Search results

  1. Ponera

    Erolink yamtunishia misuli Waziri Kabaka

    anaekaa na kuamini kuwa agizo la waziri litatekelezeka ni kichaa, mwenzake alisema jengo pacha na lililoanguka livunjwe nn kimefanyika hadi leo?
  2. Ponera

    Simba yafuata nyasi za Shs milioni 160 China

    Ndio mkuu na itakuwa mama yako kakuhadithia maana cku namkaribisha kwangu kumla kiboga ndo nilizitandika pale uani
  3. Ponera

    Imamu anusurika kifo kwa wizi wa ‘kitimoto’

    imam alafu mwizi? kuna uimam kweli hapo? hana tofauti na wale wanaoitwa mapadri alafu wanalawiti, ila leo nimeshangaa wagalatia wote wamemwamini shigongo kisa ishu ni negative to muslim ila ingekuwa ishu nyingine ungesikia hatutaki udaku! ama kweli viumbe wagumu nyie
  4. Ponera

    Mnyika, watchout! Maji Ubungo yatakuondoa...

    mnyika ndo kawaambia dawasco wasitoe maji? au mabomba yote kayaelekeza ndani kwake? achaneni kujitoa fahamu wehu nyie, toka mnyika hajachukua jimbo hali iko hivihivi, keenja alishawai kuleta maji ya uhakika?
  5. Ponera

    Nyama choma,kuku choma,supu ,ni majanga kiafya

    mi nazani kuna risk kubwa ya kukuta bakteria kuliko virusi,
  6. Ponera

    Simba yafuata nyasi za Shs milioni 160 China

    nyasi bandia milion160? aisee hizo ni bandia kweli kwa kawaida nyasi bandia ni 700m
  7. Ponera

    Oscar Pistorius: Somo kwa wanaopapatikia wanawake kwa umaarufu huku wakijua wana shida ya esteem

    hivi wewe mbwiga hujamaliza dozi milembe? unaharaka ya nn wakati topic yenyewe unaijua wewe tu, hata huyo muuaji mwenyewe hajui ulichoandika.
  8. Ponera

    Hii ni haki ya mtu,kujinyonga,kutoa mimba,ushoga iwe rukusa

    shida yake sio kutetea ila kutafuta mabwana wapya wamtafune anajua jf ni world wide so ujumbe utafika kwa walengwa
  9. Ponera

    Hii ni haki ya mtu,kujinyonga,kutoa mimba,ushoga iwe rukusa

    ungekuwa na hofu ya mungu hata kidogo tu kwenye nafsi yako usingeweza kuandika huu utumbo nazani wewe utakuwa daktari mtoa mimba alafu pia wewe ni shoga
  10. Ponera

    boda boda na bajaji marufuku kuingia katikati ya jiji

    mkuu kwani huko mbezi na tegeta huwa hazipati ajali? mi kiukweli mamikokoteni wayatoe mjini tubakinayo hukuhuku uswahilini kwetu
  11. Ponera

    Lupita Nyong'o: Hakupata mrembaji mzuri siku ya Oscar Academy awards

    we ni chizi? kwahiyo mark fish mzungu? hivi we unajua wazungu ni watu wa wapi? alafu hilo neno nililoliwekea rangi ulikuwa unamaanisha nini?
  12. Ponera

    Fahamu kwa nini mchezaji Said Mwamba aliitwa “ Kizota

    sasa si wangemwita ferrari?
  13. Ponera

    Picha: Huu ndiyo ustaarabu wa soka la Tanzania?

    kwa cc tuliosoma masoko tunajua kucheza na hiyo kitu endapo itatoke demand ikazid supply ishu ni ndogo tu unawakatisha tamaa wateja eg: yanga vs azm chamazi kiingilio 50000 basi
  14. Ponera

    Picha: Huu ndiyo ustaarabu wa soka la Tanzania?

    mi nimecheka sana
  15. Ponera

    Pole sana mdau soka ndivyo lilivyo

    ilikuwa mechi gani jamaa akalia hivi
  16. Ponera

    Albadir ya Simba imefikia wapi!!

    uenyekiti sio ufalme yeyote mwenye sifa anagombea na hakuna kipengele kinachosema sharti uwe muslim ndo ugombee, elewa kuwaeither hao wasio waislam hawagombei or wanagombea lakini hawashindi
  17. Ponera

    Wimbo mpya wa R.O.M.A,-2014

    mama baba yako mkudu we
  18. Ponera

    Wimbo mpya wa R.O.M.A,-2014

    you are wrong ma dia roma ni mkatoliki pure labda hao ndugu zake
  19. Ponera

    Msama Group Company ni janga kabisa

    mi nimempenda sana kumbe anawapiga hadi wahindi, afazali tumepata mtu wa kutulipia kisasi
  20. Ponera

    UCL: Deportivo la Coruna, timu iliyowahi kufanya maajabu

    binafsi mi naona liver ndo walifanya maajabu kutoka tatu bila kipindi cha kwanza hadi kuchukua kombe, ila nurdin neybet alikuwa fundi jamaa ni mmoroco yule
Back
Top Bottom