Search results

  1. Utopologist

    Mpira ni mchezo wa mipango na mikakati, sio hamasa na siasa.

    Mpaka tutambue hili, hakuna maendeleo ya maana kisoka yatapatikana. Matokeo ya jana pamoja na Taifa Stars v Uganda mwezi uliopita ilikuwa ni funzo lakini bado hatutaki kuelewa.
  2. Utopologist

    Friends Of Monastir

    Habari za mchana friends of Monastir, Nani bado hajapata mwaliko kwenye hafla ya leo usiku?
  3. Utopologist

    2022/2023 CAF Champions League - Group Stage Draw

    Pot 1 Al-Ahly Wydad Espérance Raja Pot 2 Mamelodi Zamalek Horoya Petro Luanda Pot 3 Simba SC Belouizdad JS Kabyle Al Hilal Pot 4 Al Merrikh Cotton Sport Vipers AS Vita/ RC Kadiogo
  4. Utopologist

    Mauaji ya kimbari yanaendelea huko old traffold

    Mpaka sasa dakika ya 60 keshakula mtu tayari hamsa
  5. Utopologist

    Tunahitaji mmoja kati ya hawa wanne kuaga mashindano leo ili tuwe pot 2 kwenye draw ya CAF CL

    Baada TP Mazembe kutoka, tunahitaji timu moja nyingine kati ya zifuatazo kuaga mashindano leo ili tuwe pot 2 na kupata draw nzuri Esperance Widad Mamelody Horoya Ikiwa hizo timu zote zikashinda tutaishia pot 3 na pengine kupata draw ngumu sana Pot 1 Ahly, Esperance, Wydad, Raja Pot 2...
  6. Utopologist

    Baada ya ushindi wa Stars jana, tunaitoa kwenye list ya wanaoliaibisha taifa. Aliyebaki sasa ni Utopolo tu

    Taifa Stars jana wamefanikiwa kujitoa kwenye list ya kikundi cha wahuni wanaoliaibisha taifa. Aliyebaki sasa ni utopolo tu, wahuni wasio na msaada wowote kwa taifa hata wakibebwaje. Wadau hivi mnaonaje, tuwapige ban hawa misukule kuliwakilisha taifa? Maana wanaleta aibu na fedheha tu. Kwenu...
  7. Utopologist

    Paris vs Man City

    Ebana linapigwa jingi sana kama ndio CL final yenyewe Neymar anafanya mambo yake kama Neymar
  8. Utopologist

    Hivi kumbe ratiba ya ligi kuu 2021/22 bado tu haijatoka?

    Seriously, hivi hawa tff wana matope kwenye vichwa vyao ama?? Ni dunia ya wapi ratiba ya ligi bado haijatoka wiki chache kabla ya ligi kuanza?? Au wanataka ligi ianze december? Ratiba za EPL, BL zilishatoka tangu June, hawa wapumbavu huku bado wanasubiri nini?
  9. Utopologist

    Sasa ni rasmi, Utopolo kubebwa kimataifa mwakani

    Utopolo atacheza kimataifa mwakani kwa mgongo wa Simba, cha msingi wasilete aibu kwa taifa kwa kutolewa mapema. Kitu kingine, marefa wa kimataifa huko hawana uvumilivu na ule mchezo wao wa kihuni wa rafu nyingi, utapigwa umeme kila mechi.
  10. Utopologist

    Tumemaliza mchezo, goli la 5 tumeshalipata leo asubuhi

    Wanasimba tumefanya kazi kubwa wiki hii kutafuta yale magoli 5 tunayohitaji ili kufuzu na juhudi zetu zimeweza kuzaa matunda. Baada ya kufanikiwa kulipata goli la nne Bagamoyo jana usiku, leo asubuhi nimepokea simu kutoka Pemba wamenihakikishia kwamba goli la tano limepatikana. Nafurahi...
  11. Utopologist

    Mechi nyingine za CAF Champions League 2020/21

    15 min. MC Alger 0-0 Wydad Casablanca Wydad akiwa anatawala mchezo zaidi
  12. Utopologist

    Utopolo yaaogopa, yakimbia kipigoia

    Mbona hawakususa mechi zao za azam na biashara kubadilishwa muda? Waache kudanganya watu, utopolo wamekimbia kipigo cha mbwa mwizi kilichokuwa kinawasubiri leo taifa, na kwa taarifa tu, kipigo kipo pale pale. Ningeomba tff na bodi ya ligi waiadhibu utopolo kwa kukiuka kanuni, sheria ifate...
  13. Utopologist

    It's official! VPL kupeleka timu 4 kimataifa msimu ujao 2021/22

    Hii ni baada ya jana Ahly Benghazi ya Libya kushindwa kufuzu kwenda 1/4 fainali ya CAF confederation cup
  14. Utopologist

    Mwanachama wa Yanga adhibitisha Yanga kuwafanyia kisomo waandishi wanaoisema timu yao 'vibaya'

    Kwenye hii video mwanachama anayejulikana kwa jina la Kabwe amedhibitisha wamekusanya michanga ya wale wanahabari wote waliokuja jangwani leo mapema kwaajili ya kisomo cha albadr
  15. Utopologist

    Mashabiki wa Yanga hawapigi tizi tena kunyanyua makombe, wanapiga tizi ili kwenda kuwatoa viongozi wao madarakani

    Watopolo wameshajua mchawi wao ni nani. Si TFF, si bodi ya ligi, si marefa na wala si kamati ya saa 72😆😆 Bakora karibuni kuruka huko vidimbwini 😆😆
  16. Utopologist

    Sakata la Metacha liliandaliwa kimkakati nyuma ya pazia kuwapumbaza wanayanga wasi-focus kwenye jambo kuu la msingi

    Jambo kuu la msingi linalodhoofisha performance ndani ya uwanja ni migogoro isiyokwisha ndani ya uongozi wa klabu Yanga Yanga sasa imegawanyika katika makundi makuu matatu Yanga GSM Yanga Msola (na menejiment yake) Yanga asili (wazee) Msola na genge lake pamoja na wazee wanapinga...
  17. Utopologist

    Kauli mbiu kuelekea Simba v Al Ahly | "Total war - Point of no return"

    “Mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati yetu Simba na Al Ahly kutoka nchini Misri itapigwa saa 10:00 jioni siku ya Jumanne Februari 23, 2021. Ni mechi kubwa sana kwa Simba, Tanzania na Afrika Mashariki.”- Haji Manara . 🖋️ “Mabingwa wa Afrika ambao wametoka kushiriki ubingwa wa dunia wamefanikiwa...
Back
Top Bottom