Search results

  1. R

    Samsung galaxy s3 for sale.

    urgent cash needed. White Samsung galaxy s3 comes with charger in a mint condition. price 600,000 Tsh. (negotiable.) 0654687403 .
  2. R

    Daktari wa Meno

    habari wakuu... hospitali gani inatoa huduma nzuri za kusafisha meno ama kuya ng'arisha yawe meupe na pia kutibu moja linalo sumbua.
  3. R

    Kiwanja kinauzwa Boko Vikawe

    kiwanja kinauzwa boko vikawe. ukubwa ni mita 20 kwa 20.. bei ni mil 11 Tsh. documents zote za kiwanja zipo kamili. kwa mawasiliano zaid piga 0655220039 0717424968 ahasante
  4. R

    Customer care representatives

    je hao zantel malipo yao yakojee wakuu msaada kidgo...
  5. R

    Msaada Black Berry Bold 9650 verizon.

    nna blackberry bold 9650 verizon haina internet ata nktuma BIS..ss msaada wenu nn cha kufanya.. ahasante
  6. R

    Anayeuza Pick Up tuwasiliane

    wakuu habar zenu.. natafu pick up ya kawaida tu ndo nahitaj.. yyte mwny nayo anitumie picha kwny email yng iddronaldo@yahoo.com
  7. R

    Jaman natafuta field mwenzenu...

    kma waweza chukua izo barua zko tuma mikoan kwny makampun tofaut achana na dar es salaam...
  8. R

    iphone 4 needed..

    wakuu anayeuza iphone 4 iwe unlocked na katika hal nzur ani pm au ncheck 0753566081
  9. R

    nahitaj iphone 4s...

    habar wakuu mwny iphone 4s anaweza ni pm nahitaj sana io simu.. bajeti yng lak 5. jioni njema..
  10. R

    Ungefanyaje??

    apo B tu
  11. R

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    kuni ndo source ya energy kwa vijijini...
  12. R

    Unapewa uraisi Tz kwa masaa 24 utatumia vipi nafasi yako?

    1- Mafisadiii wooote ndaaaan yan nafunga kabisa. 2- Wabunge wooote hakuna tena ma VX wala standing or sitting allowance cjui yan posho hakuna tena, ''ubunge ni wito''ndo itakua ivyo. 3- Rudisha migodi yote kwa wananchi. 4- boresha miundo mbinu, afya na elimu nimemaliza vingne vita seto baaadae...
  13. R

    Natafuta mwalimu wa dance(kucheza muziki)

    Angalia video za mzk ambzo wana dance tafuta step up 1 up to 3 angalia chek ata youtube pia. kwaito ukienda club tu utazijua step chache. Kma una aibu pga mambo utapata mizuka ya kudance ukiwa viwanja...
  14. R

    JamiiForums game of the year

    catherine kwan haka ka mchezo ujakasoma tu..
  15. R

    Je elimu ya vyuoni ni ya kumeza notice au kuna kuna kuelewa ndani yake?!

    lecturer waonana nae kwny test na UE alf wampgia A au B+ kama kawa...
  16. R

    Je elimu ya vyuoni ni ya kumeza notice au kuna kuna kuelewa ndani yake?!

    elimu ya chuo japo iko applicable sana kwny maisha ya kila siku sema stail ya ufundishaj na ugawaj notsi mhhh uko ovyo tu so mwendo wa kumeza ukipenda elewa kwa faida yako ila unakuta mwalimu anataka uweke alicho fundisha sasa wategemea nn apo zaid ya kumeza ukijidai umeeelewa sana ukaleta na we...
  17. R

    Je elimu ya vyuoni ni ya kumeza notice au kuna kuna kuelewa ndani yake?!

    hapa umesema kwl yan coz outline ukiipata bas wasubiria UE tu na kucklzia mwalimu katoa vitin bas darasan unaagaa maana hakuna jipya...
  18. R

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    urais Tanzania unatumika kunenepesha account za akina flan flan...
  19. R

    Ufugaji wa Samaki: Pata ushauri, mawazo na michango kuhusu ufugaji samaki. Jifunze changamoto, utaalamu na masoko ya Samaki

    hongera kwanza maana ii shughuli nataman sana kuifanya bado cjpata muongoz wa gharama za kufanya haswa kwny kuchimba bwawa la samaki.. mkuu nahitaj kukuuliza maswal mawil matatu ngoja niku pm.
  20. R

    Fumbo mfumbie mjinga werevu lingamueni hili nahitaji jibu pliz

    ss waogopa nn.. Shaka ondoa vigezo na masharti ya kukudai vmezngatiwa..
Back
Top Bottom