Search results

  1. Doyi

    Unafahamu Nini kuhusu chumvi?

    Ya mawe au hii ya kawaida iliyosagwa
  2. Doyi

    Hivi ndivyo itakavyokuwa pale unapoanza kufa

    Mkuu hongera kwa kufa maana umetoa ushuhuda wa moja kwa moja kwa kuwa umepitia hatua hyo muhimu.ngoja sisi marehemu watarajiwa mda wetu ukifika tutakuja kutoa ushuhuda hapa kama wewe ulivo fanya .barikiwa sana [emoji1488][emoji1488][emoji1488]
  3. Doyi

    Ukiona marafiki zako wanadondoka, jua the time is not right

    Hata Mungu aliumba mauti kisha ndo akaumba uhai [emoji1488][emoji1488]
  4. Doyi

    Ninunue brand gani ya TV kati ya hizi?

    Nimejifunza kitu kuwa ukitaka tv bora uchange uchukue samsung, sony,lg au hisense.wakuu shukran
  5. Doyi

    Muda unakimbia, hii ndiyo AZANIA sekondari katika baadhi ya picha

    Ha ha ha kaka umenikumbusha mbali kinoma,huyo onesphory alipiga 1.9 na sasa hiv yupo huwawei dubai ila leodgard ndo alipiga 1.7, unamkumbuka deo ngatunga,omary maafro? Lumuli?Huyo mchwampaka aliniotea siku 1 nimechomolea uniform alinilamba fimbo za kutosha nilitamani nimuue kwa hasira...
  6. Doyi

    Muda unakimbia, hii ndiyo AZANIA sekondari katika baadhi ya picha

    Nimeku pm tena labda cheki current au n pm wewe any text kama nitapata ujumbe nitajua shida ipo kwangu na nitawataarifu wenye jukwaa lao jf warekebishe
  7. Doyi

    Muda unakimbia, hii ndiyo AZANIA sekondari katika baadhi ya picha

    Duh kumbe Kiranga wewe ni mkongwe kuliko mimi.anyway nimekupm jambo fulani naona kimya mkuu au pm yako imefungwa??
  8. Doyi

    Muda unakimbia, hii ndiyo AZANIA sekondari katika baadhi ya picha

    Kwa haraka haraka wanaonijia kichwani ni onesphory paul,victor korosso, amir malengwe,octa javet, mayagi nyega, mtundi chacha, shomary ahmad, isack, nikiwakumbuka wengine nitatiririka hapa mkuu huyo jumanne kama anakuja na kunipotea,miaka zaidi ya 20 nyuma si mchezo
  9. Doyi

    Muda unakimbia, hii ndiyo AZANIA sekondari katika baadhi ya picha

    Leo nikiwa katika mihangaiko yangu nilienda Muhimbili kumuona ndugu yangu mmoja amelazwa pale sewahaji na nilipotoka nikaamua kutembea kuona chama langu la AZANIA SEC SCHOOL (nilimaliza hapo o level mwaka 2002 ) .kwa kweli nimeamini dunia inatutupa mkono mno mnoo. Mazingira yamechange mno na...
Back
Top Bottom