6, lakn ghafla juzi hapa, nilitoa kwenye charger but nilipoiplug in baada ya muda ikakataa kuwaka na kuchaji.. Nimeipeleka kwa fundi kaniambia inarekebishika.. Lakn siwaamini sana mafundi simu. Naomba mnieleweshe kabla...
Back
Top Bottom