Search results

  1. Y

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hii option ni kama wanabagua mechi wadau Portugal vs Switzerland option haipo
  2. Y

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wadau nauliza kampuni yenye option ya double chance (gg or over 2.5 g)ni ipi ?
  3. Y

    FT: 2022 Uefa Champions League Final | Liverpool 0-1 Real Madrid | Paris, France

    Hatimaye usiku wa deni haukawii kucha ,real wawe makini sana na vijana wawili wa liverpool Luis Diaz na mo.salah ni vijana hatari sana,na liverpool itabidi wawe makin na vijana hawa madrid wa kibrazili vinicius jr na rodrigoes ni vijana hatari sana kwa...
  4. Y

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wadau mmesikia huko sport pesa walichofanya
  5. Y

    Iringa: Kanisa Katoliki lawazuia waumini walioshiriki kongamano la Mwamposa kutopokea Sakramenti ya Ekaristi Takatifu mpaka watakapoungama

    Mtu kama huyo ukimwambia mwaposa mmbaya hawezi kukuelewa kwanza anaweza kukutukana kabisa
  6. Y

    Kama Mbeya ingekuwa ni nchi, kwenye football hii ndio ingekuwa first eleven yake

    Mimi sio mwenyeji wa mbeya ila Nimeishi mbeya miaka mitano kipindi nasoma ,nimejionea vijana wanapenda soka toka damuni sio kwa kulazimisha kilichokosekana mbeya ni kukosekana uwezeshaji wa vipaji vya soka, mbeya vipaji viko vingi sana ukienda wilayani huko ni balaa...
  7. Y

    Guardiola the machine

    Mdau bahati ipo kwenye soka kwenye 100% ,90 % ni technical skills of football ,10% ndo bahati ilipo
  8. Y

    Guardiola the machine

    Pep ndio kocha bora kwa sasa ila mda mwingine bahati inamkosesha matokeo
  9. Y

    Baraza la Mawaziri la Marekani litufunze jinsi gani Waafrika tunapaswa kuwa serious kuunda Serikali makini

    Wakikosea hapo usa itaisha,herI wakosee zingine kuliko hizo mbili nyeti
  10. Y

    Baraza la Mawaziri la Marekani litufunze jinsi gani Waafrika tunapaswa kuwa serious kuunda Serikali makini

    USA katika wizara zinazotazamwa sana ni ulinzi na wizara ya mambo ya nje hizi ndizo zinaifanya marekani kuwa taifa lenye nguvu kijeshi na kiusalama na mbinu za kukuza uchumi
  11. Y

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wadau leo ligi nyingi zinaisha hivyo rekodi zinaoyesha ligi zikiwa zinaisha kanjibai anapigwa sana mimi leo natembea na hizi game mbili ,SASSUOLO VS AC MILAN GG YES,CRYSTAL PALACE VS MAN UTD OVER 9.5 CORNER 2+ odds ,SAFE 100%nastake 50k"toeni comenti wadau"
  12. Y

    Video: Wanajeshi wa Ukraine zaidi ya 900 waliojificha Azovstal, Mariupol wajisalimisha kwa majeshi ya Russia

    Daah ni balaa hakika maandiko yanatimia ilisemwa taifa kwa taifa yatapigana
  13. Y

    Marekani wajaribu Hypersonic weapons successfully

    Me kitabu cha daniel ilishatabiriwa na pia ilitabiriwa ndio taifa litakalokamilisha unabii wa siku za mwisho,ulimwengu utakapokuwa unafikia ukingoni
  14. Y

    Marekani wajaribu Hypersonic weapons successfully

    Usa ndio dola lenye nguvu kuliko yote duniani na biblia ilishatabiri nenda kaso
  15. Y

    Rais Samia akubali ongezeko la asilimia 23.3 kwa kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma

    Anaupiga mwingi ila tunamsubiri kwenye suala la katiba
  16. Y

    Rais Samia kukopa(tena) 1billion USD from IMF

    Mama tafuta pesa tunakutia moyo,vijana hawawezi ajiriwa bila pesa
Back
Top Bottom