Search results

  1. Doyi

    Muda unakimbia, hii ndiyo AZANIA sekondari katika baadhi ya picha

    Leo nikiwa katika mihangaiko yangu nilienda Muhimbili kumuona ndugu yangu mmoja amelazwa pale sewahaji na nilipotoka nikaamua kutembea kuona chama langu la AZANIA SEC SCHOOL (nilimaliza hapo o level mwaka 2002 ) .kwa kweli nimeamini dunia inatutupa mkono mno mnoo. Mazingira yamechange mno na...
  2. Doyi

    Basi la Bright Line Mwanza - Dodoma kwa hili nawapa kongole

    Ni gari namba T683DZE aisee kama mmepewa mafunzo huko kazini basi mmeyaelewa vyema maana TV mmeweka sauti ya chini kiasi kwamba abiria hata kusinzia unaweza kusinzia na kuifanya safari yako kuwa murua kabisa. Screen za tv zipo saba lakini utulivu ndani ya bus upo wa kutosha. Mabasi mengine sasa...
  3. Doyi

    Plot4Sale Nauza kiwanja kipo BUNJU B

    Heloo wakuu habari Ninauza kiwanja kina ukubwa wa sqm 540(20X 27) kipo bunju B mtaa wa kihenzile .ni umbali wa dk 8 kutoka barabara kuu ya bagamoyo.,kipo eneo zuri jirani kabisa na club ya simba inapojenga uwanja wake wa michezo.hati hakina ila kuna document ya mauziano kutoka serikali ya mtaa...
  4. Doyi

    Ndugu yangu asome course gani kati ya Agriculture and Natural Resource Economics and Business na Shipping and Port Logistics?

    Ndugu yangu huyu kamaliza form six mwaka huu na matokeo amepata division 1 na selection za chuo amepata UDSM course ya Bachelor of Agriculture and Natural Resources Economics and Business na NIT kapata Shipping and Port Logistics. Bado yupo njia panda kuhusu nini asome kuzingatia changamoto za...
  5. Doyi

    Nani ana tairi na sport rims size 17au 18 tubadilishane na zangu za size 20

    Wadau kama kichwa kinavojieleza .nimenunua harrier ina sport rims na tairi zake mpya kabisa ambazo ni size 20 .ila nimekuja kuenda kwa fundi wakati analikagua akasema size ya rims kwa harrier haitakiwi kuzidi size 18 (kwa maana ni size 16 ,17na 18).sababu alizotoa ni kuwa size ya tairi na rims...
  6. Doyi

    Uyoga fresh kutoka shambani

    Wanajamvi habari zenu.kwa wale wanaohitaji uyoga mweupe fresh(oyster mushroom) basi naomba tuwasiliane kwa namba 0753289393.nipo dar maeneo ya mbweni na ukihitaji unaletewa mpaka nyumbani kwako Kilo moja ni tsh 12,000 nusu ni 6,000 .kwa maelezo zaidi piga namba hizo hapo juu.asante
  7. Doyi

    Wanaohitaji uyoga fresh kutoka shambani

    Wanajamvi habari zenu.kwa wale wanaohitaji uyoga mweupe fresh(oyster mushroom) basi naomba tuwasiliane kwa namba 0753289393.nipo dar maeneo ya mbweni na ukihitaji unaletewa mpaka nyumbani kwako Kilo moja ni tsh 12,000 nusu ni 6,000 .kwa maelezo zaidi piga namba hizo hapo juu.asante
  8. Doyi

    TANZIA: Mama Khadija mlezi mkuu wa kituo cha kulelea watoto waishio mazingira magumu CHAKUWAMA afariki dunia

    Habari wanajukwaa Kama kichwa cha habari kinavojieleza ni kuwa mlezi mkuu wa kituo cha kulea watoto waishio mazingira magumu CHAKUWAMA kilichopo barabara ya sinza mori karibu na meeda bar amefariki mda huu.marehemu atakumbukwa enzi za uhai wake kwa huruma kwa watu hasa watoto wadogo ambao...
  9. Doyi

    Nauza kiwanja changu kipo kibaha kwa matias

    Wanajukwaa kama kichwa cha habari kinavojieleza nauza kiwanja changu kilichopo kibaha kwa matias kina ukubwa wa 60 urefu na 30 upana na kipo umbali wa km 3 kutoka barabara kuu..bei ni mil9 ila upungufu unaongea..kwa mawasiliano nitafte kwa namba 0713986635 NB:haina dalali mimi mwenyewe ndo...
  10. Doyi

    Nyumba inauzwa Mbweni JKT

    Wadau habar. Kama title ilivo ni kuwa kuna nyumba inauzwa maeneo ya Mbweni JKT,bei ni tshs 200mil (upungufu unaongea).ina vyumba 5 na viwili kati ya hvyo ni master bedrooms. Ina squaremeter 900. Kwa mawasiliano nitafte kwa namba 0717478451.naambatanisha na picha zake hapa wadau. Pia kama kuna...
  11. Doyi

    Akasema hawaamini tena wanawake hebu pima hii

    Habari zenu wana Mmu? Natumai mu wazima sasa twende kwenye stori yenyewe. Jamaa yangu mmoja mi namuita bro kwa maana amenizidi umri na maarifa na kipato kwa mbali.Anasema hana hamu tena ya kuoa kwa kipindi cha karibuni na ananishauri mimi nisifanye haraka ya kuoa...namuuliza kwa nini? anasema...
  12. Doyi

    Msichana mrembo wa kiislam au kikristu anahtajika

    Mimi ni kijana wa kiislam umri wangu ni miaka 29, Mrefu wa wastani, Rangi mweusi, Kabila msukuma.nina degree moja na nimeajiriwa serikalini. Sina mtoto wala mke.Naish dar. Sifa za mtu ninaemtaka awe mrembo wa umbo na sura( kifua kidogo na makalio yakiwa ya wastani au makubwa itakuwa poa.)...
  13. Doyi

    leo matapeli l wamenipigia kwa namba hii..0762773326

    heshima kwenu wana jamvi katika juhudi zao za kuendelea na utapeli leo wamenipigia na kujaribu kunitapeli lakin wakagonga mwamba...alienipigia simu alianza kwa kujitambulisha vizuri na kuniita jina langu halisi na kuniuliza nipo wapi...nikamwambia nipo dar...mimi nikamuuliza wewe upo...
  14. Doyi

    Wana azania tuliomaliza kuanzia mwaka 2000 hadi 2012 tunaomba kukutana

    Habari wana jf. Kama heading inavyojieleza ni kuwa tumeona ni vyema kuanzisha umoja wa wana azania tuliomaliza kati ya miaka tajwa hapo juu lengo ikiwa ni kujuana zaidi, kukumbushana mambo na vituko vya shule kipindi hcho ila hasahasa kujenga mtandao wa kusaidiana katika masuala mbali mbali ya...
  15. Doyi

    Nimeitwa usaili e-government:msaada please

    Heshma kwenu wadau.Kama heading ilivyo wakuu nimeitwa kufanya usaili nafasi ya programmer.Sasa kama kuna mdau anajua hzo interview zao zinakuwaje amwage desa hapa mana wengne 2memaliza chuo miaka mi 3 ilopita na tumeanza kusahau hayo madude kwa kukaa sana kitaa jaman.Huwa wanatoa general...
  16. Doyi

    Natafuta vyumba viwili vya kupanga kijitonyama,makumbusho,afrikas ana,mori,mwenge

    Wakuu habar zenu.Nahtaji vyumba viwili vya kupanga viwe katika hali nzuri na viwe katika maeneo niliyotaja.Kwa maelezo zaidi tuwasiliane kwa 0717478451 na0717465686 asanteni
  17. Doyi

    Kula ngozi ya nyama ya kuku kuna madhara gan?

    Mimi ni mpenz sana wa nyama ya kuku hasa kuku wa kienyeji.Nimekuwa nikila nyama hyo napenda kula mpaka ngozi lakini nimesikia kwa baadhi ya wadau wakisema ngozi ya kuku siyo nzuri kiafya kuila iwe imechemshwa au imekaangwa. Wanadai baadh ya taka mwili au sumu yoyote inayotoka kwenye mwili wa...
  18. Doyi

    Mhudumu wa Pub na fast food anahtajika

    Habari wana jf kuna mtu anahtaj muhudumu(msichana) wa pub na fastfood haraka sana. Eneo iliyopo hyo fastfood na pub ni victoria karibu na hospitali ya kairuki.Vigezo vya mlengwa awe na physical appearance nzuri,mzoefu wa kazi,umri asizid miaka 25.Kuhusu chakula na nauli ni juu ya...
  19. Doyi

    wapi tunaweza kupata sponsor wa kutuwezesha kutengeneza kipindi na kurushwa kwenye TV?

    heshima kwenu wadau sisi ni vijana tulioamua kujikwamua na tatizo la ajira kwa kubuni kipindi kizuri cha kuoneshwa katika tv.kipindi hiki kinahusu kurekebisha mienendo ya mtu mmoja mmoja na jamii kwa ujumla,kukemea mabaya na kusifia mazuri ya wanajamii katika...
  20. Doyi

    Wezesha tovuti hii ya kusajili wanafunzi kwa njia ya mtandao na uwe mmoja wa wamiliki

    Sisi ni vijana tumeamua kuunda mfumo wa kusajili wanafunzi wa vyuoni,sekondari na taasisi mbalimbali za kielimu kwa njia ya on line na tayari system imekamilika almost kwa 100%.Lengo hasa ni kupunguza msongamano wa watu kipindi cha usajili katka taasisi husika na kumwezesha mwanachuo au...
Back
Top Bottom