Search results

  1. B

    Mwanamke akikuuliza unafanya kazi gani mnachomoka vipi huu mtego?

    Mimi huwa najibu mtengeneza majeneza nakuweka vionjo ila saivi biashara ngumu [emoji23][emoji23][emoji23]
  2. B

    Tunajidanganya wanaume kuhusu wanawake mabikra

    Sina mengi ila kikubwa ni kwamba nilioa at late 20’s mwanamke wangu nilimkuta bikra tena nilikutana naye leo kesho nikaweka geto,kuja kukuta ni sealed ila sijawahi kutoa bikra so ya kwanza ni kwa wife.lakini kikubwa ni kumtanguliza mungu kwa kila jambo maana mi kwenye mahusiano sina historia...
  3. B

    Vijana oeni wanawake wanaowapenda, pesa zako sio chochote ndani ya mapenzi na ndoa

    Ila kaa ukijua kuwa binadamu ajawahi kuupenda udhaifu(umaskini) ,vijana tafuteni hela
  4. B

    Cannabis sativa...

    Bangi ipewe heshima yake ,imenifanya nifike apa nilipo [emoji39][emoji3590][emoji3577].!
  5. B

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Naomba wa moshi mkuu
  6. B

    Wadada Wenye shepu na sura nzuri, ila wanaishi maisha magumu, najiuliza wana boyfriends wa aina gani?

    Mtoa mada, jaribu kutumia akili zaidi na si hisia ,mahusiano si chanzo cha ajira wala kipato ,mahusiano ni kusaidina . Nikuulize swali na je wale ambao wenye boyfriend vilema au mahispitalini wasiwe kwenye mahusiano kisa awawezi kuwa hudumia. ?
  7. B

    Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

    I still need time to heal ,maana kwa sasa sina hisia ya mapenzi ila na hamu ya ngono[emoji174],sipendi kuwa ivo ila sina jinsi.
  8. B

    Bora kuolewa na mzee aliyejipanga kimaisha kuliko kuolewa na kijana maskini mwenzio

    Kijana wa ke au me ,utajiri uanzia akilini na ukiona mtu hana mawazo positive katika maisha yake uyo ni maskini tosha
  9. B

    Tusimulie love story yako kwa kifupi tujifunze

    [emoji848][emoji848][emoji848] tatizo kwangu mapenzi nimeyaweka priority ndogo sana, niko zaid kutafuta hela bcoz historia yangu, ya mapenzi ni worst kwaiyo nikukumbuka ni maumivu tu[emoji174][emoji29]! so I don’t need love i need more money kwa sasa .!
  10. B

    Tusimulie love story yako kwa kifupi tujifunze

    Kwangu bado hali si nzuri kwa kweli[emoji174][emoji29][emoji29]
  11. B

    Uhusiano wangu na mwanamke wangu kipenzi umeingia doa, muda wowote nitakipoteza nilichokipenda kwa moyo wote

    Kijana mwenzangu naona umri tupo range sawa ila ndugu unafeli, Kwa mwanamke tunawekeza vitu ambavo atuwazi kuvipoteza kama kucha,nywele n.k ,Mi mpaka sasa nilipofikia ata demu wangu aniambie kesho tuachane na mjibu tu”POA” .Mwanamke si mtu wakumuamini ata sometime mama ako usimuamini kwa kila...
  12. B

    Urembo wa huyu dada umeniponza, naombeni ushauri

    Pole kamanda ila iyo ni dear NGono Dawa ake. : cerftiaxozone start 1g iv Azithromycine 500mg OD for 5/7 days Nenda hospital watakupa ivi ila kama kama Kam nenda pharmacy Sory lkn I'm a medical personer kwa uzoefu bado Bila vipimo
  13. B

    Nimesingiziwa mimba isiyo yangu, wanawake tuishi nao kwa akili kweli

    Ndio Sent from my MRD-LX1F using JamiiForums mobile app
  14. B

    Nimesingiziwa mimba isiyo yangu, wanawake tuishi nao kwa akili kweli

    We Lea tyu mtt Kwan unauwakika gani kuwa aliyekuelea mpk apo ndo baba ako wa halali. We kuwa mpole unaweza kuwa unakataa ata raisi wa badae kwaiy kaa kwa kutulia Sent from my MRD-LX1F using JamiiForums mobile app
  15. B

    Nimesingiziwa mimba isiyo yangu, wanawake tuishi nao kwa akili kweli

    Bac oa nauche kuxumbua jukwaaa apa. Atuki usumbufu Sent from my MRD-LX1F using JamiiForums mobile app
  16. B

    Nimesingiziwa mimba isiyo yangu, wanawake tuishi nao kwa akili kweli

    Another single mother in town... Wadau Sent from my MRD-LX1F using JamiiForums mobile app
  17. B

    Nimesingiziwa mimba isiyo yangu, wanawake tuishi nao kwa akili kweli

    Unakataa je mimba wkt demu ni wako ww[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848].? Sent from my MRD-LX1F using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom