Search results

  1. K

    SPECIAL THREAD: Ushauri, Mapendekezo kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

    MAKONDA AAINISHA MPANGO KAZI WA VIPENGELE SITA: LETS MAKE ARUSHA GREAT AGAIN! April 8, 2024 Arusha ⦁ Mapokezi yamenitia moyo wa kuwa mtumishi mwema na mtetezi wa wanyonge. Kamwe sitaungana na fisadi kukandamiza haki zenu, nitakuwa sauti yenu mpaka ukamilifu wa dahali ⦁ Nawashukuru kwa...
  2. K

    Mchungaji "kijana" afia gesti akila kondoo wake

    Padre Joseph Kariuki siku za uhai wake Padre wa Kanisa Katoliki Parokia ya Ruai, Nairobi, umri miaka 43, amefia gesti akiwa na ji binti la miaka 32 watu huwa tunajidanganya mtu wa miaka 40, 45, 49, eti bado nae anaitwa kijana... haya vijana .... tujihadhari na kupenda sifa za "kupeleka...
  3. K

    Vienna Protocol inakataza kukamata Balozi wa mwenzio. Tanzania ilikamata balozi wake yenyewe! Kumvua ubalozi hakufuti aibu

    Laughing stock of the world. Kituko cha dunia. Jinsi Muafrika asivyojijali, asivyojiheshimu, asivyojipenda, asivyo na upeo. Rais aliyepita alisema mkimkamata mtu wetu huko duniani na madawa mnyongeni juu kwa juu, hatuna shida. Imewekwa Vienna Protocol kulinda mabalozi wa mwezio. Wewe...
  4. K

    Lissu akiwa Sengerema apigilia msumari wa "akili matope" kwa Rais kuwapa DP World madaraka yake kama mdhamini wa ardhi

    Ni kuhusu kipengele cha mkataba kinachosema Rais akitaka kujenga chochote karibu na maeneo ya DP World kama vile hospitali karibia na bandari ya Isaka basi atatakiwa kwanza kuomba kibali cha DP World. Wakati Rais huwa ndio anaeombwa ardhi, sio yeye kuomba. Tundu akauliza hii ni akili au...
  5. K

    Rais Samia: Tunaandaa mradi wa kuomba hela za kujenga stendi. Hayati Magufuli asingethubutu kusema kitu cha kujitweza utu wetu namna hiyo... never!

    Akiwa anajibu kero za wananchi kuhusu stendi ya Arusha, Rais Samia Hassan leo amesema "Kuna mradi tunaundaa wa kuomba hela hizi za stendi, tukipewa tuna nia maeneo mengi yawe na stendi za kisasa" ____________________________________________ Magufuli anabiringika kaburini. Tulikuwa tunaambiwa...
  6. K

    Maji nayo yakatika mkoani Texas, Marekani, wananchi Wachota barafu kwa matumizi

    CBS NEWS Wakati Mbunge Edward Cruz akishutumiwa vikali kwa kujijali mwenyewe na familia yake kwa kuwakimbia wananchi wenye majanga kwenda safari ya mapumziko kisiwani Cancun Mexico maelfu ya wakazi mkoani Texas Marekani wamejikuta hawana maji kufuatia mabadilko makubwa ya tabia nchi. Baadhi...
  7. K

    Jimbo la Texas Nchini Marekani latangaza mgao wa umeme

    Kama ilivyokuwa kwa mkoa wa California mnamo mwaka jana sasa mambo si mambo viunga vya Texas ambapo mahitaji ya nishati ya umeme yamezidi ugavi, na miundombinu imeelemewa. Watu wapatao milioni mbili wako gizani. Viongozi wa kisiasa na kijamii wamewaomba wakazi wa baadhi ya viunga vya mkoa huo...
  8. K

    Uchaguzi 2020 CCM wamemwachia Magufuli fupa la Doto James na Mayanga Construction alitafune mwenyewe!

    Doto James, Bwana Malipo Mkuu wa serikali Ni kaa la moto! Hakuna mtu anaetaka kuligusa. Wazungu wanaita "third rail," kwa sababu reli ina mitarimba mitatu: miwili inatambaa sambamba ardhini, yenyewe unaweza kuigusa, kuichezea na hata kuing'oa wakati wowote ili mradi treni halipiti na...
  9. K

    Mkuu wa Mkoa wa California, Davin Newsom, atangaza mgao wa umeme

    Kutokana na mahitaji kuzidi uwezo wa ugavi, umeme utakuwa ukikatwa muda wowote kuanzia saa tisa alasiri mpaka tatu usiku kwa kupokezana baina ya viunga tofauti tofauti vya mkoa wa California, kwa mujibu wa Mheshimiwa Davin Newsom, Mkuu wa Mkoa. Bwana Newsom ameziomba kampuni zenye mivyombo...
  10. K

    Uhuru Kenyatta: tuzae watoto ambao hawatajua nchi yao

    Rais Kenyatta akiwa Chato kasema dawa ya kuondoa ukabila na kubaguana ni kuoleana ili kusudi mtoto wa mseto asijijue yeye ni Mtanzania au ni Mkenya... How ridiculous... Huwezi kusikia Rais wa dunia zinazojitambua, dunia za kwanza akisema utumbo kama huo wa tuzae michotara ambayo haitajua...
  11. K

    Video: DIAMOND aionyeshea serikali kidole cha kati, aimba tena NYEGEZI

    Biashara inapokuwa kubwa, makampuni huwa yanaanzisha kitengo kinaitwa compliance department na huajiri wataalam wa kuhakikisha biashara haibughudhiwi bugudhiwi na serikali kwa kuvunja vunja visheria vidogo vidogo na vikubwa. Diamond jana, Desemba 15, akiwa Mwanza kaimba tena "mambo ya Amber...
  12. K

    Hadithi za sungura mi sitaki eeeh! Waandishi wamnyoa Kamanda bila maji

    Mwandishi: Kamanda, zaidi ya Mo bado kuna Ben Saanane, Azory Gwanda, Alfonse Mawazo, Simon Kanguye, Godfrey Luena, Daniel John na wengine wengi waliotekwa, kupotea ama kuuliwa na wasiojulikana. Unalizungumziaje ? IGP Simon Sirro: Suala la Ben Saanane kutekwa tumelizungumza sana, kama watu...
  13. K

    Air France "inaweza kufutika," CEO aachia ngazi, hasara, migomo, kedekede

    Mkurugenzi Jean-Marc Janaillac aliyejiuzulu Bruno Le Maire, Waziri wa Uchumi wa Ufaransa, amekataa wazo la kutaka serikali iliokoe shirika la ndege la Air France katika kipindi kigumu cha migomo na hasara na akaonya shirika linaweza kufutika siku za usoni iwapo watashindwa kushughulika na...
  14. K

    Wanyonge ni watu gani na kwanini tuwajali na kuwaongelea wao tu?

    “MIMI NI KIONGOZI WA WANYONGE” Hivi tunaposema mtu mnyonge tunamaanisha mtu wa kipato gani labda? Hivi kuna poverty line Tanzania, na ni shilingi ngapi kwa mwezi? Au tukisema ni ambae hana sauti, huyo mwenye sauti yeye huwa anaongelea wapi? Binafsi mimi sina namba ya Waziri wala mbunge, wala...
  15. K

    South Africa Airways inapumulia mipira, yaiomba serikali $400 Million

    Bloomberg News SOUTH AFRICAN AIRWAYS imeiomba mmiliki wake, serikali ya Afrika Kusini, iwasaidie fedha taslimu za kuiokoa ( cash bailout ) kuiepusha kufunga biashara. SA Airways imeelemewa na gharama za uendeshaji ( operatng costs) pamoja na kuhudumia malimbikizo makubwa ya madeni kutoka...
  16. K

    "Mwanasiasa Mkongwe" alifanya nini cha mno?

    Kwa mwanahistoria au muhenga aliyekuwepo au yeyote aliyehudhuria msibani kama labda walisomewa wasifu unaotoa mwanga juu ya hili, naomba kuuliza: Huyu Marehemu aliyeagwa Karimjee na heshima za kitaifa na kila mtu nani anaweza kutueleza amefanya nini cha distinction katika nchi hii? Inaonekana...
  17. K

    Video: Uchochezi wa Lowassa huu hapa

    Ni kweli kitendo cha kuwatia kizuizini miaka na miaka bila mashitaka mashehe wa Zanzibar wasiotaka Muungano ni kitendo cha kionevu na kifashisti. Inasikitisha kuona tumerudi kuwa na political prisoners ambao walishatoka magerezani toka zama za JKN miaka ya 80. Lakini katika kutetea mashehe...
  18. K

    Tulipojipiga kitanzi: Jamii Media kujisajili BRELA

    Polisi waliofika Jamii Media wame confiscate nyaraka za usajili wa BRELA and there is a compelling reason for that. Labda tusome kwanza regulation iliyomkamata Maxence Melo: Electronic and Postal Communications Regulation, 2011, Section 10 (1) Any public or business entity in Tanzania shall...
  19. K

    "Hakuna mzunguko wa pesa" ndio nini?

    Waziri Mpango na Rais wanabisha kwamba hali ya kiuchumi ni mbaya, wanaodai kuna ukata ni wapiga dili waziri profesa anasema, lakini hajasema kwa utaalam wake hali nzuri iliyopo ameipima vipi au inapimwaje? hivi hali ya hela kupungua kwenye mzunguko inaitwaje kitaalam/kichumi? ili na sisi...
  20. K

    Matatizo ya wapiga picha wetu

    Habari za mida ndugu wadau wa maendeleo, mazingira, ma siasa, ma teknohama, mahusiano na mapenzi. Huwa najiuliza sana kuhusu wapigaji picha hapa nchini. Ni kwamba hawana camera za ukweli ama lenzi zao ni za kichina ama ni kwa nini ni lazima wajichomeke katikati ya tukio mbele ya uso wa mtu ndio...
Back
Top Bottom