Search results

  1. MIGUGO

    Mtoto wangu wa miaka 4 kutapika baada ya kula

    Mtoto wangu wa kiume wa miaka minne sijui ana shida gani maana hapendi kula na akila hutapika unapomlazimisha. Tumempeleka hospital hakuna cha zaidi ya kumpa dawa za vitamin. Amechangamka anacheza vizuri ila linapokuja swala la kula ni mtihani kwake. Vyakula tunavyompa ni vya kawaida...
  2. MIGUGO

    Kuna hela naisikilizia

    Naheshimu sana huu msemo"Kuna hela naisikilizia".Nashangaa watu wanaubeza na wanadharau pale wanapoambiwa. Mtu anayesema hivi ina maana moyo unataka lakini pesa haipo kwa wakati huo kukamilisha utatuzi wa hiyo shida.Kuna vingi vinachangia. Kila mtu akitimiza wajibu wake kwa wakati hili neno...
  3. MIGUGO

    Ni tukio gani umefanya la kutunza mazingira au kuokoa viumbe hai?

    Mtaani mahali napoishi weekend huwa naokota plastic zote na kuzikusanya kwenye mifuko. Huwa na waokoa mbwa na paka wanaopigwa mawe mtaani. Shambani kwangu nimeweka mizinga nyuki minne na nitaongeza. Nikimuona nyoka,kenge naondoka au nitamuamisha kwa kumfukuza aende simuui. Ambapo zamani...
  4. MIGUGO

    Kamaru Usman amtwanga Jorge Masdival

    Usman ameweza kutetea taji lake la welterweight kwa mara ya pili ambapo hapo awali mwezi July 2020 alimtwanga Masdival kwa points. Masdival amesema inamuuma kuchapwa kipigo cha KO mpaka kupoteza fahamu mbele ya familia yake na marafiki. Mechi hiyo ilipigwa usiku wa jumamosi 24 April Aisee...
  5. MIGUGO

    Baadhi ya familia na koo hawapendi kusoma

    Unakuta umepata mchongo sehemu unahitaji mtu mwenye elimu unatafuta ndani ya familia au ukoo hata kabila lako umvute lakini huoni mtu. Madogo wanaacha shule au form four kwake inatosha.Wanapata mimba bado wadogo unaweza kuta una miaka 30s au 40s lakini tayari unaitwa babu/bibi kwa sababu cousin...
  6. MIGUGO

    Maji ya DAWASCO machafu

    Maji ya bomba kwa sisi wakazi wa Tabata, Kimara na Ubungo tunapata maji yaliyo na rangi ya udongo. Hili tatizo nimeliona kwa zaidi ya miezi sita sasa. Wakati mwingine ukiyahifadhi uchafu unajitenga chini. Hii ni hatari.
  7. MIGUGO

    Siku Music wa Singeli utakapoporwa na nchi zingine

    Watanzania tumekuwa tukiubeza mziki wa singeli lakini kuna wakati utafika kuna nchi itaupora na kuuongezea ubunifu. Wataupa jina lingine na sisi tutaanza kulalamika kama kawaida yetu. Singeli is Underrated. Wasanii wetu wanaiga miondoko ya nje Naija, Lingala na South Africa. Ipo siku itatokea...
  8. MIGUGO

    Unapogombana na mpenzi wako unamaliza vipi ugomvi?

    Wapenzi bila kugombana haiwezekani lazima mtapishana tu. Huwa unamaliza vipi ugomvi au unamjulia vipi kwamba nikibonyeza kitufe hiki lazima ugomvi uishe atanisamehe. Au mpenzi wako huwa anakujuliaje ili umsamehe yaani hata iweje unalainika.
  9. MIGUGO

    Ujazaji wa mafuta(Refilling) UDART Ubungo tahadhali na usalama ukoje

    Kumekuwa na ujazaji wa mafuta kutumia tankers lakini sijui kama tahadhali za kiusalama kwa majanga ya moto unazingatiwa maana eneo lile lina mkusanyiko mkubwa wa watu pale kituo cha mwendokasi maeneo ya ubungo terminal.Tank La mafuta linaweza kulipuka au kuna tahadhali tayari wanayo kama vifaa...
  10. MIGUGO

    Kumlinda kijana wa kiume dhidi ya adhabu ya miaka 30 baada ya kutia mimba

    Kutokana na wimbi la vijana wengi wa kiume kuishia jela baada ya kuwatia mimba wanafunzi wa kike, watoto wanaozaliwa hukosa matunzo na malezi kutoka kwa baba.Hivyo vijana wadogo kuzimwa ndoto zao za maisha. 1. Nashauri kijana apewe adhabu za uzalishaji na kiasi kinachopatikana akiwa huko...
  11. MIGUGO

    Kuna mtu yupo studio anaungaunga atengeneze Amapiano. Marioo aliwahi sana

    Kama kawaida akiona inatrend style flani ataungaunga na kuforce wimbo hadi upendwe. Jana kaingia studio na CN mufasa kutengeneza nahisi track ya mtindo wa kibondeni "Amapiano". Jamaa wanawadaka wasanii wanaoletwa na Hennessy kesho studio. Mwezi ulopita wametoa "Woza"wakaweka kibwagizo cha...
  12. MIGUGO

    Nimemsaidia mdada nikidhani mjamzito

    Juzi wakati nageuka Dsm toka huko kaskazini nilipanda bus na dada mmoja siti ya pembeni. Alikuwa ana kibinda nkoi kishuzi nini gauni Fupi ila alionekana mjamzito. Tulikuwa wa kwanza kufika na kupanda bus. Kwa lile tumbo kubwa basi nikawa namtreat kigentleman kama mjamzito safari nzima. Na...
  13. MIGUGO

    Ni ushamba kudai vitu kwa mke mlioachana

    Jamaa alioa mke ambaye tayari alikuwa na boma la vyumba viwili.Akasaidiana na mkewe wakaezeka na kufanya finishing pamoja na kuongeza chumba mabanda nje.Walipohamia jamaa akampatia mke kitanda,tv nk. Sasa wameachana msela anataka kuchukua vitu vyake na kung'oa bati kufidia gharama zake. Hawana...
  14. MIGUGO

    Argentina ipo mbioni kuhalalisha utoaji mimba

    Wanawake wa dunia ya leo ambao wanapigania "haki" zao wamekuwa wakisema "mwili wangu nina haki nao na chaguo langu".My body,my right my choice. Kwamba wasiingiliwe maamuzi yao pale wanapotaka kufanya lolote kuhusu miili yao hususani kwenye utoaji mimba. Pro hao wameweza kupambana mpaka kufikia...
  15. MIGUGO

    Naomba kuuliza huu ni nini?

    Nimepata hii kitu haina maumivu wala muwasho je hii ni nini
  16. MIGUGO

    Nani anatakiwa awe anampigia simu au text mwenzie

    Kwa wale wapenzi wanaoishi mbalimbali aidha wachumba au wanandoa. Je ni mwanamke au mwanaume ambaye anapaswa kuanzisha mawasiliano asubuhi wakati siku mpya imeanza au usiku wakati wa kulala? Kati ya mwanaume na mwanamke nani aanze?
  17. MIGUGO

    Dogo anataka kuacha kazi serikalini aende private

    Mdogo wangu awali alifanya kazi private kwenye mradi mmoja lakini baada ya ule mradi kuisha bahati nzuri akapata kazi serikalini. Sasa wale waajiri wake wa awali wamemuita tena kwenye mradi mwingine. Government analipwa around Tsh1.2m gross salary ambayo ni ajira ya kudumu.Private atalipwa...
  18. MIGUGO

    Mtoto wa miaka 2½ hataki kula

    Nina mtoto wa kiume wa miaka miwili na nusu hapendi kula kabisa. Nimempima minyoo na haumwi chochote lakini kula kwake ni kwa shida mpaka umlazimishe. Inaweza ikawa nini? Nifanyeje arudi tena kama zamani.
  19. MIGUGO

    Hivi safari ya Mb Dogg kwa Nancy Sumari iliishia wapi?

    Miaka ya 2000s wakati Mb Dogg anatamba zilizuka tetesi jamaa anadate na binti Suma yaani Nancy Sumari mpaka akamuimba wimbo wa "Ina maana ". Mb Dogg aliishia wapi?
  20. MIGUGO

    Hatimae ngalangala (Noah Voxy) nimeliuza

    Baada ya kuhangaika na Noah voxy ambalo kwa muonekano wa nje linaonekana jipya (pamba) au wanasemaga in mint condition ila ilitaka kunifirisi. Jamaa wamenipatia mil 6.5 inanitosha kabisa maana leo imehiti kesho gear box mara izime ghafla mara nozzle kesho throttle. Ilishawahi nitia Aibu niko...
Back
Top Bottom