Search results

  1. P

    Nahitaji mchumba wa kuoa

    Picha huwezi kuweka kwani watu tunatofautiana fikra hasa kwa wale wanaokufahamu, hii ishu ni confidential mbona haaulizi kwanini tusitumie majina yetu halisi humu jamvini. kwa yule atakayejitokeza hivyo vyote atavipata i mean jina langu halisi na picha. upo mkuu?
  2. P

    Nahitaji mchumba wa kuoa

    Thanx Neema
  3. P

    Nahitaji mchumba wa kuoa

    Natafuta mchumba mwenye sifa zifuatazo; 1. Awe mkristu mwenye hofu ya MUNGU. 2. Umri usiozidi miaka 25. 3. Mweupe, mwenye umbo la wastani (average), mrefu wastani 4. Elimu kuanzia form 6 na kuendelea 5. Mwenye msimamo katika maamuzi 6. Awe mfanyakazi wa kuajiriwa au kujiajiri Wasifu wangu...
Back
Top Bottom